Maneno ya nabii Isaya yanaanza kutimia. Siku hizi wanawake wanaforce na kulazimisha ndoa, mpaka hufikia hatua ya kutumia hela kumshawishi mwanaume. Yaani kwa jinsi hela ya mwanamke ilivyokuwa ngumu kutoka, ukiona mpaka anatumia kumuhonga mwanaume, kujitolea mahali kaa ukijua wanahali mbaya.Wachungaji na waganga wa kienyeji washawageuza vitega uchumi, halafu ukikutana nao humu JF au kwenye majukwaa mengine wanakwambia hawataki ndoa, kumbe kutwa anaitafuta kwa wachungaji na waganga wa kienyeji.
Wengine kinacho waponza ni tamaa ya fedha mpaka wanafikia hatua ya kutembea na waume za watu/vibabu na kuwachomolea vijana wenzao wanao jitafuta, wakija kushtuka umri umeenda na wakizalishwa mwamba anarudi kwa mkewe. Wengine wanawapenda playboy/wahuni wanwakataa church boy, wakija kushtuka utawasikia wanatafuta mwanaume aliye tulia ubaya umri ushamtupa mkono.
Ila yote kwa yote umri huu 18-27 wanawake wengi hufanya maamuzi ya sio sahihi juu ya maisha yao kimahusiano, kwani maamuzi yao huyafanya kwa kuendekeza tamaa ya fedha na luxury na hujikuta wameangukia kwa wanaume za watu/vibabu au kuendekeza nyege na fantasy za ngono za ajabu ajabu na kujikuta wameangukia kwa wahuni/maplayboy. Huku wale vijana wenye nia ya dhati ( mara nyingi church boy) huwaona kwamba,wapole, wanabore, hawana swaga, hawajui mapenzi ila baada ya kufikish umri huu 28 na kiendelea ,hawa ambao hakuwaona kufaa ndio wanakuwa priority yake,ila kwa umri aliokuwa nao anakuwa hana soko tena mbele yao na wengi wanakuwa washaoa na hapo sasa anakuwa mshangazi na kulea Mario na vijana siku hizi wanapenda vitonga, msingi wao ni kiuno.