mie hata kabila sibagui, mchaga atanifaa tu,Hahahaha.. Chuga au kwa watani zangu patakufaa
Wewe mama Jay ulimtoa wapi? 😹Lionel messi alishachaguliwa mchumba na wazazi Wake tangu Akiwa na miaka 3.
Hata alllivopata pesa na Sasa ni BILLIONEA, Ila Bado aliheshimu maaamuz ya wazazi wake na kudumu na mkewe.
Ila Sasa Vijana WA kiSasa,
akishapata ajira ya laki 5, Chumba sebule na sabufa la sea piano.
Anaona wazazi wake washapitwa na wakati, anaenda kujiokotea kurumbembe lake listaafu la KIMBOKA na kuweka Ndani
Matokeo yake ni kusingizia wachawi kutwa kucha
😂😂😂 tumekutana jana mala kaniamini.Nikutafutie!!?😀
Sahihi.Hakuna kinachokosa mwongozo maishani
ni mchaka mchaka, amsumbue nani 😆😆😂Katakusumbua huo umri mpaka kakigonga 30