Mstahiki Mea
JF-Expert Member
- Jul 13, 2018
- 6,559
- 12,518
Ahaa kumbe umekuwa specific kwa Tanzania ... nikajua general according to world population ambazo zinaonesha Me tunawazidi Ke. Hata tanzania hakuna uchache huo ni 51% kwa 49%Sensa ya Taifa
Sensa mashuleni
Sensa vyuoni
Takwimu vizazi na vifo