Kigezo cha bikra ya mwanamke ni muhimu sana usije ukaoa porno starmku wakimaliza kuchangia hii mada naomba uje na mada nyingine kuhusu sisi wadogo zako wa kiume wenye kutafuta mke wa kuoa
Too late shajichanganya!π€¦π½ββοΈNini mbaya π
Kama ni mimba ina miezi mi3πNimeona ila hujachelewa Sanaπ€£ππΏππΏ
Kwahiyo wewe hata sensa hujui unaishi kama mdudu?Wala wanaume vijana hawajawahi kuwa wachache kuliko wanawake. Ni vile umuhimu wa ndoa umepungua tu. Wanawake wa focus kwenye elimu na kujifunza kujitegemea ndio ukombozi wao
π€£ we jamaa ni mjinga kinoma embu pitia hizo sensa unazojidai kuzitaja halafu uje tujadili huenda huelewi unachozungumziaKwahiyo wewe hata sensa hujui unaishi kama mdudu?
Ukiacha Tanzania hata kidunia wanawake ni wengi kuliko wanaume, na bado humo kuna ******* na watawa idadi inazidi kushuka.
Hakuna kipindi ambacho kilipaswa kuwa cha ndoa za wake wengi kama sasa ili kuwastiri wanawake.
Isaya 4:1
βNa siku hiyo wanawake saba watamshika mtu mmoja, wakisema, Tutakula chakula chetu wenyewe, na kuvaa mavazi yetu wenyewe; lakini tuache tuitwe kwa jina lako, utuondolee aibu yetu.β
Jiandae kuitwa baba tuπ€Έπ½ββοΈLea wasamaria wema tupo π
Senge wewe.π€£ we jamaa ni mjinga kinoma embu pitia hizo sensa unazojidai kuzitaja halafu uje tujadili huenda huelewi unachozungumzia
Acha upumbavu bwana mdogo aliyeleta hoja za sensa ni wewe,, nikakutaka kuleta takwimu za idadi ya watu Tanzania na duniani umeshindwa kuleta unabaki kutukana tuπ€£ nenda kaangalie hizo takwimu unazozidai halafu uje tujadiliSenge wewe.
NBS | National Bureau of Statistics - Home
The National Bureau of Statistics (NBS) has been established as an autonomous public office by the Statistics Act, 2015 and has the mandate to provide official statistics to the Government, b | National Bureau of Statistics - Homewww.nbs.go.tz