Naomba majibu wanaume mmeniacha njia panda mmeshindikana kabisa

Kuachana si ndo kuuwana sasa ? Au ile kauli ya "kuishi pamoja mpaka kifo kiwatenganishe ni mimi tu ndo siielewagi?"
 
Eeh eti inashangaza
Hichooo tu ndo nacho wapendea wanawake hata wanakaribia kuniua!!! eti unamtes weeeee!! karibia kumuua lkn hatokiiiii!! hakuachi! na k anakupa tuu bila kinyongo!

ndo maana mie mpole sana kwa Lina wangu yaani huyu anaweza kuniua kwa uhuru sana!! make nilimtesa sana ….siku hizi nimenyanyua mikonoooo!

nampaga mshahra wangu wooote na Mali zngu nimeandika jina lake! hata ndg hawezi kuvumilia km mke!! jamani mke kitu nyingine kabisaaaa!!..Zaidi ya ndugu!

ke humu JF ukipigwa na mmeo niite mie ntampiga mpaka akome!...Wanawake ni watamu saaana kwa kila kitu Mungu awajlie sana...mkikosea tunawasamehe!!….kuna tamasha la wadada wa umri wa mke wangu tu!

mdhamini ni mie msikose palee Kilimanjaro Hotel usiku wa saaa tatu, jumamosi ni mpaka majogoo! wanawake tuu! kuanzia miaka 20-35yrs! km upo hapo njooo! vaa kivyovyote!
 
Pole sana jitahid kujikeep busy wanaume hatuna dawa.. bila kutafuta mambo ya msingi yakufanya utatuchamba sana
 
Matatizo yote ya wanaume uliy oyataja chanzo chake ni Wanawake.
 
Wenyewe wanasema hawataki kuzaa na wanaume tofauti wanataka watoto wawe na Baba mmoja hata kama hatoi huduma.
 
Mapenzi yatakutesa kweli huu mwaka yaache fanya mambo mengine
Mimi sina shida namapenzi .
Humu nimeshaachaga kuamini kuna mtu wote vilaxa tu.

Kwa sasa na mambo yangu mengine kama ni mwanaume yupo mbona ninaye kwasasa naninaraha tu mnajitoa ufahamu kisa nini jibu swali Haya wamekuelewa ila unahasira sana yanini kuna mtu kakuudhi??
Ila ndio maana mwanamke anatoa mimbegu ya wanaume hadi aoeleww ndio abakishe moja iwe ya kumbukumbu
 
Ila kuna kaukweli mwanamke ndio ataikubali mimba au aitoe .
Ila waliokubali ndio watajijua wataleaje wewe ukiambiwa na mimba yako unasemaje ??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…