My Honest Book
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 1,363
- 2,161
- Thread starter
-
- #61
Thats what I thought,km huwez kufanya biashara siku ya sabato bas vipi kuhusu hiz emergency za jiran yako ambazo unaweza kusaidiaWasabato ni wafalisayo Yesu aliwauliza kuwa punda wako akizama kisimani siku ya sabato hutomtoa. Hapo inaonekana kabisa msabato Biblia imempitia pembeni
Sent using Jamii Forums mobile app
Bro,me lazma nimind kinoma noma mana ni upumbavu haiwezekani me nashida ya maji afu we uko nayo kisima kimejaa then unakataa kuniuzia sikuomb bure the worst part thehebu lako ndo sababu ya kuninyima maji tffffIshu kubwa hapa ni kukosa maji ungekuwa na maji usinge andika haya
Wewe ishi ukiamini misingi ya maisha uliyochagua kuishi ni sahihi na bora kwako
Ila haimaanishi waliyochagua wengine ikiwa haifanani na yako siyo sahihi
Hawapiki sababu washapika jana yake sio kwmb hawanywi maji wala hawali mzee,alichonifanyia huyu maza ni upumbavuMIMI SIO MSABAYO ILA NAHESHIMU ITIKADI ZAO,HUPUNGUKIWI KITU UKIHESHIMU UTARATIBU WA MTU,LEO IMEKUKUTA SABATO SABABU SIKU YA SABATO HAWAFANYI KAZI MPAKA SAA 1 JIONI.HAWA NDUGU HATA KUPIKA HAWAPIKI SEMBUSE KUKUUZIA MAJI.
Unakatwa na Mshana broYaan maji tu ndo unaona hawafai kwel
Hawapiki sababu washapika jana yake sio kwmb hawanywi maji wala hawali mzee,alichonifanyia huyu maza ni upumbavu
Maji siyo emargency maana yanapatikana sehemu nyingine pia yakiwa yanaanza kuisha yanaonekanaThats what I thought,km huwez kufanya biashara siku ya sabato bas vipi kuhusu hiz emergency za jiran yako ambazo unaweza kusaidia
Huyo mvivu hataki kuoa najua leo wamemkumbusha akaoeNajiuliza tu hivi mtoto akidumbukia shimoni hawato mtoa kwasababu ya siku ya sabato?
Me sijawah kwenda jumamosi pale na hii km mara ya tatu nimeenda kununua maji na sijawah kujua km ni wasabato meaning next time ikinikuta na uhitaji jumamosi sitaenda ila lazma nishangae asee unashindwa kumuuzia mtu maji kisa sabatoUlichofanya ni ushetani. Kumtia MTU majaribuni.
Wewe sio mgeni kwenye huo mtaa. Unajua kabisa hao NI wasabato na jumamosi hawauzi wala kufanya biashara yoyote. Ungefika Kwa Nia ya kuomba maji na sio kununua.
Ungekuwa mgeni hapo na huwajui na hawakujui ungekuwa na hoja.
Lakini ulichokifanya ni ushetani
[emoji1787][emoji1787][emoji125][emoji125]Huyo mvivu hataki kuoa najua leo wamemkumbusha akaoe
Jamaa ananambia nitafute pesa km vile ni mke wangu afu anashinda njaa ndan kila siku manina zakeHuo sio ushauli kwani yeye amesema hatafuti Hela,? hakuenda kuomba alienda Kununua msabato ndo mwenye shida angempa maji bure
Mungu Sio dikteta thus kampa mwanadamu freewill ya kuchagua mema na mabaya
Mungu hana emergency.Maji siyo emargency maana yanapatikana sehemu nyingine pia yakiwa yanaanza kuisha yanaonekana
Mkuu kwa muktadha huu kati ya kusaidia mtu na kushika sheria... Unachagua kushika sheria.Aliyekunyima maji Yuko sahihi Kwa sababu zifuatazo.
1. Uumbaji. Mungu aliumba mbingu na nchi Kwa siku sita na siku ya saba siku ya sabato mungu alipumzika na kustarehe hakufanya kazi yoyote.
2. Kutakasa sabato. Mungu kaagiza katika amri kumi kwamba ikumbuke siku ya sabato na uitakase usifanye kazi yoyote wala mnyama wako wala mgeni aliye ndani ya malango yako wala chochote ulichonacho kisifanye kazi siku ya sabato.