Wachu macheke
Senior Member
- Oct 8, 2024
- 171
- 348
Nakazia mimi kama mwanandoa niliye ng'atuka nikiwa na akili timamu ndoa ni utaperiMimi kama katibu mwenezi wa kataa ndoa, nina waomba mtulie kidogo andiko la kiutu uzima hili.
Nakazia mimi kama mwanandoa niliye ng'atuka nikiwa na akili timamu ndoa ni utaperiMimi kama katibu mwenezi wa kataa ndoa, nina waomba mtulie kidogo andiko la kiutu uzima hili.
Anabaki hivyo alivyo kivipi? kua mlevi ni sifa nzuri? mzinzi ni sifa nzuri? mwizi ni sifa nzuri? mchawi ni sifa nzuri? fisadi mla rushwa ni sifa nzuri? muuaji je? hao wote umewafikiria jinsi wanavyoleta kero na kutia kinyaa kwenye jamii zao? Kwa hiyo kwako hao walevi na wezi ni mashujaa zako ila shoga ndio anakukereta? kwanini na hao tusiwakemee au kwa vile hizo tabia kuna mbili tatu unazo ndio maana unajaribu kuzifukia fukia na kunyooshea vidole watu wazima wawili walioamua kwa hiyari yao kutumia miili yao vile wanavyotaka wao?Hao uliowataja kama ni me/ke watabaki hivyo walivyo, ila siyo mtu anajitoa ufahamu janaume Zima linamuinamia mwanaume mwenzake aargh eti linachukua role ya mwanamke linajidekesha na linamuita beby na linailialia kabisa, come on can't you imagine, huyo si tu ana magonjwa ya akili ni mwehu au mlemavu kama bro Mshana alivyoelekeza.
As long as we ni mwanamke huwezi, you can't feel what I feel about them gays shit
Kwa maelezo haya basi bado hujaelewa maana ya malezi kwa mtoto, kasome na fanya utafiti ipasavyo juu ya malezi ya mtotoRole ya baba inategemea jinsia ya mtoto ila zipo ambazo ni general mfano baba yoyote ana jukumu lakumfundisha mtoto wake kuwa kila kitu kina mipaka na akiivuka atakutana na madhara yake. Sasa hii ni general
Ila specific inategemea jinsia mfano kwa mtoto wakiume ni lazima baba awe mfano kwa mwanae juu ya utambuzi wa jinsi na jinsia yake, sasa kama baba akiwa ni full bottom huyo hawezi mfundisha mtoto jinsi yake sababu yeye mwenyewe ana jinsi tofauti japo wanafanana jinsia
Kwa mtoto wakike moja ya kazi ya baba ni kumfanya binti yake ajiamini juu ya jinsi yake, kuhusu jinsia hiyo ni kazi ya mama ndio maana asilimia kubwa ya mabinti wanaweza kuishi zaidi na waume wenye tabia kama za baba zao.
Sasa baba akiwa ni full bottom hivyo vitu kuna walakini yeye kuvifanya sababu vingi vipo subconsciously zaidi japo kwenye conscious mind yake anavijua ila wakati wakuvi deliver ndio mtihani utakuja.
Ni kitu kipana ila kuandika itachukua muda mwingi kukifafanua, ila inaweza saidia nikisema mtoto anajifunza kwa kudadisi zaidi na huwa mtoto anakawaida ya kuzidadisi tabia za nzazi ndio maana mtoto anaweza kujua mzazi akiwa kakasirika hata bila kumkaripia same akiwa na furaha, huzuni au wasi wasi, hio inaenda mbali sana hadi huko kwenye jinsi na jinsia.
hii sio comment, ungefungua uzi wako weweManeno ya nabii Isaya yanaanza kutimia. Siku hizi wanawake wanaforce na kulazimisha ndoa, mpaka hufikia hatua ya kutumia hela kumshawishi mwanaume. Yaani kwa jinsi hela ya mwanamke ilivyokuwa ngumu kutoka, ukiona mpaka anatumia kumuhonga mwanaume, kujitolea mahali kaa ukijua wanahali mbaya.Wachungaji na waganga wa kienyeji washawageuza vitega uchumi, halafu ukikutana nao humu JF au kwenye majukwaa mengine wanakwambia hawataki ndoa, kumbe kutwa anaitafuta kwa wachungaji na waganga wa kienyeji.
Wengine kinacho waponza ni tamaa ya fedha mpaka wanafikia hatua ya kutembea na waume za watu/vibabu na kuwachomolea vijana wenzao wanao jitafuta, wakija kushtuka umri umeenda na wakizalishwa mwamba anarudi kwa mkewe. Wengine wanawapenda playboy/wahuni wanwakataa church boy, wakija kushtuka utawasikia wanatafuta mwanaume aliye tulia ubaya umri ushamtupa mkono.
Ila yote kwa yote umri huu 18-27 wanawake wengi hufanya maamuzi ya sio sahihi juu ya maisha yao kimahusiano, kwani maamuzi yao huyafanya kwa kuendekeza tamaa ya fedha na luxury na hujikuta wameangukia kwa wanaume za watu/vibabu au kuendekeza nyege na fantasy za ngono za ajabu ajabu na kujikuta wameangukia kwa wahuni/maplayboy. Huku wale vijana wenye nia ya dhati ( mara nyingi church boy) huwaona kwamba,wapole, wanabore, hawana swaga, hawajui mapenzi ila baada ya kufikish umri huu 28 na kiendelea ,hawa ambao hakuwaona kufaa ndio wanakuwa priority yake,ila kwa umri aliokuwa nao anakuwa hana soko tena mbele yao na wengi wanakuwa washaoa na hapo sasa anakuwa mshangazi na kulea Mario na vijana siku hizi wanapenda vitonga, msingi wao ni kiuno.
Ndoa ni kila kitu kwa mwanamke chamsingi apate ndoa boraUmenena vyema Kaka mkubwa,tukiwaambia Sisi hawatuelewi,jamii inawa presharaizi Sana,ndoa ni muhimu kwa ustawi wa jamii,lakini Sio Kila kitu kwenye haya maisha!!!
Hahaha, nime baki nasema Dunia ime chafukaMada imekuja kutawaliwa na kipengele kimoja cha ushoga! Tunaweza kupata picha namna tatizo lilivyo kubwa kwenye ndoa
Dunia imekuwa uwanja wa vitaMada imekuja kutawaliwa na kipengele kimoja cha ushoga! Tunaweza kupata picha namna tatizo lilivyo kubwa kwenye ndoa
🔥🔥🔥✍️🤛👍Jumamosi inshallah ✌🏿💪🏿
(6,631) Mada maalum kwa wanandoa | Page 87 | JamiiForums Mada maalum kwa wanandoaNasisi waoaji utuangalizie ka uzi
Kapo kitamboNasisi waoaji utuangalizie ka uzi
Nasisi waoaji utuangalizie ka uzi
(6,631) Wanandoa wengi hawapendani | Page 11 | JamiiForums Wanandoa wengi hawapendaniNasisi waoaji utuangalizie ka uzi
Ohoooooh kwishaaaa(6,631) Wanandoa wengi hawapendani | Page 11 | JamiiForums Wanandoa wengi hawapendani
Sawa Mkuu, mimi najifunza daily kiongozi. Ni vyema ukamwaga elimu hapa ya kile unachokijua wewe juu ya haya mambo watu tujifunze pia.Kwa maelezo haya basi bado hujaelewa maana ya malezi kwa mtoto, kasome na fanya utafiti ipasavyo juu ya malezi ya mtoto