Wakuu hivi ni lazima kusubili Kwa siku 21 ukishamwaga slab ndo kazi zingine ziendelee? Mbona naona ninsiku nyingi mno bika sababu, wataalam nishauri tafadhali
Finishing unaazia hatua gani?Mkuu ukifikia hatua ya finishing.naomba kaz call/WhatsApp 0757735884 au tembelea ukurasa wetu Instagram highland_decor_solution
Mende ndio kitu ganiNimemaliza msingi:
Nondo 12mm ni 48
Nondo 8mm ni 15
Cement ni 61
Kokoto Mende moja na fuso moja
Mchanga Mende 1 na gari ndogo 2
Nimetumia kana 8.7M kwa mambo yote.
Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Mende ndio kitu gani
Mende ndio Kama hi ni Lory lenye uwezo wa kubeba cubic meter 16m³ sawa na tipa tano kwa wakatiMende ndio kitu gani
UmayumbaNi mdudu anayependa kuishi chooni ama nyumba chafu [emoji276]
Noma sanaMende ndio Kama hi ni Lory lenye uwezo wa kubeba cubic meter 16m³ sawa na tipa tano kwa wakatiView attachment 2474301
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Hyo hapo nimetumia cement mfuko 30 plasta nje na ndani bati za 1.2m mbao za kupaulia 512000,
Andaa Kwanza msingi Kisha na nguzo za kubeba zege la juu
View attachment 2474287
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Asante mkuu mdundulizaji kama sisiPitia hapa ndo Kuna vipimo
Mkuu upo humble sanaRAMANI hii hapa
Mkuu huko juu kuna rooms ngapi. Naomba nikutunzie ramani PMHyo hapo nimetumia cement mfuko 30 plasta nje na ndani bati za 1.2m mbao za kupaulia 512000,
Andaa Kwanza msingi Kisha na nguzo za kubeba zege la juu
View attachment 2474287
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Muulize injinia wako atakupa majibu.Wakuu hivi ni lazima kusubili Kwa siku 21 ukishamwaga slab ndo kazi zingine ziendelee? Mbona naona ninsiku nyingi mno bika sababu, wataalam nishauri tafadhali
[emoji16][emoji16][emoji16]Ukiambiwa utume ramani unaringa ringa,usije kukanyaga Singida wewe raia [emoji276]
Ukiambiwa utume ramani unaringa ringa,usije kukanyaga Singida wewe raia [emoji276]
Hongera sana mleta mada, tunaomba update!
Laki 9 kwa square meter moja iliyojengawaWataalam naomba rough estimate ya msingi wa kijumba chenye GHOROFA MOJA, ukubwa wake ni 7680x9270.
Gharama ya msingi hadi kufunga mkanda ni kiasi gani cha fedha, Eneo ni flat kabisa.
Je, hatua au mbinu gani unaweza kufanya kupunguza gharama zisizo za lazima?