Naomba kuuliza kwa wote wanaomuamini Yesu

Nami nikuulize, mudi alibaka watoto au hakubaka?
 
mkuu ukweli utabaki kua ukweli tuu ata ukichukia
Mungu kamuongoza uyo charles kupitia sababu iyo ila kuna wengine wao husilimu kwa kukataa utatu, n.k inshort kaa chini usome hizi dini 2 utajua ukweli uko wapi
 
Hivi yesu alivaa kanzu au Suluari?na alitawaadha au hakutawadha,na alipiga ishara ya Msalaba au alisujudu. Alikaa kwenye mabenji wakati wa kuswali au alikaa chini kitako
Ukiachana na mambo ya kimwili (kuvaa, kula, kutembea nk), naona ungeweka ya kiroho, mfano, hivi Yesu alihubiri kulipa kisasi au kutoa msamaha? Nadhani hapo ndipo panapotofautisha uisilamu (unaohimiza kulipa kisasi) na Ukristu (unaohimiza kutoa msamaha)
 
Mimi napenda kuuliza je alitahiriwa?

Na je alioa?

Maana siku hizi tunaumizwa Sana kwenye mapenzi sisi wanaume
 
Maswali mengine yana lengo la kuchosha tu watu.
Kwanini iwe kukuchosha ndugu yangu,maana wanasema yesu atarudi?atarudia kwenye inchi yake ya kiyahudi?atasali wapi,atavaa suti au kansu?itakuwaje kwa wale wanaomsubiri?
 
Kwani mambo ya kimwili hayana thamani kwa mwenyezi Mungu,ina maana Mungu hakumfundisha Mwanadamu avae vipi,au amwabudu vipi,au ale vipi,au alale,na atembee vipi,alimuacha kama wanyama?
 
Tatizo lako au hiyo shida unayopata hapo ni ipi?
Inahusiana kwa namna yoyote na comment niliyoiandika?
Unasema Yesu ni Mungu mkuu. Ukiangalia mchoro wa utatu kwenye biblia Yesu alikuwa anaomba kwa baba. We kwa kufikiri kwako huo mchoro unavyoona nimepotosha? Huu nimeutoa kwenye kurasa za wakatoliki.
 
Ulioyaongea yote ni ya kweli
mmasai anafanana mpk kimavazi na mmasai mwenzake
sasa utajua ni nani anomfuata yesu haswaa

jibu unalo mwenyewe
"Akawaambia wote, Mtu yeyote akitaka kunifuata, na ajikane mwenyewe, ajitwike msalaba wake kila siku, anifuate"

"naam, saa yaja atakapodhania kila mtu awauaye ya kuwa anamtolea Mungu ibada"

Sasa chukua haya maneno, kasome kwenye habari za kila siku utajua ni akina nani hao... Nitakusaidia pa kuanzia...


Note: Kosa lao ni kumfuata Yesu Kristo!

Bonus:
Death of Polycarp, Bishop of Smirna and Disciple of Apostle John

"As Polycarp was being taken into the arena, a voice came to him from heaven: “Be strong, Polycarp and play the man!” No one saw who had spoken, but our brothers who were there heard the voice. When the crowd heard that Polycarp had been captured, there was an uproar. The Proconsul asked him whether he was Polycarp. On hearing that he was, he tried to persuade him to apostatize, saying, “Have respect for your old age, swear by the fortune of Caesar. Repent, and say, ‘Down with the Atheists!’”

Polycarp looked grimly at the wicked heathen multitude in the stadium, and gesturing towards them, he said, “Down with the Atheists!” “Swear,” urged the Proconsul, “reproach Christ, and I will set you free.” “86 years have I have served him,” Polycarp declared, “and he has done me no wrong. How can I blaspheme my King and my Savior?”

Yeah, you can know them not by Kanzu et al but follow Christ unto death. Two verses comes to my mind that Polycarp might have learned from Apostle John:
"Fear none of those things which thou shalt suffer: behold, the devil shall cast some of you into prison, that ye may be tried; and ye shall have tribulation ten days: be thou faithful unto death, and I will give thee a crown of life." - Rev 2:10

And of Christians in general:
Hebrews 11
32And what shall I more say? for the time would fail me to tell of Gedeon, and of Barak, and of Samson, and of Jephthae; of David also, and Samuel, and of the prophets: 33Who through faith subdued kingdoms, wrought righteousness, obtained promises, stopped the mouths of lions, 34Quenched the violence of fire, escaped the edge of the sword, out of weakness were made strong, waxed valiant in fight, turned to flight the armies of the aliens. 35Women received their dead raised to life again: and others were tortured, not accepting deliverance; that they might obtain a better resurrection:

36And others had trial of cruel mockings and scourgings, yea, moreover of bonds and imprisonment: 37They were stoned, they were sawn asunder, were tempted, were slain with the sword: they wandered about in sheepskins and goatskins; being destitute, afflicted, tormented; 38(Of whom the world was not worthy🙂 they wandered in deserts, and in mountains, and in dens and caves of the earth.
 
Muta boy , unaangaika Sana na utatu , inaonesha ni kitu unakiogopa Sana
Hapo huo mchoro unavyoona nimepotosha? Nimetoa kwenye akaunti ya mtandao wa kijamii wa wakatoliki. Mi sina shida na unavyoamini. Kinachonishangaza kwenye biblia mambo tofauti na namna yanavyozungumzwa.
 
Ebu tuelezee apo huo upumbavu ni upi? hlf nitakujibu
 
Unasema Yesu ni Mungu mkuu. Ukiangalia mchoro wa utatu kwenye biblia Yesu alikuwa anaomba kwa baba. We kwa kufikiri kwako huo mchoro unavyoona nimepotosha? Huu nimeutoa kwenye kurasa za wakatoliki.
Kwanza mimi sio mkatoliki so siwezi kuwa msemaji wa wakatoliki. Na huo mchoro haujautoa kwenye Biblia. So sielewi unachojaribu kusema.
Hebu kuwa wazi tatizo lako ni nini?

Kama ni Mungu mkuu, hilo halina shaka. Yesu ni Mungu mkuu, na siku yaja kila mtu, bahati mbaya kwako, utakuwemo, kuwa Yesu ni Bwana!

Wafilipi 2:
"5 Iweni na nia iyo hiyo ndani yenu ambayo ilikuwamo pia ndani ya Kristo Yesu; 6 ambaye yeye mwanzo alikuwa yuna namna ya Mungu, naye hakuona kule kuwa sawa na Mungu kuwa ni kitu cha kushikamana nacho; 7 bali alijifanya kuwa hana utukufu, akatwaa namna ya mtumwa, akawa ana mfano wa wanadamu; 8 tena, alipoonekana ana umbo kama mwanadamu, alijinyenyekeza akawa mtii hata mauti, naam, mauti ya msalaba. 9 Kwa hiyo tena Mungu alimwadhimisha mno, akamkirimia Jina lile lipitalo kila jina; 10 ili kwa jina la Yesu kila goti lipigwe, la vitu vya mbinguni, na vya duniani, na vya chini ya nchi; 11 na kila ulimi ukiri ya kuwa YESU KRISTO NI BWANA, kwa utukufu wa Mungu Baba."
 
Kwa akili yako unafikiri teknolojia ya mavazi ya kushona Suruali ilikuwepo kipindi cha Yesu?

Dini huchukua mambo katika Utamaduni Kwa sababu dini ni sehemu ya Utamaduni.

Kuswali kuna Kwa Aina nyingi kama ifuatavyo;
1. Kuswali umekaa
2. Kuswali umelala kifudifudi
3. Kuswali umesimama
4. Kuswali umesujudu n.k

Sasa inategemeana unaswali Kwa madhumuni gani.

Kuimba ni program tuu Kama sehemu ya Ibada, kuabudu, kumtukuza, na kumsifu Mungu Kwa kutumia sauti nzuri na ala za Muziki.
Hata kwenye dini za Asili kun nyimbo za matambiko.

Wanawake kuvaa na kujitanda inategemeana na Utamaduni wa mahali husika,

Halikadhalika katika kutawadha, inategemeana unaswali wapi,
Huwezi linganisha mazingira ya zamani na ya sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…