Naomba kuongea na wadogo zangu wa kiume walio kwenye ndoa na wanaotarajia kuingia kwenye ndoa

Hapo kuna kazi.. Ana ubinafsi/uchoyo na ana kiburi.. Mpime na sifa zingine kama zinaweza kufunika hizi mbovu
 
Ndoa bana zinahitaji mtu mmoja kuwa mjinga na kuwa low key na kuacha mambo yaende la sivyo hakuna kutoboa SABABU WOTE HATUJAKAMILIKA, unakuta mtu mzuri kwenye kazi, lkn ana -mdomo kama cherehani..etc.NI KUVUMILIANA TU full stop.
 
Hakuna mahauri ya kunirudisha kwenye ndoa, moyo wangu ulishachanika vipande vipande.. japo ndoa tamu .. ila mmh.. waliopo hongera zao, wanao zimudu hongera zao, na tuliotokamo pole na hongera zetu..
Mapenzi hayaishi fasheni kuna siku utarejea bila kujua..kila shetani na mbuyu wake
 
Dah! Mkuu kuna point of no return... mwanaume huwa anapenda na mwanamke huwa na hisia.. Upendo ukishapoa zinabaki hisia na hisia huja na kuondoka, hapo ndio inakuwa taabu.. sometimes tunajaribu kupendaa ila chuma kimekaza
Trust me kuna siku utapenda tena.. Mark this post...! Nilishaona watu wakila yamini lakini leo wako kwenye mahusiano mapya tena yenye afya na furaha
 
Tulikutana six years ago hapohapo tukaanza mahusiano, nimemtoa bikra mwaka jana December, kutokana na mazingira aliyomo na distance relationship sikuamini miaka yote ameitunza na nimeikuta, heshima na upole wake vinanipa amani ya moyo kila nikiwa naye
Mungu akijaalia baada ya miaka kadhaa mbele nitaenda kwa wazazi wake nimueke ndani.
 
Usichelewe zaidi miaka 6 imetosha sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…