Naomba kuongea na wadogo zangu wa kike wenye kutafuta ndoa

Nimefuatilia uzi huu mwanzo hadi hapa, pamoja na uzuri wake na umuhimu wake kwa walengwa ila nimegundua kuna shida nyingine kwenye jamii inachomoza ya ushoga.

Kwa jinsi alivyo kuwa anajibu yule mdau alie ibua hoja hio umahiri wake wa kujenga hoja na kuitetea mpaka kuona wengine ni vilaza kisa wameshindwa kujibu anavyotaka yeye, inaonyesha ni jinsi gani wanaotetea ushoga na kuueneza wataweza kufanikiwa azima yao wakati si mwingi ujao, jamii ina paswa kuchukua tahadhari sana.
 
Ilifika mahali nikamuuliza kama ana mzazi shoga ... Na nikamuuliza kama kila anayepingana naye basi ni kilaza hajitambui
Mzazi, ndugu ama jamaa anayetambua nini maana ya jinsia na mipaka take kamwe hawezi kushabikia ushoga
Mtu yeyote mwenye familia kamili kamwe hawezi kushadadia ushoga... Watetezi wengi wa ushoga pia wana element za shida ya usagaji😩😩😩
Unaweza ukadhani ni heri usagaji kuliko ushoga lakini kilema ni kilekile
 
Anabaki hivyo alivyo kivipi? kua mlevi ni sifa nzuri? mzinzi ni sifa nzuri? mwizi ni sifa nzuri? mchawi ni sifa nzuri? fisadi mla rushwa ni sifa nzuri? muuaji je? hao wote umewafikiria jinsi wanavyoleta kero na kutia kinyaa kwenye jamii zao? Kwa hiyo kwako hao walevi na wezi ni mashujaa zako ila shoga ndio anakukereta? kwanini na hao tusiwakemee au kwa vile hizo tabia kuna mbili tatu unazo ndio maana unajaribu kuzifukia fukia na kunyooshea vidole watu wazima wawili walioamua kwa hiyari yao kutumia miili yao vile wanavyotaka wao?
Umeninukuu vibaya hakuna mahali nimesema ni sifa nzuri ni mbaya na ndio maana hata Katika jamii mbalimbali zinakemewa kwa uwazi kabisa na nyingine zinawapeleka watu jela au kuuwawa na wananchi wenye hasira kali, hapo tukubaliane.
Lakini ushoga, ni jambo lilopitiliza mipaka yaani kwenda kinyume na jinsi Mungu alivyokuumba, hakuna kitu kama mapenzi ya jinsia Moja Hilo ni neno la kubumba, ni propaganda za kishetani.
Sex from Latin sexus "a sex, state of being either male or female, gender,"
Sexual intercourse is between male and female
period
Kinyume na hapo ni ulemavu wa akili, sio Kila alichohalalisha mzungu ni halali, mzungu spiritual ni mlemavu wa akili upungufu wa melanin pigment umemfanya kuwa kipofu Katika ulimwengu wa roho,
Melanin ni molecule adimu inayopatikana kwa wingi kwa watu weusi hii inamchango mkubwa kukuza pineal gland au third eye, ikuwezeshe kuona beyond all perceived thing, beyond all material thing and all propaganda.
Ndiyo maana Kuna mambo mengi yanapigiwa chapuo duniani tukiamini, ni maendeleo ya sayansi na teknolojia but at the end of the road it's a destruction of the so called civilization.
 
Wallah umenichekesha sana asubuhi ya leo sikutarajia kucheka namna hii, leo mzungu amekua mlemavu kwenye ulimwengu wa kiroho, mzungu huyo huyo aliyewaletea dini na mkazikumbatia na ndio hizo mnaishi nazo hadi kuzitolea mifano kwa mambo msiyoyapenda, leo mtu mweusi amekua anajiona yeye ni bora kwenye ulimwengu wa kiroho sababu ya rangi yake 🤣🤣🤣🤣🙌🏻 na kichekesho zaidi hayo yote uliyoyanukuu yametoka kwa huyo huyo mlemavu wa akili, my ribs🤣

Mimi bado hujaniambia shoga kama ni mbaya je anatofauti gani na Mlevi, Mzinzi, Mchawi, Muuaji, Fisadi mla rushwa, yaani bado hujasema kwanini shoga anakua amepitiliza dhidi ya aina hiyo ya makundi mengine, je hayo makundi mengine hayana athari kubwa kwa jamii na je athari ya ushoga ni ipi kwa jamii ukiondoa hiyo point nyepesi ya "machukizo kwa Mungu" nipe strong point inayoendana na jamii yetu ya sasa.
 
Mada imekuja kutawaliwa na kipengele kimoja cha ushoga! Tunaweza kupata picha namna tatizo lilivyo kubwa kwenye ndoa
Braza ni kuacha kuwaongelea basi itaisha, naona watu wengi wakitoa maneno yao mwisho lazima wamalizie na ushoga, kuna mtu alileta mada ya single moms akadai ndio wanazalisha mashoga, wewe pia umechomekea indirect, mada chokonozi juu ya ushoga ni nyingi, mkiacha kuwaongelea na wao wataacha kujiongelea,
Kuwanyooshea watu fulani vidole hali ya kua ninyi nyote ni wa dhambi huo unakua unafki usiovumilika,

Dunia inaweza kua mahali salama kama tu kila mmoja akaishi maisha yake bila kuingilia ya mwenzake.
 
Wallah umenichekesha sana asubuhi ya leo sikutarajia kucheka namna hii, leo mzungu amekua mlemavu kwenye ulimwengu wa kiroho, mzungu huyo huyo aliyewaletea dini na mkazikumbatia na ndio hizo mnaishi nazo hadi kuzitolea mifano kwa mambo msiyoyapenda, leo mtu mweusi amekua anajiona yeye ni bora kwenye ulimwengu wa kiroho sababu ya rangi yake 🤣🤣🤣🤣🙌🏻 na kichekesho zaidi hayo yote uliyoyanukuu yametoka kwa huyo huyo mlemavu wa akili, my ribs🤣

Mimi bado hujaniambia shoga kama ni mbaya je anatofauti gani na Mlevi, Mzinzi, Mchawi, Muuaji, Fisadi mla rushwa, yaani bado hujasema kwanini shoga anakua amepitiliza dhidi ya aina hiyo ya makundi mengine, je hayo makundi mengine hayana athari kubwa kwa jamii na je athari ya ushoga ni ipi kwa jamii ukiondoa hiyo point nyepesi ya "machukizo kwa Mungu" nipe strong point inayoendana na jamii yetu ya sasa.
Lazima ucheke kwa sababu yote nliyokwambia huenda ndo mara ya kwanza unayasikia,
Kwanza mi sifuati dini ya mzungu nna Imani yangu ya kiroho iliyojichimbia mizizi enzi na enzi, Hilo swala la nukuu si la kiroho nimekuwekea wewe kipofu wa kiroho ili uelewe kwa kuwa unaamini sana anachosema mzungu, tukipelekana deep kutokana na Imani yangu ya kiroho hautakaa unielewe mpaka unaingia kaburini.

Kuhusu suala la ushoga as long as we ni supporter hata ueleweshwe vipi hautokaa uelewe, kwa kuwa tayari umo kundini, hapo kinachoplay akilini mwako kwa Sasa ni cognitive dissonance, utataka kusikia kile unachopenda kusikia au unachokiamini nje na hapo ni sawa na kumpigia mbuzi gitaa,

ashakum si matusi
ungejisikiaje kama baba ako mzazi angekuwa shoga
 
Mbona kama umepanic 🤣
Swali nimeuliza vizuri tu lijibu bila kuweka imani ya kiroho, ushoga una athari gani kwenye jamii tuliyopo ukilinganisha na Mlevi, Mzinzi, Mwizi, Mchawi, Muuaji, Fisadi mla rushwa?
Sasa kama wewe unaongelea imani yako ya kiroho ambayo hatuijui kwanini unataka tuishi na tuhukumu kupitia imani yako ya kiroho isiyojulikana? 🤔

Swali lako, ulishawahi kuwauliza watoto wa Walevi, Wazinzi, Wachawi, Fisadi hua wanajisikiaje kwa baba zao? ushoga ungekua wake mimi nijisikie nini sasa 🤣
 
Braza ni kuacha kuwaongelea basi itaisha, naona watu wengi wakitoa maneno yao mwisho lazima wamalizie na ushoga, kuna mtu alileta mada ya single moms akadai ndio wanazalisha mashoga, wewe pia umechomekea indirect, mada chokonozi juu ya ushoga ni nyingi, mkiacha kuwaongelea na wao wataacha kujiongelea,
Kuwanyooshea watu fulani vidole hali ya kua ninyi nyote ni wa dhambi huo unakua unafki usiovumilika,

Dunia inaweza kua mahali salama kama tu kila mmoja akaishi maisha yake bila kuingilia ya mwenzake.
Nadhani tuko kwenye mjadala na tunafanya hivi kwa faida ya wengi wanaosoma kimya na si ufundi wa kuwanyooshea wengine vidole.. Maisha yana mengi na kila mtu ana njia yake ngumu anapitia ama kapitia.. Ku point out tatizo si kunyooshea wengine vidole mapito yao ama mapungufu yao... Huwa naandika kwa makini sana kuepusha dhana kama hizo. Japo sasa tafsiri za wengine ndio huleta mengine ambayo sina uwezo wa kuyazuia
 
Ilifika mahali nikamuuliza kama ana mzazi shoga ... Na nikamuuliza kama kila anayepingana naye basi ni kilaza hajitambui
Mzazi, ndugu ama jamaa anayetambua nini maana ya jinsia na mipaka take kamwe hawezi kushabikia ushoga
Mtu yeyote mwenye familia kamili kamwe hawezi kushadadia ushoga... Watetezi wengi wa ushoga pia wana element za shida ya usagaji😩😩😩
Unaweza ukadhani ni heri usagaji kuliko ushoga lakini kilema ni kilekile
Coca tupo nae na habari zake hizo miaka mitano na zaidi ila isiyo kawaida haizoeleki, kila siku anaonekana wa ajabu hio ni jana leo na hata kesho.
 
Humu ndani Kuna watu wa ajabu hadi aibu mtu anakuambia yupo Shoga ana hofu ya mungu
Nimekutana na mashoga wengi ni watu wanaohitaji msaada mkubwa wa kiroho.. Wanajitahidi kubeba uhalisia usio wao na wanajikuta wanaharibu
Walioniumiza zaidi ni wale ambao hawakuwa mashoga kiasili bali kutokana na mazingira na wengi wameishia kujidhuru
 
Mshana Jr update ule uzi unaosema unataka kuzungumza na Vijana below 30
 
Back
Top Bottom