Hadi wachungaji wana makanisa kabisa wapoShoga mwenye hofu ya Mungu 😂 dah ya Leo kali
Itakuwa wanachunga mbuziHadi wachungaji wana makanisa kabisa wapo
Hakuna walevi na wazinzi wenye hofu ya Mungu?Itakuwa wanachunga mbuzi
Walevi sawa, ila wazinzi na mashoga wanajisumbua tu kiberiti kama kipo basi kipo palepale hata wawe na hofu kuu kiasi ganiHakuna walevi na wazinzi wenye hofu ya Mungu?
Mshana Jr hili muhimu kaka natamani hata kesho Poor Brain dronedrake Evelyn Saltmku wakimaliza kuchangia hii mada naomba uje na mada nyingine kuhusu sisi wadogo zako wa kiume wenye kutafuta mke wa kuoa
Kwamba hakuna Shoga mwenye Hofu ya Mungu? Ikiwa yuko ktk mlengo wa imani na dini zimuabuduo?Shoga mwenye hofu ya Mungu 😂 dah ya Leo kali
Halafu ndio likataka kubeba mjadala😆Inasikitisha sana ,LGBTQ ni laana ,tuipinge kwa nguvu zote ,kwasisi wazazi ni kuomba Mungu asitokee mtoto kufuata mambo ya UPINDE ni aibu kwa FAMILIA nzima.
Kijana wako kwenye content yote ya Mshana Jr ,wali nazi ndiyo imemvutia 😀😀😀
OK sawa.. Nilimjibu kwa muktadha wa mada, sikutaka kutoka nje ya mada.. Nadhani weekend hii panapo majaliwa nitaleta mada nyingine ya kiumeni.. Kuna point kadhaa hapo umegusia zitakuwepo but one thing for sure za kutetea ushoga in any way hazikuwepo au hazitakuwa entertainedHapo umekosea sana kwanini hua mnadhani Shoga hana maadili lakini mwanaume anayebadili wanawake kila kukicha ana maadili au mwanaume mlevi ana maadili au mwanaume anayekula tigo za wanawake ana maadili au mwanaume jambazi ana maadili au fisadi mla rushwa ana maadili?
Usimjudge shoga kwa uelekeo wake wa kingono wapo mashoga wana hofu ya Mungu vile vile na wengine wachungaji kama ambavyo wapo walevi na wazinzi wenye hofu ya Mungu na wachungaji vile vile
Mwanaume jike mwenye pepo wachafuKwamba hakuna Shoga mwenye Hofu ya Mungu? Ikiwa yuko ktk mlengo wa imani na dini zimuabuduo?
Au wee ukisikia Shoga, unahisi nini? Lol
Kwahiyo mjukuu mtu anayepinga ushoga ama mwenye mtazamo hasi kuhusu ushoga ana akili finyu!!?😩🤔🥺 Na mtu anaye support ushoga ana uelewa mkubwa!?🤔🥺Unajua leo kuna watu nilkua nawaona akili kubwa na wana upeo mpana, kumbe nilikua najidanganya.
Huyu Dr na Mtibeli, leo wameni suprise haswaa, 😂😂😂😂😂
Nacheka hapa hadi Co poaa. Wanajikanyaga tyuu,
kuna mtu aliwahi nambia, "ukitaka kuijua akili au uelewa wa mbongo hasa mwanaume, mpe Mada ya Ushoga afu mjadili, hata awe na PhD, hutoona tofauti yake na std 7"
Nimeamini leo hii hapa ktk huu uzi.
😂😂😂😂😂
Shida sio kupinga, je unapingaje? Ktk huko kupinga unawasilisha vipi pingamizi lako, pasipo kuleta mushkeri au sintofahamu kwa wote.Kwahiyo mjukuu mtu anayepinga ushoga ama mwenye mtazamo hasi kuhusu ushoga ana akili finyu!!?😩🤔🥺 Na mtu anaye support ushoga ana uelewa mkubwa!?🤔🥺
Mungu aliumba jinsia mbili tofauti.. Mungu hakuumba shoga wala msagaji.. Haya mawili mimi huwa nayaweka kwenye kundi la ulemavu.. Na hakuna aliyechagua kuwa mlemavu..Shoga mwenye hofu ya Mungu 😂 dah ya Leo kali
Wee ndo uliye chabanga, swali lako nili elewa na nikajibu vizuri kabisa, unless wee ndo useme ulikosea namna ya kuuliza hilo swali lako.Nadhani hukuelewa swali la msingi ndio maana imefanya hata swali lililofuata ukachabanga