Naomba kuuliza kwa wote wanaomuamini Yesu

Na kimini kanisani.
 
Bora ninyamaze tuu
 
Nimekupa Sababu👆
Ulichojibu👇
Bora ninyamaze tuu
Mtu smart angepaswa kufanya hivi👇
Usingereply...
Hapa umefunua uwezo wako wa Kufikiria (Nafikiri unakosa uhusiano mzuri kati ya Ubongo na Fikra zako )👇
Ah kijana embu jaribu kunyamaza mna huna point ya mashiko
Nakushauri tu
Kafungue uzi kuhusu hiyo mada NiTag Nakuja kukujibia huko usipandishe mada juu ya mada.
 
Hili swali limenifikirisha sana nataka kujua siku atakapoludi,ataludi katika stairi ipi?amevaa suti kama wachungaji wanavyomuhubiri au amevaa kanzu kama Mashehee
Kama atarudi leo atavaa nguo ambayo kwake itamfaa
 

makanisa hayakuepo,aliabudu ndani ya sinagogi,,Jewish religion
Sasa nani alianzisha makanisa na huu utaratibu wa kusali?
 
Yupi wa kwenye hizi picha na video mwenye sura ya mzungu,au wa kwenye vitabu vya mwenyezi Mungu ambaye hakuna anayeijua sura yake wala picha?
 
Yupi wa kwenye hizi picha na video mwenye sura ya mzungu,au wa kwenye vitabu vya mwenyezi Mungu ambaye hakuna anayeijua sura yake wala picha?
Hebu nyoosha hoja kisomi bana!! usi quote hovyo yasiyoeleweka, ....au najibishana na mtoto? jua kabisa vitabu vya yesu wako ivo havituhusu sisi!! sie wateule vya kwetu! Yesu wetu yuko wazi kabisaaaaa!!....hajifichi!! km hujui sura yake huyo ni wewe!!

sie twajua fika rangi yake, sura yake uraia wake, u bin wake lkn sasa hilo ni somo jengine, mahali pangine na kwa wakati mwangine kwa marefu na mapana yake !
 
pole sana umejibu kitu ambacho hukijua,heri ungeomba kufundishwa;
"Ewee nabii waambie wake zako na biti zako,na wake waaminio,wateremshe shungi zao.Kufanya hivyo kutapeleka wao kutambulikana(kwamba ni wanawake waungwana) hawatakelwa ( na watu waovu) na Allah ni mwingi wa kusamehe (tena) mwenye huruma
 
Pole sanaa ndugu yangu,nilijua labda naelekezana na mtu anaeitaji kuelewa,ukiitaji kujua mtafuta mtu aliyechora picha ya yesu na historia yake
 
Unajua nachokushangaa mkuu umepania sana halafu mie hata sipo huko kwenye hiyo ligi, mie nimekuuliza swali vizuri tu. Ok ushajibu kwamba ukitangulia kusema jambo ndio inahesabika kuwa umesema kweli kwa sababu tu umetangulia kusema.

Mie nimemaliza.
 
Ndani ya Quruani kuna Habari zote zilizopo ndani ya Biblia tena kiufasaa, sasa sijui uongo gani wewe unaousema?
 
Pole sanaa ndugu yangu,nilijua labda naelekezana na mtu anaeitaji kuelewa,ukiitaji kujua mtafuta mtu aliyechora picha ya yesu na historia yake
''Pole sana'' ni hoja dhaifu Mkuu ! siyo lengo la Mjadala!.......Ufahamu wangu unajitosheleza! km yesu wenu alichorwa! siyo dhambi Mko sahihi tu?? hata smaki naweza chorwa kwa sura yangu halisi! ni sawa!...na kamwe sitapingana na hilo !

Sasa mchoraji wenu!! alimchora yesu wenu, kwa sura yake halisi mnayoijua !! mko sahihi, na wala hamtapelekwa Polisi! ni haki yenu ya msingi wala usiwe na wasiwasi! na kunipa pole nyiiingiii! asa nimtafute mtu aliye chora yesu wenu ili iweje labda!!.....nimuabudu au??
 
Ndani ya Quruani kuna Habari zote zilizopo ndani ya Biblia tena kiufasaa, sasa sijui uongo gani wewe unaousema?
km ni kweli waislamu wote msiwe na wasiwasi mbingu ina wasubili!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…