Naomba mbinu (zisizo dhahiri sana) za kumfanya mwanaume akutongoze

Hapo mumtafute rafiki wa kiume alafu aende kwa jamaa ajifanye anaomba kusaidiwa ampate rafiki yako 🤣, jamaa kwa kuhofia kuzidiwa kete ataanzisha mashambulizi 😂
 
Amnunulie Boxa tuu kwisha habari.
 
Hapo mumtafute rafiki wa kiume alafu aende kwa jamaa ajifanye anaomba kusaidiwa ampate rafiki yako 🤣, jamaa kwa kuhofia kuzidiwa kete ataanzisha mashambulizi 😂
Technique nzuri ingawa kwa case yao sidhani kama inafanya kazi
 
Hii ya kumtaka mtu halafu unafanya ionekane kama yeye ndo anakutaka sio mchongo.

Mkuu funguka tu usiogope kumtongoza, hakuna kitu rahisi kupata kama mwanaume.
 
Haya simple mathematics mwambie rafiki (ambae ni wewe) .... asema kwa huyu jamaa anataka kwenda kupaona kwake..... hapo utaliwa tu kama jamaa ni fundi

Au jifanye mtoke out kisha sema twende nikapaone kwako so jamaa kama muelewa atajua unataka nini sema mtumie condom ukimwi upo

Sema kama wewe ni mbaya hajakuelewa atakataa usiende kama ni mzuri ni jambo la kugusa tu
 
Huyo bwege tu.. Kwani akiamua kumtongoza huyo mwanaume kuna shida? Tatizo lenu nyie wanawake mna illusion kuwa kutongoza ni kazi ya mwanaume tu, nyie hamuwezi kutongoza.
 
Kiufupi we achana na mawazo hayo, jamaa ana mtu wake , labda kama unataka kuwa mchepuko.
 
Unaweza kudhani ni chai lakini ni jambo la kweli sijawahi hata kumuhadithia yule roommate wangu wala mtu yoyote na sitomuhadithia mtu baada ya kuhadithia humu hii leo
Uongoo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mpaka hapa huyu ni kicheche.
Unahangaika vipi kumtaka mwanaume ili mkilane TU?
Hii ndo sifa ya kicheche.
 
Well said mkuu.
Na wanaume wengine sio ' eat and run.'
Yawezekana pia anamwangalia na kumtathmini Kwa lengo la kumfanya awe mwenza wa maisha. Kama ni hivyo basi, mbinu yoyote ya mdada kutaka kuliwa kimasihara haitafanikiwa na endapo itafanikiwa basi huenda ikawa ndo mwisho wa mahusiano yao, maana wanakuwa wametoka nje ya mission ya kijana.
Upande wa pili , iwapo mdada anamwitaji kijana Kwa malengo ya muda mrefu, ana chance kubwa kuwin sababu pia Kwa namna Moja kijana amemwelewa.
Hapa yapasa Binti aendelee ubora wake kama mke mtarajiwa Kwa kificha makucha yake(mfano huu ukicheche uliopelekea kuanzishwa izi huu),
Kuzungumza nae Kwa busara sana, kuonesha utii na heshima, kuonesha upendo lakini pia kujenga interest na kupenda interest za kijana.
Hapa kijana atasema wow!!!
Huyu ni nyama katika nyama zangu, na mfupa katika mifupa yangu.
Nikumbishe TU kwamba , wanawake wengi walioolewa , ilianza hivo.
Kwa hiyo upon kwenye mtihani Binti, japo umeanza kuonesha dalili za kufeli mapema, ila kama uko interested una nafasi ya kuwa mke au nyumba ndogo ya kijana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…