Naomba kujua tofauti ya mtu asiye na gari na mwenye gari lakini kila siku analipeleka gereji kutengenezwa

Naomba kujua tofauti ya mtu asiye na gari na mwenye gari lakini kila siku analipeleka gereji kutengenezwa

Kiufupi mkuu binadamu tunapenda sifa.

Na pengine wengine hawapendi bugudha.

Public same time Kuna maudhi kwenye root baadhi.

Pia uwezo wako ndo unakupelekea kufanya kile roho inapenda.
 
Mwenye gari atakuwa anatumia pesa nyingi kwa siku kuliko asiye na gari.

Mwenye gari siku za usoni aweza kuwa fundi gari kuliko asiye na gari.

Mwenye gari ataandamwa na stress kuliko mwenye asiye na gari.

Ni rahisi asiye na gari kupata magonjwa yasiyo ambukiza kuliko asiye na gari lakini mwenye gari anaweza kuiuza akanunua pikipiki.
 
Stress za gari inayosumbua zisikie tu kwa jirani!Siku ukiliuza unahisi umetua mzigo mzito!
 
Tofauti ni kwamba ukiwa abiria unamuona trafiki kama raia mwenzako...
Ila ukiwa na gari trafiki unamuona kama adui yako
 
Wote hawana gari, gari ya kila siku gereji karne hii hiyo sio gari.
 
Hapa kIpaumbele changu Kikubwa ni kusoma tu Comments zenu Matajiri, Wasomi na Masikini Wenzangu hapa JF sawa?
Tofauti ni kuwa wewe ni kapuku kazi kufuatilia maisha ya wenye magari na yeye ana gari na uwezo wa kulipeleka gereji!
 
Kutokuwa na gari ni tatizo kubwa zaidi. Gari hata likiwa bovu unaweza litumia kama dhamana ukanunua hata pkpk huku limepaki uwani au ukauza hata vyuma chakavu kama halitengenezeki. In short kuwa na gari ni kuwa na pesa.
 
Kama magonjwa ya gari hayatibiki ni bora kulitelekeza barabarani na kupanda public transport
Utakuwa umeokoa hela nyingi
Siwezi kuwa mtumwa wa gari bovu hata siku moja
 
Back
Top Bottom