WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Pia wana Rais wa Zanzibar anayechaguliwa kikatiba na pia wana Spika wa Bunge lao na Jaji mkuu wa Zanzibar.Hapana, uraia ndio kitu kikubwa kuliko ukaazi, naendelea kusisitiza, Zanzibar sio nchi ni sehemu ya JMT, kwa maoni yangu, kuiita nchi yako kuwa ni nchi ya kusadikika ni upungufu wa uzalendo.
P
Ukaazi unapatikanaje?Hapana, uraia ndio kitu kikubwa kuliko ukaazi, naendelea kusisitiza, Zanzibar sio nchi ni sehemu ya JMT, kwa maoni yangu, kuiita nchi yako kuwa ni nchi ya kusadikika ni upungufu wa uzalendo.
P
Mkuu umetisha hahaha.. 😂😂😂Wakuu naomba kwa yeyote anayejua anisaidie namna ya kuhama kutoka kuwa mtanzania wa Tanzania bara na kuwa mtanzania wa Zanzibar yaani kuwa mzanzibari
Nataka kuwa mzanzibari wa kuhamia ili niwe na haki ya kumiliki ardhi kule na Tanzania bara pia, kugombea uongozi kule na nafasi za Muungano kama utais lakini pia niweze kugombea ubunge kule ili niweze kuteuliwa kuwa waziri katika wizara za muungano na zisizo za muungano kama ilivyo kwa Makame Mbarawa anayeongoza wizara isiyo ya muungano ambayo ni ya Tanzania bara lakini kwa mtu kutoka Tanzania bara hawezi kuteuliwa kuongoza wizara Zanzibar.
Nikiwa mzanzibari naweza kuteuliwa kuwa mkuu wa mkoa au mkuu wa wilaya Zanzibar au Tanzania bara kama ilivyo kwa Shaka ambaye ni DC huku Tanzania bara lakini hakuna mtanzania bara anayeweza kuwa Sheha, DC au RC kule Zanzibar.
Nataka kuwa mzanzibari kwakuwa wazanzibari wanajitambua sana linapokuja suala la nchi yao na uraia wao tofauti na watanganyika waoga hawataki kuwepo kwa Tanganyika yao utadhani ikiwepo watakufa wote. Ni watu waoga sana na hawaipendi asili na nchi yao kama wazanzibari. Naombeni meongozo wa kuachana na Tanganyika nimechoka kuionea aibu nchi yangu bora nihame kabisa. Kumbukeni KILA MZANZIBARI NI MTANZANIA LAKINI SI KILA MTANZANIA NI MZANZIBARI. Naombeni wazanzibari mnipoker nije kushirikiana nanyi kuipigania Zanzibar
Kwa Wazanzibari ni free, au mmoja wa wazazi wako akiwa Mzanzibari, au kama ulikuwepo Zanzibar ile 12/01/1964.Ukaazi unapatikanaje?
Mnachanganya sana watu, sijui kwa faida ya nani?, Zanzibar sio nchi
Aahahhaaa😂😂😂😂Aiseee!Muungano wa vibweka.Kuna muungano na maunganiko.
Mkuu 'Paskali' usifikiri hueleweki kwa hivyo vikaratasi vya uTanzania; kama vilivyo vile vya Katiba yenyewe.Hapana, uraia ndio kitu kikubwa kuliko ukaazi, naendelea kusisitiza, Zanzibar sio nchi ni sehemu ya JMT, kwa maoni yangu, kuiita nchi yako kuwa ni nchi ya kusadikika ni upungufu wa uzalendo.
P
Kaka Pascal utahojiwa tena... This time Zanzibar ni nchi au siyo nchiTanzania ni nchi moja ya JMT, yenye uraia mmoja tuu, Zanzibar sio nchi, bali ni sehemu ya JMT, yenye utawala wake wa ndani na utambulisho wake wa ndani uitwao ukaazi, sio uraia, ni utambulisho tuu!.
P
Uwe na tabia nzuri.... Take note of thisUkaazi unapatikanaje?
Kipindi hiki hakunaga tena hizi mambo za kuhojiana.Kaka Pascal utahojiwa tena... This time Zanzibar ni nchi au siyo nchi
Alafu atoe kisogoKabla hatujakupa utaratibu sababu hatutaki kunajisi ardhi yetu na uraia wetu je wewe ni Dini gani ?!
Tanzania ni nchi moja tuu ya JMT, yenye sehemu mbili, Tanzania Bara na Tanzania Visiwani au Tanzania Zanzibar. Zanzibar sio nchi bali ni sehemu ya JMT yenye utawala wake wa ndani. Hivyo ndivyo isemavyo katiba ya JMT.Mnachanganya sana watu, sijui kwa faida ya nani?
Kuna mahali popote ndani ya sheria za JMT inayosema "Zanzibar siyo nchi"?
PWanabodi!
Mkanganyiko wa Katiba.
Kama nilivyosema kimataifa Tanzania ni nchi moja ya JMT, hakuna mkanganyiko wowote wa kimataifa kuhusu Tanzania.
Lakini Kitaifa kuna mkanganyiko wa katiba kati ya katiba ya JMT na katiba ya Zanzibar.
Kwa mujibu wa katiba ya JMT, ya mwaka 1977, Tanzania ni nchi moja ya JMT yenye sehemu mbili, Tanzania Bara na Tanzania Visiwani au Tanzania Zanzibar. Zanzibar sio nchi bali ni sehemu ya JMT yenye utawala wake wa ndani.
Katiba ya Zanzibar ya mwaka 1984, inaiita Zanzibar ni nchi, ni moja ya nchi mbili zinazounda JMT!. Kitendo cha katiba ya Zanzibar kuuita Zanzibar ni nchi, kinawakanganya Watanzania kudhani kuwa nchi ya Tanganyika ndio pekee iliyokufa ila nchi ya Zanzibar ipo haikufa
Naomba niwahakikishie Tanzania ni nchi moja ya JMT, ile nchi inayotajwa na katiba ya Zanzibar kuwa ni nchi ya Zanzibar, sii kweli kuwa Zanzibar ni nchi, bali ni jina tuu, hayo mabadiliko ya katiba ya Zanzibar kujiita nchi, kimuungano ni mabadiko batili, ila, kwa vile mabadiliko hayo ni kwaajili ya Zanzibar tuu, na hayatambuliwi na katiba ya JMT, serikali ya JMT, imeamua kuyapuuza!, lakini kufuatia hizi kelele, tutapuuza mpaka lini?. Si ni bora twende kwenye serikali moja, haya yote yaishe?.
Conclusion
Kwa vile Rais Samia, anakwenda kutupatia katiba mpya, hili pia litarekebishwa, na kwa maoni yangu, dawa pekee ya uhakika na ya kudumu ambayo ni mwarobaini wa kuzimaliza kero zote za muungano, ni kwenda kwenye serikali moja. Nimalizie na hili swali, je, Tanzania sasa mmefika wakati wa kutimiza ndoto ya Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere, ya uzalendo wa kweli wa JMT, wa kwenda kwenye serikali moja?
Wasalaam,
Paskali.
Nenda Zanzibar, onana na uhamiaji wa huko watakupa utaratibu.Wakuu naomba kwa yeyote anayejua anisaidie namna ya kuhama kutoka kuwa mtanzania wa Tanzania bara na kuwa mtanzania wa Zanzibar yaani kuwa mzanzibari
Nataka kuwa mzanzibari wa kuhamia ili niwe na haki ya kumiliki ardhi kule na Tanzania bara pia, kugombea uongozi kule na nafasi za Muungano kama utais lakini pia niweze kugombea ubunge kule ili niweze kuteuliwa kuwa waziri katika wizara za muungano na zisizo za muungano kama ilivyo kwa Makame Mbarawa anayeongoza wizara isiyo ya muungano ambayo ni ya Tanzania bara lakini kwa mtu kutoka Tanzania bara hawezi kuteuliwa kuongoza wizara Zanzibar.
Nikiwa mzanzibari naweza kuteuliwa kuwa mkuu wa mkoa au mkuu wa wilaya Zanzibar au Tanzania bara kama ilivyo kwa Shaka ambaye ni DC huku Tanzania bara lakini hakuna mtanzania bara anayeweza kuwa Sheha, DC au RC kule Zanzibar.
Nataka kuwa mzanzibari kwakuwa wazanzibari wanajitambua sana linapokuja suala la nchi yao na uraia wao tofauti na watanganyika waoga hawataki kuwepo kwa Tanganyika yao utadhani ikiwepo watakufa wote. Ni watu waoga sana na hawaipendi asili na nchi yao kama wazanzibari. Naombeni meongozo wa kuachana na Tanganyika nimechoka kuionea aibu nchi yangu bora nihame kabisa. Kumbukeni KILA MZANZIBARI NI MTANZANIA LAKINI SI KILA MTANZANIA NI MZANZIBARI. Naombeni wazanzibari mnipoker nije kushirikiana nanyi kuipigania Zanzibar
Lazima kuna vigezo vyao, Mbona Mzee Mwinyi na Mzee Jumbe wote ni Watanganyika na wakapata mpaka Urais wa Zanzibar.Nilivutiwa sana na kichwa cha mada yako: " Naomba kujulishwa taratibu za kubadili uraia kutoka kuwa mtanzania bara na kuwa mzanzibari"
Hili pekee lingejitosheleza sana kwa mjadala wa mada hii bila ya kuweka hayo maelezo mengine, ambayo nadhani yamepanuwa sana mada na kuififisha.
Mimi nilivutiwa na hiki kichwa cha mada, kwa sababu sijui taratibu zikoje, mtu ukitaka kuwa mZanzibari ukiwa unatokea Tanganyika.
Wenye kujuwa utaratibu huo tafadhali uelezeni kwenye mada hii.
Nani alikwambia uraia wa israel mgumu kuupata? Wanahaha kutafuta watu huko.Itakuwa ngumu kuliko kuomba uraia wa Israeli.
Uwe unalala au ma wewe mme ameenda shirikishi?Nani alikwambia uraia wa israel mgumu kuupata? Wanahaha kutafuta watu huko.
Wale Watanzania wa Bashe walirudi au wameselelea hukohuko?
Nyani haoni kundule, huona la wengine tu.Uwe unalala au ma wewe mme ameenda shirikishi?
Makosa ya kiufundi achana nayo
Kwani raia wa huko ni nani hasa. Waarabu?Lazima kuna vigezo vyao, Mbona Mzee Mwinyi na Mzee Jumbe wote ni Watanganyika na wakapata mpaka Urais wa Zanzibar.
Ni kufata taratibu zao tu na vigezo vipo tayari, nahisi licha ya watu hao wawili maarufu, kuna wengi wengine wasio maarufu wana uraia wa huko.