Naomba kuongea na wadogo zangu wa kiume walio kwenye ndoa na wanaotarajia kuingia kwenye ndoa

Naomba kuongea na wadogo zangu wa kiume walio kwenye ndoa na wanaotarajia kuingia kwenye ndoa

Aisee tusidanganyane, nimekuwa kwenye ndoa mwaka wa 13 huu lakini kitu ambacho wengi wanashindwa kusema ukwwli ni kwamba namba one factor to consider kwa mke ni reception. Aise mke wako akuvutie yaa i uwe proud kuambatana nae kila sehemu.
Najua kutombewer atatombwa tuu lakini mie nipp proud kuambatana na my wife. Hayo mengine ndio yafuate.
Mi si nili waambia watu kuwa Ume oa, ila wali bisha Sana.

Ona mjumbe wa kataa ndoa leo kakiri ame oa ,🤣😂
 
Jaribu kupita na back door kuona kama bikira ipo mkuu utanishukuru⁰,wanawake wanaotumika huko hawawezi kudumu kwenye ndia
 
NB: Talaka zimekuwa nyingi kwakuwa ndoa nyingi hazina maandalizi ya kutosha

Hii mada ilikuwa ije weekend lakini naona nakumbushwa Sana hivyo sina budi kuileta usiku huu. Maana mchuzi wa umbwa hunywewa wa moto Nitajitahidi kufupisha ili isichoshe kusoma

Ndoa za leo zinatakiwa kwenda nazo kwa tahadhari kubwa kwakuwa vijana wa sasa wanadhani wanajua zaidi kuliko wazazi. Na huko tuendako kile kiapo cha "Nitakupenda hadi kifo kitakapotutenganisha" kitabadilika na kuwa "nitakupenda hadi talaka itakapotutenganisha"

Ndoa za zamani zilidumu kwakuwa wanandoa waliandaliwa vizuri na wazazi na infact hata wachumba walitafutwa na wazazi

Zile ndoa hazikuwa kwa ajili ya waoaji tu bali kuunganisha familia ama koo mbili baada ya urafiki ama ukaribu wa muda mrefu wa wazazi wa pande zote mbili... Ndoa hizo zilichukua hadi miaka 10 mpaka kuja kuoana.. Maana wachumba walikuwa spotted tangu shule za msingi

Vigezo vilivyoangaliwa kwa msichana wakati huo pamoja na vingine hivi ndio vilikuwa vya msingi
1. Usichana wake(bikira)
2. Heshima
3. Uchapakazi
4. Vipawa/vipaji
5. Uzao wake
6. Ukaribu wa familia
7. Magonjwa ya kimwili ya kurithi na yale ya kiroho
Hayo mambo Saba yalizingatiwa Sana.. Lakini baadae yakaanza kukengeukwa.. Masharti na vigezo vikawa vinapungua kila uchao

Tukatoka kwenye hitaji la bikira mpaka mtoto. Kwamba hata kama hana usichana wake basi asiwe kazalishwa..

Tukatoka hapo tukaingia hapa! hata kama kazaa lakini kama afya iko sawa AIDS negative sawa
Tukatoka huko tukaingia kwenye elimu kipato na ajira.. Kwakuwa sasa ukimwi sio ishu tena, MTO to ndio kabisa.. Bikira sahau, elimu pia na sasa ni ajira na kipato

Kwahiyo sasa tembeeni na biti hiyo lakini lazima kwenye vile vigezo Saba bado vingi vinahitaji uzingativu
1. Bikira si sana kwakuwa siku hizi zinatoka kwa njia nyingi.. Lakini vilevile ukimpata mwenye nayo mchunguze vema.. Mabinti wengi siku hizi hulinda mlango mkubwa na kuuacha mdogo wazi.. Ni heri umpate aliyelinda mdogo akaacha wazi mkubwa! Zingatieni sana hilo

2. Mwenye maono na ndoto za kujenga familia bora... Baadhi huja kwenye ndoa si kwa mapenzi bali kutafuta ahueni ya maisha na kuchuma

3. Mchapakazi, mwenye kujituma, msafi na mwenye kujali

4. Mwenye kutoka kwenye familia iliyo elimika(achana na utajiri au umaskini), familia inayojitambua, wasio na vimelea vya ushirikina, laana za ukoo, magonjwa ya kurithi na magonjwa ya kiroho
Hii point number nne ni muhimu sana kwakuwa imevunja ndoa nyingi sana!

5. Mchunguze mtarajiwa wako kama sio sex maniac ama kama hana dalili za ukhanithi wa kike.. Ni muhimu awe moderate.. Na ni muhimu kumchunguza anapenda nini mnapokuwa faraghani.. Style nk.. Utajifunza mengi hapo.. Ngono ni sehemu ya ibada kwenye kiapo cha ndoa.. Hivyo pamoja na kusemwa mapenzi ni uchafu.. Lakini kuna usafi wa kimwili na kiroho pia.. Pa mtumba sawa lakini at least use grade one au two.. Lisiwe lonya..

6.. Zingatia sana hii point hapa! Chumbia/oa binti wa imani yako ama inayokaribiana na yako... Chumbia/oa wa kabila lako ama anayekaribiana na kabila lako.. Hapa muingiliano wa imani na tamaduni umevunja ndoa nyingi sana!
7.. Chumbia mwanamke wa kawaida, mwenye vigezo vya kawaida.. Wanawake wazuri sana hawafai/hawawezi ndoa.. Ni pambo la wengi litakutesa.. Chumbia mwenye tabia zinazorekebishika.. Aliyeshindikana kwa tabia fulani jitenge naye atakutesa. Kwa mfano, hasira, uchoyo, wivu majungu rohombaya nk

8. Unachumbia/kuoa mtu utakayeishi naye miaka yote mpaka kifo... Hivyo una mengi ya kufanya.. Epuka uchumba wa miezi sita mwaka mmoja.. Kumfahamu walau nusu inakuhitaji si chini ya miaka mitatu
Vilevile si kwamba unaoa supermarket kwamba utakuta kila kitu humo.. Vingine utapaswa kuongeza taratibu.. Unaoa mtu ambaya hamkuwa wote tangu udogoni hivyo kuna kipindi cha mpito cha kurekebishana ili mfiti.. Sometimes ni kipindi chenye changamoto zake.. Stay focused.. Show your support, love and caring
Mfahamu January yake mpaka December kila mwezi.. Wiki yake Monday to Sunday.. Siku yake kukicha mpaka kukichwa
Nitaendelea
Asante mkuu
 
Maake kwaa nncheke 😹😹😹
Kwa wanaume gani ankali?
Hii mitakataka inayoshinda inajilengesha kwa mishangazi au kuna balo jipya limetoka?
"Wanawake tukiwezeshwa tunaweza"

Midume jinga ikawawezesha kweli,, leo vijana wao wanatukanwa wamekuwa marioo wamekuwa Takataka.

Hawana direction women are taking all of it. Wanaamua Kujiegesha kwa mishangazi wanaambulia matusi.
 
Tuongee tu ukweli kwa Dunia sasa suala la ndoa tayari vijana limetushinda kwaiyo hakuna haja ya kulazimisha, na lawama haziwezi kurushwa kwa vijana tu kwa sababu Kuna mitindo ya kimaisha mingi sana ambayo inapingana na asili ya ndoa tuliipokea hapa miongo ya katikati.

Masuala kama feminism na usawa wa kijinsia haiwezekani tukayasimika kwenye jamii yetu na taasisi ya ndoa ikabaki kuwa imara.
Sijui kama watakuelewa.


Ndio maana kadri Harakati na Hekaheka za Usawa wa kijinsia zinavyoshika Hatamu,, Basi ndio Talaka zinavyoongezeka na masingle mothers wanaongezeka. Na kataa ndoa wanaongezeka

Kiufupi Taasisi ya Familia imeshajifia katika jamii yetu ya leo.
 
Dah! Mkuu kuna point of no return... mwanaume huwa anapenda na mwanamke huwa na hisia.. Upendo ukishapoa zinabaki hisia na hisia huja na kuondoka, hapo ndio inakuwa taabu.. sometimes tunajaribu kupendaa ila chuma kimekaza
Usijitese kwa kujiwekea misimamo inayopingana na ASILI. Siku ukishushiwa mwenye Upendo wa kweli utasahau maumivu yako yote. Kama unabisha niulize Mimi😄
 
Tuta laumu sana ila sababu ni 3.

1: Nyumba nyingi za ibada hasa zilizojaa mitume, makuhani, manabii na wale wanaojiita baba wa kiroho zimewaoa wanawake wengi hasa mabinti wa sasa na mama zetu baadhi kihisia na kiakili kiasi kwamba wanawake hawatawaliki tena na wala hawapo teyari kumsikiliza mume wake na kumtii kama maandiko matakatifu yanavyo eleza isipo kua lolote mwanaume utakalo taka litafikishwa huko kwenye nyumba za kiroho na kufananishwa na mipango ya kishetani ili waendelee kujivunia mihela kutoka kwa wanawake wajinga wajinga kwa kisingizio cha wanawaombea wapate waume wa kuwaoa.

2: Malezi. Shule nyingi za private na wazazi wengi wa sasa hivi wapo kimaslai sana kwa mabinti zao kiasi cha mabinti zao kuwaka tamaa mara dufu isivyokawaida.

3: HAKI SAWA, maandiko matakatifu yenyewe yapo kwa mfumo dume japo kua wanafunga macho na kudai haki sawa. Na hata ukijaribu kuwapa haki sawa utagundua wanawake hawana uwezo wa kuishi kwenye hiyo haki sawa wanayo idai kila kukicha

NB. MIAKA 50 IJAYO TAASISI YA NDOA HAITAKUWEPO KWA WANAUME WANAOJIELEWA ISIPOKUA LABDA TUU KAMA MWANAUME UMECHAGUA KUTESEKA
Naomba ufafanuzi zaidi no 2 hapo Mkuu(Shule za private)
 
😀😀😀😀nilijua tuuu.. Ila umepotoshwa au umepotoka.. Washana ni wahunzi hivyo lifestyle yao ni tofauti na wengine kwakuwa ilibidi awe mediator kati ya wakulima na wafugaji.. Jamii mbili zenye vita isiyokoma
Aah ila sisi ndo tuliambiwa hivyo na wazee enzi zao huko milimani, japo kwa sasa haufatwi huo utaratibu
 
Back
Top Bottom