Naomba mbinu (zisizo dhahiri sana) za kumfanya mwanaume akutongoze

Umesema kati yao, mbona kama tayari
 
Sijui kwanini wanawake wa kitanzania huogopa kutongoza,
Anyway, ampeleke sehemu for dinner rafiki yako anywe red wine halafu ajifanye amelewa amkiss mdomoni the rest watamaliza
 
na mie nimewaza hivyoo.
Hilo jamaa fisi linatafuta chance lifumue mshono 🀣🀣🀣🀣🀣
Tuliosoma cuba hapo tushaelewa sijui kwann yy kashindwa kujua hili?? Na tena anaonekana hit & run hilo likibutua halirudi nyuma au litakuwa linajipigia kila likibanwa na upwiru, hapo ndoa hakuna..!!
 
Jirani kwaresma imeisha umeanza uchochezi πŸ˜‚
 
mzabzab njoo mpe maufundi
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ hatari tupu uduguu,
 
Mpigie simu mwambie kesho uje ufturu, akija muwekee movie la mahaba halafu mkalie kihasara uone [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakikisha anaiona pichu kwa mbali na iwe nyeupe [emoji12]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji3516]
 
Huwa najua yuko kwenye huba zito, mwanamke akiwa free agent au ana hang bila mtu wa kumzagamua for a while huwa wako vulnerable. Au ikiwa aliyenaye kamchoka ndio huwa wepesi kutoa namba. So sihangaikagi na mtu ambaye hana interest na mimi.
🀣🀣🀣🀣 wacha wee!! Kwahiyo unasubiri libume akupe namba ukapige muhuri au sio??
 
Muogee dawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…