Naomba kuongea na wadogo zangu wa kiume walio kwenye ndoa na wanaotarajia kuingia kwenye ndoa

Ndoa bana zinahitaji mtu mmoja kuwa mjinga na kuwa low key na kuacha mambo yaende la sivyo hakuna kutoboa SABABU WOTE HATUJAKAMILIKA, unakuta mtu mzuri kwenye kazi, lkn ana -mdomo kama cherehani..etc.NI KUVUMILIANA TU full stop.
Mimi sitaki kabisa mwanamke muongeaji kama cherehani hapana kabisa atuendanagi.
 
Mshana Jr waambie kabisa kuwa huku kwenye ndoa wakati mwingine ni bila bila, kuna kijana alitaka kuvunja ndoa miezi 5 baada ya kuoa, kisa, alishangaa anavyoutafuta uvungu kwa tochi, anapiga sound kama ananunua, kumbe katoa mahari kabisa.
Matamanio ya wanawake na wanaume ni opposite kabisa: wakati wanaume wengi wanafikiri wakioa basi mchezo ni nje nje, wanawake akili zao hazipo huko kabisa..wao wakipata uhakika wa maisha, watoto wake anawaona wanakula, nyumba anabadirisha mboga ndo imeisha hiyo..usipokuwa makini utasahauliwa kabisaa
Iko sawa kabisa ndio maana wazee wanasema kijana kabla ya kuoa jipange kwanza kwenye kipato ukiwa auna Hela mke wako kabisa kukunyimwa tamu ni chapu tu ndio maana sikubaligi swala la kulipia mahari kabisa sasa ndio Nini kunyimwa Tamu na mkeo kisa hela
 
NB: Talaka zimekuwa nyingi kwakuwa ndoa nyingi hazina maandalizi ya kutosha

Hii mada ilikuwa ije weekend lakini naona nakumbushwa Sana hivyo sina budi kuileta usiku huu. Maana mchuzi wa umbwa hunywewa wa moto Nitajitahidi kufupisha ili isichoshe kusoma

Ndoa za leo zinatakiwa kwenda nazo kwa tahadhari kubwa kwakuwa vijana wa sasa wanadhani wanajua zaidi kuliko wazazi. Na huko tuendako kile kiapo cha "Nitakupenda hadi kifo kitakapotutenganisha" kitabadilika na kuwa "nitakupenda hadi talaka itakapotutenganisha"

Ndoa za zamani zilidumu kwakuwa wanandoa waliandaliwa vizuri na wazazi na infact hata wachumba walitafutwa na wazazi

Zile ndoa hazikuwa kwa ajili ya waoaji tu bali kuunganisha familia ama koo mbili baada ya urafiki ama ukaribu wa muda mrefu wa wazazi wa pande zote mbili... Ndoa hizo zilichukua hadi miaka 10 mpaka kuja kuoana.. Maana wachumba walikuwa spotted tangu shule za msingi

Vigezo vilivyoangaliwa kwa msichana wakati huo pamoja na vingine hivi ndio vilikuwa vya msingi
1. Usichana wake(bikira)
2. Heshima
3. Uchapakazi
4. Vipawa/vipaji
5. Uzao wake
6. Ukaribu wa familia
7. Magonjwa ya kimwili ya kurithi na yale ya kiroho
Hayo mambo Saba yalizingatiwa Sana.. Lakini baadae yakaanza kukengeukwa.. Masharti na vigezo vikawa vinapungua kila uchao

Tukatoka kwenye hitaji la bikira mpaka mtoto. Kwamba hata kama hana usichana wake basi asiwe kazalishwa..

Tukatoka hapo tukaingia hapa! hata kama kazaa lakini kama afya iko sawa AIDS negative sawa
Tukatoka huko tukaingia kwenye elimu kipato na ajira.. Kwakuwa sasa ukimwi sio ishu tena, MTO to ndio kabisa.. Bikira sahau, elimu pia na sasa ni ajira na kipato

Kwahiyo sasa tembeeni na biti hiyo lakini lazima kwenye vile vigezo Saba bado vingi vinahitaji uzingativu
1. Bikira si sana kwakuwa siku hizi zinatoka kwa njia nyingi.. Lakini vilevile ukimpata mwenye nayo mchunguze vema.. Mabinti wengi siku hizi hulinda mlango mkubwa na kuuacha mdogo wazi.. Ni heri umpate aliyelinda mdogo akaacha wazi mkubwa! Zingatieni sana hilo

2. Mwenye maono na ndoto za kujenga familia bora... Baadhi huja kwenye ndoa si kwa mapenzi bali kutafuta ahueni ya maisha na kuchuma

3. Mchapakazi, mwenye kujituma, msafi na mwenye kujali

4. Mwenye kutoka kwenye familia iliyo elimika(achana na utajiri au umaskini), familia inayojitambua, wasio na vimelea vya ushirikina, laana za ukoo, magonjwa ya kurithi na magonjwa ya kiroho
Hii point number nne ni muhimu sana kwakuwa imevunja ndoa nyingi sana!

5. Mchunguze mtarajiwa wako kama sio sex maniac ama kama hana dalili za ukhanithi wa kike.. Ni muhimu awe moderate.. Na ni muhimu kumchunguza anapenda nini mnapokuwa faraghani.. Style nk.. Utajifunza mengi hapo.. Ngono ni sehemu ya ibada kwenye kiapo cha ndoa.. Hivyo pamoja na kusemwa mapenzi ni uchafu.. Lakini kuna usafi wa kimwili na kiroho pia.. Pa mtumba sawa lakini at least use grade one au two.. Lisiwe lonya..

6.. Zingatia sana hii point hapa! Chumbia/oa binti wa imani yako ama inayokaribiana na yako... Chumbia/oa wa kabila lako ama anayekaribiana na kabila lako.. Hapa muingiliano wa imani na tamaduni umevunja ndoa nyingi sana!
7.. Chumbia mwanamke wa kawaida, mwenye vigezo vya kawaida.. Wanawake wazuri sana hawafai/hawawezi ndoa.. Ni pambo la wengi litakutesa.. Chumbia mwenye tabia zinazorekebishika.. Aliyeshindikana kwa tabia fulani jitenge naye atakutesa. Kwa mfano, hasira, uchoyo, wivu majungu rohombaya nk

8. Unachumbia/kuoa mtu utakayeishi naye miaka yote mpaka kifo... Hivyo una mengi ya kufanya.. Epuka uchumba wa miezi sita mwaka mmoja.. Kumfahamu walau nusu inakuhitaji si chini ya miaka mitatu
Vilevile si kwamba unaoa supermarket kwamba utakuta kila kitu humo.. Vingine utapaswa kuongeza taratibu.. Unaoa mtu ambaya hamkuwa wote tangu udogoni hivyo kuna kipindi cha mpito cha kurekebishana ili mfiti.. Sometimes ni kipindi chenye changamoto zake.. Stay focused.. Show your support, love and caring
Mfahamu January yake mpaka December kila mwezi.. Wiki yake Monday to Sunday.. Siku yake kukicha mpaka kukichwa
Nitaendelea
unatushaurije na ambao tayari tupo ndoani?
 
Lionel messi alishachaguliwa mchumba na wazazi Wake tangu Akiwa na miaka 3.

Hata alllivopata pesa na Sasa ni BILLIONEA, Ila Bado aliheshimu maaamuz ya wazazi wake na kudumu na mkewe.

Ila Sasa Vijana WA kiSasa,
akishapata ajira ya laki 5, Chumba sebule na sabufa la sea piano.

Anaona wazazi wake washapitwa na wakati, anaenda kujiokotea kurumbembe lake listaafu la KIMBOKA na kuweka Ndani

Matokeo yake ni kusingizia wachawi kutwa kucha
Brother brother umeanza kutupanga au sio😎
 
NB: Talaka zimekuwa nyingi kwakuwa ndoa nyingi hazina maandalizi ya kutosha

Hii mada ilikuwa ije weekend lakini naona nakumbushwa Sana hivyo sina budi kuileta usiku huu. Maana mchuzi wa umbwa hunywewa wa moto Nitajitahidi kufupisha ili isichoshe kusoma

Ndoa za leo zinatakiwa kwenda nazo kwa tahadhari kubwa kwakuwa vijana wa sasa wanadhani wanajua zaidi kuliko wazazi. Na huko tuendako kile kiapo cha "Nitakupenda hadi kifo kitakapotutenganisha" kitabadilika na kuwa "nitakupenda hadi talaka itakapotutenganisha"

Ndoa za zamani zilidumu kwakuwa wanandoa waliandaliwa vizuri na wazazi na infact hata wachumba walitafutwa na wazazi

Zile ndoa hazikuwa kwa ajili ya waoaji tu bali kuunganisha familia ama koo mbili baada ya urafiki ama ukaribu wa muda mrefu wa wazazi wa pande zote mbili... Ndoa hizo zilichukua hadi miaka 10 mpaka kuja kuoana.. Maana wachumba walikuwa spotted tangu shule za msingi

Vigezo vilivyoangaliwa kwa msichana wakati huo pamoja na vingine hivi ndio vilikuwa vya msingi
1. Usichana wake(bikira)
2. Heshima
3. Uchapakazi
4. Vipawa/vipaji
5. Uzao wake
6. Ukaribu wa familia
7. Magonjwa ya kimwili ya kurithi na yale ya kiroho
Hayo mambo Saba yalizingatiwa Sana.. Lakini baadae yakaanza kukengeukwa.. Masharti na vigezo vikawa vinapungua kila uchao

Tukatoka kwenye hitaji la bikira mpaka mtoto. Kwamba hata kama hana usichana wake basi asiwe kazalishwa..

Tukatoka hapo tukaingia hapa! hata kama kazaa lakini kama afya iko sawa AIDS negative sawa
Tukatoka huko tukaingia kwenye elimu kipato na ajira.. Kwakuwa sasa ukimwi sio ishu tena, MTO to ndio kabisa.. Bikira sahau, elimu pia na sasa ni ajira na kipato

Kwahiyo sasa tembeeni na biti hiyo lakini lazima kwenye vile vigezo Saba bado vingi vinahitaji uzingativu
1. Bikira si sana kwakuwa siku hizi zinatoka kwa njia nyingi.. Lakini vilevile ukimpata mwenye nayo mchunguze vema.. Mabinti wengi siku hizi hulinda mlango mkubwa na kuuacha mdogo wazi.. Ni heri umpate aliyelinda mdogo akaacha wazi mkubwa! Zingatieni sana hilo

2. Mwenye maono na ndoto za kujenga familia bora... Baadhi huja kwenye ndoa si kwa mapenzi bali kutafuta ahueni ya maisha na kuchuma

3. Mchapakazi, mwenye kujituma, msafi na mwenye kujali

4. Mwenye kutoka kwenye familia iliyo elimika(achana na utajiri au umaskini), familia inayojitambua, wasio na vimelea vya ushirikina, laana za ukoo, magonjwa ya kurithi na magonjwa ya kiroho
Hii point number nne ni muhimu sana kwakuwa imevunja ndoa nyingi sana!

5. Mchunguze mtarajiwa wako kama sio sex maniac ama kama hana dalili za ukhanithi wa kike.. Ni muhimu awe moderate.. Na ni muhimu kumchunguza anapenda nini mnapokuwa faraghani.. Style nk.. Utajifunza mengi hapo.. Ngono ni sehemu ya ibada kwenye kiapo cha ndoa.. Hivyo pamoja na kusemwa mapenzi ni uchafu.. Lakini kuna usafi wa kimwili na kiroho pia.. Pa mtumba sawa lakini at least use grade one au two.. Lisiwe lonya..

6.. Zingatia sana hii point hapa! Chumbia/oa binti wa imani yako ama inayokaribiana na yako... Chumbia/oa wa kabila lako ama anayekaribiana na kabila lako.. Hapa muingiliano wa imani na tamaduni umevunja ndoa nyingi sana!
7.. Chumbia mwanamke wa kawaida, mwenye vigezo vya kawaida.. Wanawake wazuri sana hawafai/hawawezi ndoa.. Ni pambo la wengi litakutesa.. Chumbia mwenye tabia zinazorekebishika.. Aliyeshindikana kwa tabia fulani jitenge naye atakutesa. Kwa mfano, hasira, uchoyo, wivu majungu rohombaya nk

8. Unachumbia/kuoa mtu utakayeishi naye miaka yote mpaka kifo... Hivyo una mengi ya kufanya.. Epuka uchumba wa miezi sita mwaka mmoja.. Kumfahamu walau nusu inakuhitaji si chini ya miaka mitatu
Vilevile si kwamba unaoa supermarket kwamba utakuta kila kitu humo.. Vingine utapaswa kuongeza taratibu.. Unaoa mtu ambaya hamkuwa wote tangu udogoni hivyo kuna kipindi cha mpito cha kurekebishana ili mfiti.. Sometimes ni kipindi chenye changamoto zake.. Stay focused.. Show your support, love and caring
Mfahamu January yake mpaka December kila mwezi.. Wiki yake Monday to Sunday.. Siku yake kukicha mpaka kukichwa
Nitaendelea
Asante sana legend Mshana Jr
Mimi swali langu la msingi lipo kwenye hoja yako namba 6. Unaweza ukatusaidia kufahamu ipi ni perfect match kwa makabila?
Ukisema kwamba nioe mwenza wa kabila langu kidogo inakuwa inaleta shida niliondoka kijijini miaka mingi na huwa naenda mara chache na kukaa kwa siku chache

Muingiliano wa watu umesababisha leo hii Msukuma anaishi na kutengeneza makazi ya kudumu have Pemba, Rufiji nk

Swali langu: unaweza kutusaidia kutuwekea mchanganuo wa kabila hili akiolewa na kabila hili ndoa itakuwa ni baraka na mafanikio.

Nawasalisha🙏
 
Aisee tusidanganyane, nimekuwa kwenye ndoa mwaka wa 13 huu lakini kitu ambacho wengi wanashindwa kusema ukwwli ni kwamba namba one factor to consider kwa mke ni reception. Aise mke wako akuvutie yaa i uwe proud kuambatana nae kila sehemu.
Najua kutombewer atatombwa tuu lakini mie nipp proud kuambatana na my wife. Hayo mengine ndio yafuate.
Hata Mimi japo sijaoa lakini ivi ndivyo nafikiriaga kabisa yaani ata kama asiwe bikra ila nijisikie tu royal kuwa nae ✌️🤸
 
Asante sana legend Mshana Jr
Mimi swali langu la msingi lipo kwenye hoja yako namba 6. Unaweza ukatusaidia kufahamu ipi ni perfect match kwa makabila?
Ukisema kwamba nioe mwenza wa kabila langu kidogo inakuwa inaleta shida niliondoka kijijini miaka mingi na huwa naenda mara chache na kukaa kwa siku chache

Muingiliano wa watu umesababisha leo hii Msukuma anaishi na kutengeneza makazi ya kudumu have Pemba, Rufiji nk

Swali langu: unaweza kutusaidia kutuwekea mchanganuo wa kabila hili akiolewa na kabila hili ndoa itakuwa ni baraka na mafanikio.

Nawasalisha🙏
Thanks unajua hilo la makabila liko kijamii zaisi kwa ajili ya kuepusha migogoro na migongano
Jamii nyingi siku hizi zimeelimika hivyo tatizo sio kubwa kivile lakini bado kuna wale wanaoamiki katika
Wanaume mafiga matatu
Kutembea na binamu kinyama cha hamu
Matambiko ya koo, familia
Wanaodhani kuolewa ni kuhudumiwa 100% nk
 
NB: Talaka zimekuwa nyingi kwakuwa ndoa nyingi hazina maandalizi ya kutosha
Tuta laumu sana ila sababu ni 3.

1: Nyumba nyingi za ibada hasa zilizojaa mitume, makuhani, manabii na wale wanaojiita baba wa kiroho zimewaoa wanawake wengi hasa mabinti wa sasa na mama zetu baadhi kihisia na kiakili kiasi kwamba wanawake hawatawaliki tena na wala hawapo teyari kumsikiliza mume wake na kumtii kama maandiko matakatifu yanavyo eleza isipo kua lolote mwanaume utakalo taka litafikishwa huko kwenye nyumba za kiroho na kufananishwa na mipango ya kishetani ili waendelee kujivunia mihela kutoka kwa wanawake wajinga wajinga kwa kisingizio cha wanawaombea wapate waume wa kuwaoa.

2: Malezi. Shule nyingi za private na wazazi wengi wa sasa hivi wapo kimaslai sana kwa mabinti zao kiasi cha mabinti zao kuwaka tamaa mara dufu isivyokawaida.

3: HAKI SAWA, maandiko matakatifu yenyewe yapo kwa mfumo dume japo kua wanafunga macho na kudai haki sawa. Na hata ukijaribu kuwapa haki sawa utagundua wanawake hawana uwezo wa kuishi kwenye hiyo haki sawa wanayo idai kila kukicha

NB. MIAKA 50 IJAYO TAASISI YA NDOA HAITAKUWEPO KWA WANAUME WANAOJIELEWA ISIPOKUA LABDA TUU KAMA MWANAUME UMECHAGUA KUTESEKA
 
Thanks unajua hilo la makabila liko kijamii zaisi kwa ajili ya kuepusha migogoro na migongano
Jamii nyingi siku hizi zimeelimika hivyo tatizo sio kubwa kivile lakini bado kuna wale wanaoamiki katika
Wanaume mafiga matatu
Kutembea na binamu kinyama cha hamu
Matambiko ya koo, familia
Wanaodhani kuolewa ni kuhudumiwa 100% nk
😃😃😃
Mkuu bado sijakuelewa. Mimi ni Mnyantuzu wa Bariadi huko. Navutiwa sana na Wanawake wa Mkoa wa Mbeya na sababu ni watu wanaojua majukumu yao ndani ya familia, wanaelewa umuhimu wa mume na vile vile ni watiifu.

Nilichomaanisha ni mchanganuo je

Mnyantuzu na Mnyakyusa ni perfect combo?

Mzigua na Mchaga ni perfect combo?
Au uchambuzi huu haupo Kiuhalisia?
 
Stuka kimbia
Ahsante kwa kunisanua mkuu,ngoja nianze kuwasha yellow light kidogokidogo then red light,
Huyu mtu ananipa mashaka sana kuja kumatch naye vizuri kindoa kwa sababu mimi nilkijiangalia najiona kama napenda sana watu na nina huruma sana na wakati mwingine napata ugumu sana kumnyima kitu mtu kama ninacho ila nikimuangalia huyu binti namuona kabisa ana mimi sana
 
Back
Top Bottom