Naomba mbinu ya kumuacha mwanamke aliyekuganda

Hapana muonee huruma,furaha yake ameshakuambukiza ukimwi anataka wote muanze CTC
 
Huyo anataka kukufleisha umri wako 24 yrs ni umri wa kutafuta MAISHA na mali achana na single mother mzee

Huyo Ana 28 yrs anataka kukuangushia jumba bovu dakika za jioni .✊🏿
 
Ila hapo Mbezi Mwisho kuna vifaa vya kufa mtu. Yaani vikitoka mkoani tu makazi ni Mbezi na kuna mchanganyiko wa makabila mbali mbali. Hapo panatisha sana.
 
Unathibitishaje huyo demu anafaa kuwa mke bora kwa huyu mleta mada?

Miaka 28 kwa mwanamke ni dakika za jioniiiiii, Anatafuta paku angushia gari bovu.

Na anaona kwa huyu kijana wa 24 years ndio mahali sahihi pa kupaki basi.
Afate huu ushauri hatojuta.

28 yrs kwa mwanamke ni miaka mingi Sana
 
Mwanaume ukiweza kuji control Nyege ujue utafanikiwa sana kwenye maisha yako.

Kuna mbuzi hapa wanakuonea wivu hapa bila kujua wangepoteza money and time resources.
 
πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Hii comment imebeba ujumbe mkubwa sana mkuu nakumbuka Mama aliwahi kunambia ili ufurahie mahusiano au ndoa omba sana upate atakaye kupenda yeye zaidi
Ni kwa sababu Mwanamke anayekupenda anakuheshimu, anakuthamini.

Upendo wa Mwanamke kwa mwanaume uko kwenye Heshima......mengine hufata.
 

Very true! Ni bora mwanamke akupende yeye kwanza kabla haujampenda yeye. Wengi wanaoteswa na mapenzi wanakua wanawapenda wanawake bila ya kupendwa kwanza.

Wanasema Mungu hakupi unachotaka bali anakupa unachostahili!

Hatokuja kupata mwanamke atakaye mpenda katika maisha yake ngoja aone.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…