Naomba leo mniache niseme na Wasabato, nimeamua kuamka nao leo

Naomba leo mniache niseme na Wasabato, nimeamua kuamka nao leo

Ishu kubwa hapa ni kukosa maji ungekuwa na maji usinge andika haya
Wewe ishi ukiamini misingi ya maisha uliyochagua kuishi ni sahihi na bora kwako
Ila haimaanishi waliyochagua wengine ikiwa haifanani na yako siyo sahihi
Bro,me lazma nimind kinoma noma mana ni upumbavu haiwezekani me nashida ya maji afu we uko nayo kisima kimejaa then unakataa kuniuzia sikuomb bure the worst part thehebu lako ndo sababu ya kuninyima maji tffff
 
MIMI SIO MSABAYO ILA NAHESHIMU ITIKADI ZAO,HUPUNGUKIWI KITU UKIHESHIMU UTARATIBU WA MTU,LEO IMEKUKUTA SABATO SABABU SIKU YA SABATO HAWAFANYI KAZI MPAKA SAA 1 JIONI.HAWA NDUGU HATA KUPIKA HAWAPIKI SEMBUSE KUKUUZIA MAJI.
Hawapiki sababu washapika jana yake sio kwmb hawanywi maji wala hawali mzee,alichonifanyia huyu maza ni upumbavu
 
Yamekukuta kama yangu inaniumga mpaka leo japo imepita miaka
nilitoka home pana umbali kidogo na huyo mama kwenda kununua sabuni nafik ananiambia aah leo sabato nikondoka kwa uchungu sana.
Wanasahau hata Yesu liwaulizaga watoto zenu sijui wanapunda wakizama mtoni hamtawatoa kisa sabato?
 
Ulichofanya ni ushetani. Kumtia MTU majaribuni.
Wewe sio mgeni kwenye huo mtaa. Unajua kabisa hao NI wasabato na jumamosi hawauzi wala kufanya biashara yoyote. Ungefika Kwa Nia ya kuomba maji na sio kununua.
Ungekuwa mgeni hapo na huwajui na hawakujui ungekuwa na hoja.
Lakini ulichokifanya ni ushetani
Me sijawah kwenda jumamosi pale na hii km mara ya tatu nimeenda kununua maji na sijawah kujua km ni wasabato meaning next time ikinikuta na uhitaji jumamosi sitaenda ila lazma nishangae asee unashindwa kumuuzia mtu maji kisa sabato
 
Huo sio ushauli kwani yeye amesema hatafuti Hela,? hakuenda kuomba alienda Kununua msabato ndo mwenye shida angempa maji bure
Jamaa ananambia nitafute pesa km vile ni mke wangu afu anashinda njaa ndan kila siku manina zake
 
Aliyekunyima maji Yuko sahihi Kwa sababu zifuatazo.
1. Uumbaji. Mungu aliumba mbingu na nchi Kwa siku sita na siku ya saba siku ya sabato mungu alipumzika na kustarehe hakufanya kazi yoyote.
2. Kutakasa sabato. Mungu kaagiza katika amri kumi kwamba ikumbuke siku ya sabato na uitakase usifanye kazi yoyote wala mnyama wako wala mgeni aliye ndani ya malango yako wala chochote ulichonacho kisifanye kazi siku ya sabato.
 
Mkuu kwa muktadha huu kati ya kusaidia mtu na kushika sheria... Unachagua kushika sheria.

Pole sana mkuu
 
Back
Top Bottom