Naomba kuongea na wadogo zangu wa kike wenye kutafuta ndoa

Ndio hizo Bill of Reasons nazihitaji hapa.
Okay ila Mr Mshana Jr ameshaeleza vya kutosha kabs.
  • First psychologically huyo nyanya hawez kuwa stable.
  • Future yake ni kudumisha ushg
  • Usalama wa watot against ushg
  • Hawez kutimiza majuku yake kwa ufasaha hence naye anatimiz ndoto za wajuba.
  • Ni laana kwa mungu if unaimani lakn.
  • Huwez kuwa kiongozi na kujenga familia imara.
  • Atashindwa ku apply uwanaeme ktk ndoa.
NB otherwise future ya hiyo ndoa sio kupata watoto na kuacha legacy including kutimiza kilichowaleta duniani
 
Sasa unatakiwa ueleze wee hapa ni kwanini msenge hawezi kuwa hizo sifa ulizozitaja. Ili na mie nianze kukujibu kwa ufasaha zaidi.

Narudia tena, umesoma andiko la Mshana na ukaelewa? Unazungumzia kitu ambacho mwenzio anapinga, afu wee unakubalii. Lol

Unahisi niliuliza lile swali kwa bahati mbaya? Lipo pale kwa makusudi na udhamilifu pia.

Em fanya nilivyo eleza para ya 1, nawiwa kujadili hili kwa undani zaidi.
Shoga hawezi kuoa kwakuwa hana hizi three attributes kwa pamoja

-Masculinity
-fatherhood
-Being responsible father or husband
 
Imebidi nihakiki km ni kweli I'd Hii ndo imeandika haya, na nikajiridhisha ni yenyewe.
Sasa sijui aliyeandika ni wee mwenyewe au mwingine.

Nikujibu kwa ufupi, umeshindwa kujibu swali, na umeamua kukimbia kabisa majadiliano, hili limevuka uwezo na upeo wako wa kufikiri.
Poleeee 😂😂😂😂
 
We umeuliza swali Ila haukujenga hoja ?

Mimi nimejenga hoja kuwa kwanini shoga anabidi asioe nilitegemea wewe ukanushe kwa kujenga hoja

Maana haujajenga hoja Ila unakataa hoja ?

Mimi hoja zangu nimetaja tatu kuwa nj masculinity , Fatherhood , and responsibilities nilitegemea na wewe ujenge hoja zako ambazo mwisho wa mjadala tungeona hitimisho .

Ila naona stereotype ulijiandaa kusikia kile kinacho match na ufahamu wako tu.
 
Umeshamuonq mnyamab
Mwanaume, ni mtu mwenye jinsi ya kiume, haijalishi hata awe khanithi bado ni mwanaume. Regardless of maumbile.

Mume, ni mwanaume aliyeoa, au mwenye mke wa halali.

Baba, ni mwanaume mwenye uzao/watoto, nikazie watoto wake halisi waliotokana na uzazi wake.

Umesema Baba msenge ni laana, hapa unachanganya, means unaleta ktk mfumo wa Imani au Dini, je km wahusika hawapo ktk mlengo huo? Hii haiwahusu kabisa, na u tatizo unakua haupo automatically.

Maadili na Malezi, baba msenge atamkuza mwanae ktk maadili na malezi mema na bora, kulingana na hitaji takwa la mtoto mwenyewe pasipo kuathiri chochote ktk makuzi hayo.

Una jingine?
Umeshawahi kumuona mnyama dume halafu walinazi?
 
Okay ila Mr Mshana Jr ameshaeleza vya kutosha kabs.
  • First psychologically huyo nyanya hawez kuwa stable.
  • Future yake ni kudumisha ushg
  • Usalama wa watot against ushg
  • Hawez kutimiza majuku yake kwa ufasaha hence naye anatimiz ndoto za wajuba.
  • Ni laana kwa mungu if unaimani lakn.
  • Huwez kuwa kiongozi na kujenga familia imara.
  • Atashindwa ku apply uwanaeme ktk ndoa.
NB otherwise future ya hiyo ndoa sio kupata watoto na kuacha legacy including kutimiza kilichowaleta duniani
NB otherwise future ya hiyo ndoa sio kupata watoto na kuacha legacy including kutimiza kilichowaleta duniani📌🔨
 
Katika ubora wako mkuu Mshana Jr . unfortunately hao wanawake wanaotaka NDOA hawajiposition kuwa wake za watu. Wengi wao huanza kuhangaika wakati wameshafanya makosa mengi nyuma na sasa umri umeenda anajaribu kujiweka Sawa ila harufu ya makosa yake ya nyuma inaambatana nae, na waoaji wenyewe ndo Sisi sasa 😀😀KATAA NDOA
 
Okay ila Mr Mshana Jr ameshaeleza vya kutosha kabs.
  • First psychologically huyo nyanya hawez kuwa stable.
  • Future yake ni kudumisha ushg
  • Usalama wa watot against ushg
  • Hawez kutimiza majuku yake kwa ufasaha hence naye anatimiz ndoto za wajuba.
  • Ni laana kwa mungu if unaimani lakn.
  • Huwez kuwa kiongozi na kujenga familia imara.
  • Atashindwa ku apply uwanaeme ktk ndoa.
NB otherwise future ya hiyo ndoa sio kupata watoto na kuacha legacy including kutimiza kilichowaleta duniani
  • psychologically hawezi kuwa stabe kivipi, em fafanua ueleweke.
  • Ushoga haudumishwi, hutokea kwa muhusika mwenyewe kuutaka au kuukubali,
*usalama upo na unakuwepo, ikiwa mtoto hautaki na haukubali ushoga
  • ni majukumu yapi hayo ambayo hawezi kuyatimiza, yataje ili tuhakiki km ni kweli.
  • hii umemaliza mwenyewe, wasio ktk mlengo au imani hiyo, haiwahusu kabisa.
  • sio tu anaweza, Bali ana mudu kuwa kiongozi na kujenga familia imara na bora.
*atashindwa ku apply uanaume wake ktk ndoa kivipi? Dadavua tupate kufahamu na kujadili kwa kina.

NB: soma tena uzi wa mshana na uuelewe, halafu ndipo upate uwanda mpana wa kuchanganua.
Karibu.
 
Imebidi nihakiki km ni kweli I'd Hii ndo imeandika haya, na nikajiridhisha ni yenyewe.
Sasa sijui aliyeandika ni wee mwenyewe au mwingine.

Nikujibu kwa ufupi, umeshindwa kujibu swali, na umeamua kukimbia kabisa majadiliano, hili limevuka uwezo na upeo wako wa kufikiri.
Poleeee 😂😂😂😂
Mjukuu natambua wewe ni mtetezi mkubwa wa mashoga japo naamini kwa hakika huna mzazi shoga!
 
We umeuliza swali Ila haukujenga hoja ?

Mimi nimejenga hoja kuwa kwanini shoga anabidi asioe nilitegemea wewe ukanushe kwa kujenga hoja

Maana haujajenga hoja Ila unakataa hoja ?

Mimi hoja zangu nimetaja tatu kuwa nj masculinity , Fatherhood , and responsibilities nilitegemea na wewe ujenge hoja zako ambazo mwisho wa mjadala tungeona hitimisho .

Ila naona stereotype ulijiandaa kusikia kile kinacho match na ufahamu wako tu.
Nilikuambia hizo hoja zako zielezee kivipi shoga hawezi kuwa nazo, ndipo na mie nikujibu kwa ufasaha.

Wee hujaeleza hivyo, umeishia kukazana hawezi kuwa nazo, eleza kivipi Hawezi kuwa navyo..

Unataka hoja zangu binafsi? Ningetaka ningezileta, ila nilitaka mleta uzi yeye ndo aweke hoja zake, kulingana na andiko lake kuhusu hili kundi. Na ndipo nikauliza swali.

sikuuliza kwa bahati mbaya, wee fanya hivi hizo hoja zako 3 ulizosema, eleza kwa vipi shoga hawezi kuwa nazo, afu mie nije nikujibu. Nataka tujadili hoja zako, maana nikileta zangu, uzi utakua na mushkeri.
😂😂😂😂😂
Karibuu.
 
  • psychologically hawezi kuwa stabe kivipi, em fafanua ueleweke.
  • Ushoga haudumishwi, hutokea kwa muhusika mwenyewe kuutaka au kuukubali,
*usalama upo na unakuwepo, ikiwa mtoto hautaki na haukubali ushoga
  • ni majukumu yapi hayo ambayo hawezi kuyatimiza, yataje ili tuhakiki km ni kweli.
  • hii umemaliza mwenyewe, wasio ktk mlengo au imani hiyo, haiwahusu kabisa.
  • sio tu anaweza, Bali ana mudu kuwa kiongozi na kujenga familia imara na bora.
*atashindwa ku apply uanaume wake ktk ndoa kivipi? Dadavua tupate kufahamu na kujadili kwa kina.

NB: soma tena uzi wa mshana na uuelewe, halafu ndipo upate uwanda mpana wa kuchanganua.
Karibu.
Ahaha HONGERA Umefanikiwa kikamilifu kujiunga na walinazi.
 
Mjukuu natambua wewe ni mtetezi mkubwa wa mashoga japo naamini kwa hakika huna mzazi shoga!
Swadaktaaa!!.

Sina Mzazi shoga wala Msagaji, nauhakika hata mapenzi ya jinsia 1 hawataki kusikia wala kuambiwa.

Ila hii hainifanyi mie nisiwe nakipigania kile ninacho kiamini, regardless wao wanataka au hawataki. Hii ni mie binafsi, wao hawahusiki na haiwahusu kabisaa.
 
Back
Top Bottom