Naomba majibu wanaume mmeniacha njia panda mmeshindikana kabisa

Maswali yako yote yanajibiwa na jibu moja tu Wanaume tumeelekezwa tumiliki zaidi ya mwanamke mmoja mkituruhusu haya yote hayawezi tokea
 
🤔
 
Nahisi kuna kitu kinakuumiza sana embu jaribu ukitoe kisiendelee kukuumiza uwe huru nafsini mwako.
Hebu fuata yako badala umshangae aliyenitusi unakuja kunifuata mimi .
Sina shida hata ujue hiloo
 
Pole sana yatapita tu hayo hii dunia hainaga fair.
Jamani ungejua wewe ungetamani sina shida na wanaume wa jf tena niwatu ambao wapo online hamuonani bora zila za dates mnapigiana simu munaonana
 
Jamani ungejua wewe ungetamani sina shida na wanaume wa jf tena niwatu ambao wapo online hamuonani bora zila za dates mnapigiana simu munaonana
Ni kweli hapa ni kwa ajili ya kutoa stress tu wala isikupe shida tuenjoy maisha maadamu uzima upo.
 
Mwanaume anatulizwa na mke mwenye akili na upendo wa dhati , iwapo huna hizo sifa utatukana wanaume sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…