Naomba kuongea na wadogo zangu wa kiume walio kwenye ndoa na wanaotarajia kuingia kwenye ndoa

Naomba kuongea na wadogo zangu wa kiume walio kwenye ndoa na wanaotarajia kuingia kwenye ndoa

NB: Talaka zimekuwa nyingi kwakuwa ndoa nyingi hazina maandalizi ya kutosha

Hii mada ilikuwa ije weekend lakini naona nakumbushwa Sana hivyo sina budi kuileta usiku huu. Maana mchuzi wa umbwa hunywewa wa moto Nitajitahidi kufupisha ili isichoshe kusoma

Ndoa za leo zinatakiwa kwenda nazo kwa tahadhari kubwa kwakuwa vijana wa sasa wanadhani wanajua zaidi kuliko wazazi. Na huko tuendako kile kiapo cha "Nitakupenda hadi kifo kitakapotutenganisha" kitabadilika na kuwa "nitakupenda hadi talaka itakapotutenganisha"

Ndoa za zamani zilidumu kwakuwa wanandoa waliandaliwa vizuri na wazazi na infact hata wachumba walitafutwa na wazazi

Zile ndoa hazikuwa kwa ajili ya waoaji tu bali kuunganisha familia ama koo mbili baada ya urafiki ama ukaribu wa muda mrefu wa wazazi wa pande zote mbili... Ndoa hizo zilichukua hadi miaka 10 mpaka kuja kuoana.. Maana wachumba walikuwa spotted tangu shule za msingi

Vigezo vilivyoangaliwa kwa msichana wakati huo pamoja na vingine hivi ndio vilikuwa vya msingi
1. Usichana wake(bikira)
2. Heshima
3. Uchapakazi
4. Vipawa/vipaji
5. Uzao wake
6. Ukaribu wa familia
7. Magonjwa ya kimwili ya kurithi na yale ya kiroho
Hayo mambo Saba yalizingatiwa Sana.. Lakini baadae yakaanza kukengeukwa.. Masharti na vigezo vikawa vinapungua kila uchao

Tukatoka kwenye hitaji la bikira mpaka mtoto. Kwamba hata kama hana usichana wake basi asiwe kazalishwa..

Tukatoka hapo tukaingia hapa! hata kama kazaa lakini kama afya iko sawa AIDS negative sawa
Tukatoka huko tukaingia kwenye elimu kipato na ajira.. Kwakuwa sasa ukimwi sio ishu tena, MTO to ndio kabisa.. Bikira sahau, elimu pia na sasa ni ajira na kipato

Kwahiyo sasa tembeeni na biti hiyo lakini lazima kwenye vile vigezo Saba bado vingi vinahitaji uzingativu
1. Bikira si sana kwakuwa siku hizi zinatoka kwa njia nyingi.. Lakini vilevile ukimpata mwenye nayo mchunguze vema.. Mabinti wengi siku hizi hulinda mlango mkubwa na kuuacha mdogo wazi.. Ni heri umpate aliyelinda mdogo akaacha wazi mkubwa! Zingatieni sana hilo

2. Mwenye maono na ndoto za kujenga familia bora... Baadhi huja kwenye ndoa si kwa mapenzi bali kutafuta ahueni ya maisha na kuchuma

3. Mchapakazi, mwenye kujituma, msafi na mwenye kujali

4. Mwenye kutoka kwenye familia iliyo elimika(achana na utajiri au umaskini), familia inayojitambua, wasio na vimelea vya ushirikina, laana za ukoo, magonjwa ya kurithi na magonjwa ya kiroho
Hii point number nne ni muhimu sana kwakuwa imevunja ndoa nyingi sana!

5. Mchunguze mtarajiwa wako kama sio sex maniac ama kama hana dalili za ukhanithi wa kike.. Ni muhimu awe moderate.. Na ni muhimu kumchunguza anapenda nini mnapokuwa faraghani.. Style nk.. Utajifunza mengi hapo.. Ngono ni sehemu ya ibada kwenye kiapo cha ndoa.. Hivyo pamoja na kusemwa mapenzi ni uchafu.. Lakini kuna usafi wa kimwili na kiroho pia.. Pa mtumba sawa lakini at least use grade one au two.. Lisiwe lonya..

6.. Zingatia sana hii point hapa! Chumbia/oa binti wa imani yako ama inayokaribiana na yako... Chumbia/oa wa kabila lako ama anayekaribiana na kabila lako.. Hapa muingiliano wa imani na tamaduni umevunja ndoa nyingi sana!
7.. Chumbia mwanamke wa kawaida, mwenye vigezo vya kawaida.. Wanawake wazuri sana hawafai/hawawezi ndoa.. Ni pambo la wengi litakutesa.. Chumbia mwenye tabia zinazorekebishika.. Aliyeshindikana kwa tabia fulani jitenge naye atakutesa. Kwa mfano, hasira, uchoyo, wivu majungu rohombaya nk

8. Unachumbia/kuoa mtu utakayeishi naye miaka yote mpaka kifo... Hivyo una mengi ya kufanya.. Epuka uchumba wa miezi sita mwaka mmoja.. Kumfahamu walau nusu inakuhitaji si chini ya miaka mitatu
Vilevile si kwamba unaoa supermarket kwamba utakuta kila kitu humo.. Vingine utapaswa kuongeza taratibu.. Unaoa mtu ambaya hamkuwa wote tangu udogoni hivyo kuna kipindi cha mpito cha kurekebishana ili mfiti.. Sometimes ni kipindi chenye changamoto zake.. Stay focused.. Show your support, love and caring
Mfahamu January yake mpaka December kila mwezi.. Wiki yake Monday to Sunday.. Siku yake kukicha mpaka kukichwa
Nitaendelea
Huu uchumba wa miaka mitatu mpo shule au na mzigo unapewa?
 
Mkuu hongera sana kwa bandiko hili lenye nondo Mungu,ila mimi nina maswali naomba niulize
Nina mahusiano na binti mmoja tukiwa pamoja mfano nimnunulie kitu eg hata kitu fulani cha kula ambacho mnaweza kushare yeye badala ya kunipa/kunikatia huwa ananiniuliza kwamba nikupe?na si kwamba anipe halafu mimi nikatae,
Pili,Tukiwa kwenye mazungumzo huwa nachomekea kwa kumuuliza uliongea lini na dada/kaka yako huwa ananijibu mimi mtu asiponipigia simu na mimi huwa sijihangaishi naye
Sasa mkuu,kwa akili zangu fupi nimeona huyu mtu kama ana tabia fulani ya uchoyo na roho mbaya nitakua sawa au nataka kumhukumu tu vibaya?nipe ushauri wako
Stuka kimbia
 
Mshana Jr waambie kabisa kuwa huku kwenye ndoa wakati mwingine ni bila bila, kuna kijana alitaka kuvunja ndoa miezi 5 baada ya kuoa, kisa, alishangaa anavyoutafuta uvungu kwa tochi, anapiga sound kama ananunua, kumbe katoa mahari kabisa.
Matamanio ya wanawake na wanaume ni opposite kabisa: wakati wanaume wengi wanafikiri wakioa basi mchezo ni nje nje, wanawake akili zao hazipo huko kabisa..wao wakipata uhakika wa maisha, watoto wake anawaona wanakula, nyumba anabadirisha mboga ndo imeisha hiyo..usipokuwa makini utasahauliwa kabisaa
Point ifanyiwe lamination
 
Aisee tusidanganyane, nimekuwa kwenye ndoa mwaka wa 13 huu lakini kitu ambacho wengi wanashindwa kusema ukwwli ni kwamba namba one factor to consider kwa mke ni reception. Aise mke wako akuvutie yaa i uwe proud kuambatana nae kila sehemu.
Najua kutombewer atatombwa tuu lakini mie nipp proud kuambatana na my wife. Hayo mengine ndio yafuate.
 
Aisee tusidanganyane, nimekuwa kwenye ndoa mwaka wa 13 huu lakini kitu ambacho wengi wanashindwa kusema ukwwli ni kwamba namba one factor to consider kwa mke ni reception. Aise mke wako akuvutie yaa i uwe proud kuambatana nae kila sehemu.
Najua kutombewer atatombwa tuu lakini mie nipp proud kuambatana na my wife. Hayo mengine ndio yafuate.
😂😂😂
 
Nyongeza ndoa ni ya watu wawili mume na mke na nyie ndio wenye mamlaka ya kuamua muiendeshe vipi ili muwe na furaha wote wawili hamna haja ya kuangalia ndoa nyingne wanachofanya ili muishi kwa amani fanyeni kinachowaridhisha ninyi
Sahihi kabisa ndoa ni ya wawili
 
Kuna formula hapo ingefatwa sijui kama watu wangeoa au kuolewa upareni hasa kwenye ukoo wenu wa Mshana
😀😀😀😀nilijua tuuu.. Ila umepotoshwa au umepotoka.. Washana ni wahunzi hivyo lifestyle yao ni tofauti na wengine kwakuwa ilibidi awe mediator kati ya wakulima na wafugaji.. Jamii mbili zenye vita isiyokoma
 
Aisee tusidanganyane, nimekuwa kwenye ndoa mwaka wa 13 huu lakini kitu ambacho wengi wanashindwa kusema ukwwli ni kwamba namba one factor to consider kwa mke ni reception. Aise mke wako akuvutie yaa i uwe proud kuambatana nae kila sehemu.
Najua kutombewer atatombwa tuu lakini mie nipp proud kuambatana na my wife. Hayo mengine ndio yafuate.
Kuna grade 4
1. Brand new (the best)
2. Slightly used (mtumba grade one)
3. Used but OK (mtumba grade two) Mostly with a kid
4. Lonya..used and reused many times😆
 
Back
Top Bottom