Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mbona Kuna uzi nimeuona hapa jukwaani kwamba amefariki usiku wa kuamkia leo?
This is very bad. Last seen ya@Beatrice Kamugusha ni 11:34pm ambo kweli ndiyo muda alipost hii thread yake. Mungu mpiganie apone. We still need her badly. Mungu mnusuru Beatrice. Nimesikitika mno [emoji24][emoji24][emoji24]
Uzi kweli uliwekwa lakini naona umefutwa. Apumzike kwa amani [emoji51][emoji1545][emoji1545]No no no jamani. Mungu naomba isiwe kweli
Tabia hiyo iko sana ulaya, nakumbuka siku moja nilitembelea hospitali moja inayojihusisha na tiba ya magonjwa ya tropiki ikiwemo kifua kikuu. Nilichokiona huko na kusikia kutoka kwa wagonjwa wenyewe huwezi kuamini kuwa katika bara la ulaya bado kuna "Concentration Camps" zinazoendeshwa kihalali kabisa.Hii tabia ya madaktari kuwaambia wagonjwa wao wana miezi mitatu au sita ya kuishi siipendi kusema kweli inawaongezea hofu wagonjwa ndugu, jamaa, familia na marafiki wa karibu. Miaka kama mitano iliyopita jirani yangu mama yake alikuwa anasumbuliwa na kansa kwa kipindi kirefu. Basi ile 2016 wakamwambia mwanae mgonjwa ana miezi sita tu ya kuishi.
Basi jamaa akajiandaa ule mwezi wa sita alioambiwa mama yake atafariki hakufariki alichukua likizo ya mwezi ikakatika. Akarudi kazini lakini huku akitegemea mama yake atafariki wakati wowote lakini yule mama aliishi kwa miaka mingine miwili na nusu ndiyo akafariki. Hii tabia ya kumwambia mgonjwa ana muda fulani wa kuishi madaktari wangeachana nayo.
Mhhhhh....🤔Beaty,haujambo?Shida ni nini mgolegole?😂😂😂
AmeshafarikiBeaty,haujambo?Shida ni nini mgolegole?😂😂😂
Ni kifo cha kidigitali mkuu, tunaita 5GKifo cha sikuhizi tunaagana kabisa yaani
Wa makaburini alikuwa na pancreatic cancer stage 4..nami nimemsahau jina..kuna wengine wawiali ambao sikumbuki majina yao zaidi ya hao uliowataja. Mmoja alisema ukweli kuwa alikuwa diagnosed na kansa, na akapita makaburini pale kinondoni kuangalia sehemu atakapozikwa; huyu alikuwa mkweli na wala maneno yake hayakuwa yamepinda. Yule mwingine alikuwa anatoa lawama sana na kutishia kujiua kumbe kweli akajiua kweli kweli; hakueleweka kwa watu wengie mpaka baada ya kuwa amejiua.
Nimewaza kama wewe pia, huenda ikawa aisee ngoja tusubiri na tuone.Eti wewe ni karugendo?