Hapo kuna kazi.. Ana ubinafsi/uchoyo na ana kiburi.. Mpime na sifa zingine kama zinaweza kufunika hizi mbovuMkuu hongera sana kwa bandiko hili lenye nondo Mungu,ila mimi nina maswali naomba niulize
Nina mahusiano na binti mmoja tukiwa pamoja mfano nimnunulie kitu eg hata kitu fulani cha kula ambacho mnaweza kushare yeye badala ya kunipa/kunikatia huwa ananiniuliza kwamba nikupe?na si kwamba anipe halafu mimi nikatae,
Pili,Tukiwa kwenye mazungumzo huwa nachomekea kwa kumuuliza uliongea lini na dada/kaka yako huwa ananijibu mimi mtu asiponipigia simu na mimi huwa sijihangaishi naye
Sasa mkuu,kwa akili zangu fupi nimeona huyu mtu kama ana tabia fulani ya uchoyo na roho mbaya nitakua sawa au nataka kumhukumu tu vibaya?nipe ushauri wako
Ahsante kwa ushauri wako👋Hapo kuna kazi.. Ana ubinafsi/uchoyo na ana kiburi.. Mpime na sifa zingine kama zinaweza kufunika hizi mbovu
nimechimbwa beat na mods, wacha niwe mpoledronedrake njoo uchukue point 3 away.
Mapenzi hayaishi fasheni kuna siku utarejea bila kujua..kila shetani na mbuyu wakeHakuna mahauri ya kunirudisha kwenye ndoa, moyo wangu ulishachanika vipande vipande.. japo ndoa tamu .. ila mmh.. waliopo hongera zao, wanao zimudu hongera zao, na tuliotokamo pole na hongera zetu..
Dah! Mkuu kuna point of no return... mwanaume huwa anapenda na mwanamke huwa na hisia.. Upendo ukishapoa zinabaki hisia na hisia huja na kuondoka, hapo ndio inakuwa taabu.. sometimes tunajaribu kupendaa ila chuma kimekazaMapenzi hayaishi fasheni kuna siku utarejea bila kujua..kila shetani na mbuyu wake
Trust me kuna siku utapenda tena.. Mark this post...! Nilishaona watu wakila yamini lakini leo wako kwenye mahusiano mapya tena yenye afya na furahaDah! Mkuu kuna point of no return... mwanaume huwa anapenda na mwanamke huwa na hisia.. Upendo ukishapoa zinabaki hisia na hisia huja na kuondoka, hapo ndio inakuwa taabu.. sometimes tunajaribu kupendaa ila chuma kimekaza
Reduce volume🙌Maake kwaa nncheke 😹😹😹
Kwa wanaume gani ankali?
Hii mitakataka inayoshinda inajilengesha kwa mishangazi au kuna balo jipya limetoka?
Kila kitu huwa kinawezekana, lakini pia wapo ambao hawakuwai tena kupenda Wala kulejea mahusiano.Trust me kuna siku utapenda tena.. Mark this post...! Nilishaona watu wakila yamini lakini leo wako kwenye mahusiano mapya tena yenye afya na furaha
Yeah ni sahihi na kati ni wale ambaoKila kitu huwa kinawezekana, lakini pia wapo ambao hawakuwai tena kupenda Wala kulejea mahusiano.
Usichelewe zaidi miaka 6 imetosha sasaTulikutana six years ago hapohapo tukaanza mahusiano, nimemtoa bikra mwaka jana December, kutokana na mazingira aliyomo na distance relationship sikuamini miaka yote ameitunza na nimeikuta, heshima na upole wake vinanipa amani ya moyo kila nikiwa naye
Mungu akijaalia baada ya miaka kadhaa mbele nitaenda kwa wazazi wake nimueke ndani.