FRANCIS DA DON
JF-Expert Member
- Sep 4, 2013
- 38,920
- 44,970
- Thread starter
- #21
Hicho walichosema ni rubbish, hizo pesa zilishapoteza uhalali wake siku ile ya mwisho ya kubadili ilipopita kwa mujibu wa tangazo lao wenyewe la miaka hiyo wakati wanabadili. Hizo ni pesa haramu!Nimewasilikiliza leo huku nikiwa Bado usingizini, wamesema pamoja na kwamba hizo hela hazipo kwenye mzunguuko lakini bado ni fedha halali kwa matumizi hivyo wanachofanya sasa ni kutimiza takwa la kisheria kwamba kufikia April mwishoni 2025 ukiwa nayo itakuwa ni karatasi kama karatasi zingine aka thamaniless na ndio maana wametoa tangazo rasmi.
Wamesema ni muhimu kubadilisha ila sio lazima hasa Kwa wale wanaotaka kubaki kumbukumbu
N:B. Nawasilisha nilichosikia tu mie basi huku na mie nasoma comment za wengine