Naomba kuongea na wadogo zangu wa kike wenye kutafuta ndoa

Wala wanaume vijana hawajawahi kuwa wachache kuliko wanawake. Ni vile umuhimu wa ndoa umepungua tu. Wanawake wa focus kwenye elimu na kujifunza kujitegemea ndio ukombozi wao
 
Kwahiyo wewe hata sensa hujui unaishi kama mdudu?

Ukiacha Tanzania hata kidunia wanawake ni wengi kuliko wanaume, na bado humo kuna ******* na watawa idadi inazidi kushuka.

Hakuna kipindi ambacho kilipaswa kuwa cha ndoa za wake wengi kama sasa ili kuwastiri wanawake.

Isaya 4:1
“Na siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mmoja, wakisema, Tutakula chakula chetu wenyewe, na kuvaa mavazi yetu wenyewe; lakini tuache tuitwe kwa jina lako, utuondolee aibu yetu.”
 
🤣 we jamaa ni mjinga kinoma embu pitia hizo sensa unazojidai kuzitaja halafu uje tujadili huenda huelewi unachozungumzia
 
Senge wewe.

Senge wewe.

Acha upumbavu bwana mdogo aliyeleta hoja za sensa ni wewe,, nikakutaka kuleta takwimu za idadi ya watu Tanzania na duniani umeshindwa kuleta unabaki kutukana tu🤣 nenda kaangalie hizo takwimu unazozidai halafu uje tujadili
 
Back
Top Bottom