Naomba mbinu (zisizo dhahiri sana) za kumfanya mwanaume akutongoze

Sasa imagine on your mid 20's atokee mshangazi ako 35 plus ile confidence unaitoa wapi ya kumtongoza hata kama unamtaka? Obvious utakuwa unajibebisha tu kwenye sms ila hausemi kile unataka kiwe. I was in that situation kipindi niko Certificate, kuna madam lecture alikuwa anatufundisha Law alikuwa anavutiwa sana na mimi na nilipata kulijua hilo na hasa baada ya kujua nilikuwa zinachaji kuliko wote class. Ilikuwa hivyo hadi namaliza Diploma 2 akawa anakuja hadi nyumbani kumtembelea sister nae alikuwa staff just to see me picha nilikuwa naielewa ila confidence hamna sababu ya age gap.
 
Mi nakwambia rafiki yangu sio kicheche. Hata tukiwa our prime years hakuwahi kutangatanga. Amemkubali tu mtu this once in her life.
 
Inategemea ''ntu na ntu'' Wewe kama ulikuwa na aibu siyo wanaume wote wanakosa confidence kwa waliowazidi kiumri. Anyways, hii scenerio ni wewe umebuni tu lakini mleta thread hakusema ndiyo iko hivyo.
 
Ila Extrovert 35 ni mshangazi kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…