Naomba kujua Tabia za wanawake wa kijita

Kanda ya ziwa kabila ni mbili tu wakurya na wajita hapa kabla ya maamuzi inabidi ushuke kitonga taratibu.
Test nzuri ni kumchek mama yake yupoje tabia ya mama ndio tabia ya binti
Na kama mama yake anapenda vijana wadogo wadogo hasa wanafunzi wa sekondari Ina maana na mabinti watakua hivyo hivyo!!?nauliza tu man!
 
Ndugu, mke uliyenaye ni wangapi mpaka sasa?
 
Hilo penzi jipya mwana au ndiyo Umeanza mapenzi kama sikosei
 
Ukimzingua anakuzingua.

Usitarajie umpige kofi aanze kuangua kilio. Mnazichapa mpaka kieleweke.
Aiseee iliwai kunitokea kwa ka demu kajita hmmm alinitesa nafsi manina yule.mi niliomba gemu tu nikapewa kumbe kameelewa.demu alikua anatoka mbali na ninapoishi ila hata sijamuita naskia saa sita usiku au saba nagongewa mlango hicho ndani afu unakuta ndo nimechoka kweli.mtu sijamuita unashtukia meseji saa 4 usiku niko njiani nakuja...namwambia wewe sijakuita...kinajibu nakuja tu.ilifika wakati nakimbia geto.kuna siku aliniandikia meseji nakuja hee nkatoroka geto nkaenda kulala gesti kalipigwa baridi usiku wote hapo ndo nkawa nimemfukuza,nshabutua makofi sana wapi hajawai toa ata chozi ndo kwanza ananiambia utaniulia humu mpaka naogopa.ni kimbembe nimeongea machache.ila show anaupiga mwingi...yani kama mchezaji wa leo mo salah au mbape
 
daah aisee nimecheka sana. mkuu unapendwa adi unaogopa🤣🤣🤣
 
daah aisee nimecheka sana. mkuu unapendwa adi unaogopa🤣🤣🤣
Hmm mtu hujamuita huyo.mkuu yani akija leo,kesho anakupumzisha...kesho kutwa ka meseji hako saa 6 usiku nakuja na hapingingiki we tulia utaskia mlango umegongwa.sa huruma zangu nikawa nampokea asilale nje maana anatoka mbali,ndani mixer makofi mawili kumtisha asiwe anakuja huh yani kofi nikama nimempapasa tu.bro mi sio wakupiga wanawake kabisa ila huyu hmmmm alinishinda mpaka nikakimbia geto.ngoja nikuongezee nyama kidogo siku nilipomkimbia akalala nje.nilikua na laki 3 mfukoni huo usiku niliotoroka geto nikaenda nikalewa na mdogo wangu nikalala gesti huh asubui nkajikuta na elfu saba tu.hapo hicho ki dada kila dakika meseji ananitumia nikaikimbia simu nayo.nkatishiwa ana mimba yangu na ataniroga.sijui nilimpaje mimba na kondom nilikua navaa.nkikusimulia hichi kisa sema navunja vunja vipande.kuna demu mtaani ile siku natoroka geto alinikuta nimekaa sehem mwenyew akanihoji mbona upo hapo mwenyewe nikampa kisa cha kukimbia kwangu si akataka kununua kesi eti nimpe namba ya huyo mjita wapambane kwa simu nkakataa ila namba yangu akachukua..basi kama siku mbili demu akaniomba gemu tena kwakunisimanga eti labda sio mwanaume,yani nataka nikupe uchi unakataa hmm nkaona madharau haya nkamwambia twende gest manzi akaja.ikapigwa show bao la kwanza hilo.basi kabla ya bao la pili manzi akasema anapenda kugongwa kwa nguvu afu kwa fujo yaaani ile pa pa pa paaa pa.mwamba sinikaaminia eti nataka nimfanyie anavyotaka nikaanza izo pa pa pa pa kainama sasa hapo napiga kwa nguvu fasta fasta....katikati ya show nilipata pararalizi la ajabu.yani upande wa kushoto kuanzia utosi mpaka mguu wa kushoto.nikaanguka huko kama kondoo.umenikumbusha ya mjita hichi kisa siwez kusahau kamwe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…