Huyo unayemueleza naye huenda ni wale wale tu CCM....Ngoja Chacha aje atufumbue tena.Nyoka ameanza kutoka shimoni ili watu wamuone...waliokuwa wanahisi bila ushahidi wapate ushahidi..wenye akili finyu wapate kuelewa ......Nyoka anatoka shimoni kuonesha ombo lake halisi...lakini ukumbuke huko shimoni anawatoto mpaka vinying'inya...ipo siku navyo vitajidhihirisha hadharani...nandio utakuwa mwisho wa CCM, kwasasabu, ya kukiuka misingi ya nyuma.