Unakimbiza wallet yako tu maana kabla hujaona ndani lazma akutie shoti za maanaYah, ni hivyo kabisa. Mtu unajistukia kwamba sasa huyu hata akinikubali ntaweza kumudu hata kidogo atakachoniomba
😂😂😂Ila kweli🤣🤣🤣🤣 wifi huyu zurie yy asubiri jamaa anapanga pa kumtafunia bado hajawasoma hawa viumbe..!!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] na mie nimewaza hivyoo.Kwani siku hizi wanaume wanatongoza?? Akikuomba namba ndio tyr ushatongozwa hapo jamaa linakulia timing sema ww una haraka tyuuu.!!!
Nna sababu zangu za msingi sana.Sasa unambania ni sabuni hiyo? Uchoyo tu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka hadi machoziii. Una nn lakini wee?Hapo akisifiwa, ye akireply aanze kutupia na tu kopa mixer tu emoj mbali mbali tunako hamasisha. Easy tu, uwaga hawakatai hao watu.
Kuna huyo niliyejifunzia enzi hizo za miaka ya TANU[emoji23]
Nilimchanaga Akajibu …. Depal, I’m married.
Nikamuuliza.. kwani ukija unakuja na mke wako?
Akaniuliza unatumia bangi ya wapi nikuletee? [emoji1787][emoji1787]
Nikamwambia cha hapo tu jirani mjini Nairobi [emoji14][emoji14]…
Basi ngoma ya Shenseea ikawa completed.
“You think you coulda get inna my feelings? (Nah)
You couldn't get me fi sekkle down?
Me give you a hit and run..
😂Kwani siku hizi wanaume wanatongoza?? Akikuomba namba ndio tyr ushatongozwa hapo jamaa linakulia timing sema ww una haraka tyuuu.!!!
🤣🤣🤣🤣 Na kwanini unyimwe namba?? Itakuwa kuna sehemu unazembea cazee😂😂😂😂😂 utoe tu vya sirini ndio maana mi nikinyimwa namba sihangaikagi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wazee mna stress mnaongea wenyewe barabarani, hadi tunajua machizi
Wee kwa fix hujambo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa imagine on your mid 20's atokee mshangazi ako 35 plus ile confidence unaitoa wapi ya kumtongoza hata kama unamtaka? Obvious utakuwa unajibebisha tu kwenye sms ila hausemi kile unataka kiwe. I was in that situation kipindi niko Certificate, kuna madam lecture alikuwa anatufundisha Law alikuwa anavutiwa sana na mimi na nilipata kulijua hilo na hasa baada ya kujua nilikuwa zinachaji kuliko wote class. Ilikuwa hivyo hadi namaliza Diploma 2 akawa anakuja hadi nyumbani kumtembelea sister nae alikuwa staff just to see me picha nilikuwa naielewa ila confidence hamna sababu ya age gap.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hamna maana nyie, na ukiona mwanamke had kakubali kukupa namba ujue na vya sirini atakupa ni suala la muda..!!
Tena ukichelewa kumtafuta anakutafuta yy kukuuliza mbona hupigi au bando huna??
😂😂😂😂😂😂😂 njoo na wewe ufixiwe basiWee kwa fix hujambo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Khaaah
Mimi alinitumia akasema kakosea, nikasema hapa hapa nishapata pa kuanzia, kumbe yeye alitumia kama mbinu tu baadae ananiambia mbona sijatumia nguvu kubwa kumtongoza, nikamwambia sababu n tayari ulikuwa ushanipenda. Hatukudumu.Panyaaa ulitegwa na ka punje ka karanga🤣🤣🤣🤣
Unatuma mahabaaa unasema nimekosea akajibu okay usijali....what next?? Kwanza ni kujiharibia anajua kumbe kuna mwingine ndio ulikua unamtumia
🤣🤣🤣 eti akatae hawa wanaolamba mpk mikei michafu ya kununua…!!😂😂😂Ila kweli
[emoji23][emoji23][emoji23] yaan wee kwa fix mbona huna bayaa.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] njoo na wewe ufixiwe basi
Huwa najua yuko kwenye huba zito, mwanamke akiwa free agent au ana hang bila mtu wa kumzagamua for a while huwa wako vulnerable. Au ikiwa aliyenaye kamchoka ndio huwa wepesi kutoa namba. So sihangaikagi na mtu ambaye hana interest na mimi.🤣🤣🤣🤣 Na kwanini unyimwe namba?? Itakuwa kuna sehemu unazembea cazee
True story[emoji23][emoji23][emoji23] yaan wee kwa fix mbona huna bayaa.
Nimecheka had baas.
Evelyn amekuuliza, umeshindwa kabisa kumuingiza jamaa Kingi?We nawee. Hebu acha kujifanya Zinjanthropus uliyeanza na dunia. Kwenye mada ya utoto umefuata nini?
Kidogo sio sana 🤣🤣Depal umeshindikana😂😂