Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 25,425
- 59,309
🤣🤣🤣🤣 nimeacha jiraniUnatuharibia sasa kausha jirani 🤕
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣🤣🤣🤣 nimeacha jiraniUnatuharibia sasa kausha jirani 🤕
🤣🤣🤣🤣 hatareee sana!!Huwa wanajibaraguzaga wenyewe wakiona huna time nao
Imebidi nishangae kama mpenzi wa ex wa yombo msukuma 😂🤣🤣🤣🤣 hamna maana nyie, na ukiona mwanamke had kakubali kukupa namba ujue na vya sirini atakupa ni suala la muda..!!
Tena ukichelewa kumtafuta anakutafuta yy kukuuliza mbona hupigi au bando huna??
Nmeona umetema madini yenyewe haswa mahala. Jirani kungwi 😅🤣🤣🤣🤣 nimeacha jirani
🤣🤣🤣🤣 wapi? Mana mi nakoment kila sehemu halafu sifatiliagiNmeona umetema madini yenyewe haswa mahala. Jirani kungwi 😅
Jirani unaamsha vilivyolala 😅Mpigie simu mwambie kesho uje ufturu, akija muwekee movie la mahaba halafu mkalie kihasara uone 🤣🤣🤣🤣
Hakikisha anaiona pichu kwa mbali na iwe nyeupe 😜
Uzi huu huu🤣🤣🤣🤣 wapi? Mana mi nakoment kila sehemu halafu sifatiliagi
Oyaaa!! Acha uzinzi 🤣🤣🤣Jirani unaamsha vilivyolala 😅
🤣🤣🤣🤣 basi hatareeeUzi huu huu
We umeacha? 😂Oyaaa!! Acha uzinzi 🤣🤣🤣
Aaaaaah kudadadadeki 🗼Mpigie simu mwambie kesho uje ufturu, akija muwekee movie la mahaba halafu mkalie kihasara uone 🤣🤣🤣🤣
Hakikisha anaiona pichu kwa mbali na iwe nyeupe 😜
Nimeacha kitambo 😜We umeacha? 😂
Hapo akili imeenda mbali lione 🤣🤣🤣Aaaaaah kudadadadeki 🗼
Hapo akili imeenda mbali lione 🤣🤣🤣
Anaweza tuma akaview tu asiseme neno loloteKwanini?
Wewe mwenyewe si mwanamke.Hello hello..
I am asking this for a friend (Wallahi Wabillahi)
Huyu rafiki yangu (kuna mtu basi atasema "ni wewe mwenyewe😀") kuna mwanaume amempenda. Alikutana naye kama sehemu ya kazi so walipeana namba kwa madhumuni ya kuwasiliana kikazi. Kilichotokea ni kwamba kuna cheche zinaruka kati yao wakiwasiliana.
Rafiki yangu amemtamani huyu jamaa na anahisi jamaa kamuelewa pia sababu muda wote yeye (kijana) ndo anaanzisha maongezi lakini he keeps it very decent; anamjulia tu hali, anamuuliza issue za kazi za hapa na pale, akiweka WhatsApp status atamsifia lakini ile ya ki-kaka nothing flirty or romantic.
Sasa, afanye nini ili kijana amtongoze? Ofcourse sio lazima kuwa na longterm relationship naye wala nini anataka wakulane tu lakini asingependa kumuanza mwenyewe asije kumuona kicheche.
Ukimwi upo,Hello hello..