Sasa umekosa hoja unaanza kubwabwaja tu, π swali gumu kulitolea maelezo au sio?
Unashindwa kuandika essay hata yenye paragraph 2 tu ukielezea umuhimu wa katiba mpya kwa mwananchi anaeishi below poverty line, sasa utamshawishi vipi kuhusu katiba mpya akakuelewa?
Brother brother brother nimekuita mara 3, jibu swali langu sio unaniletea ngonjera hakuna mtu anaeishi below poverty line anaeweza kulipa million 30 ili mumewe atolewe jela, hakunaKatiba mpya: vigogo wezi wasiowajibika kwa wizi wao hawatakuwapo:
View attachment 2508174
Katiba mpya: vigogo dhulumati wasiowajibika kwa dhuluma zao hawatakuwapo:
View attachment 2508172
Katiba mpya: mzigo wa vigogo walamba asali wasiolipa kodi hautakuwapo:
View attachment 2508177
Yako mengi muda mchache.
Habari ndiyo hiyo.
Brother brother brother nimekuita mara 3, jibu swali langu sio unaniletea ngonjera hakuna mtu anaeishi below poverty line anaeweza kulipa million 30 ili mumewe atolewe jela, hakuna
Ushanielewa sijui
Wewe eleza new constitution itasaidiaje mtu anaeishi below poverty line, huna maelezo kaa kimya ujitunzie heshima yako sio unabwatuka bwatuka tuPole sana. Ila peleka mrejesho Kwa maana tumedhamiria kweli kweli. Tunachokitaka tunakijua, kwanini tunakitaka tunajua na namna gani tutakipata tunajua.
Bottom line:
"Mtaleta hesabu za wote na wapi mliwapeleka wakiwamo kina Ben, Azory, Lijenje na nani mliwasokomeza kwenye viroba."
Wewe tumemalizana.
Je na italeta wafanyakazi wapya???Acheni upotoshaji, katiba mpya haija contain ubora wa maisha kwa wananchi tu bali inajenga mustakabali mpya wa Taifa na muongozo thabiti kwa maendeleo ya nchi. Acheni ujinga wa kusema katiba mpya haikuletei chakula nyumban shubaamit!
Wee mburula watu hawadai katiba kwa ajili ya kushusha gharama za maisha!Pengine ufahamu wangu una shida ya kuelewa polepole au kuna mambo yananipita kushoto. Kwa jinsi ninavyowasikiliza wanasiasa wanavyoizungumzia katiba mpya ni kana kwamba katiba mpya ikipatikana leo kesho changamoto zote zitakwisha, au chini ya katiba iliyopo hatuna uwezo wa kuivisha chochote.
Katiba mpya haitamaliza wizi, uzembe, majungu, ujinga, uvivu, nk
Mambo yanayolalamikiwa sana kwenye katiba iliyopo ni
Madaraka ya rais
Tume huru
Muungano
Nk
Hayo yoote sioni ni vipi yatashusha gharama ya maisha.
Labda wajuvi mje na taifa lililowahi kufanikiwa kushusha gharama ya maisha kwa kutumia KATIBA.
Umemjibu vizuri sana, asipokuelewa basi atakuwa kilaza na punguani1. Ukubwa wa madaraka ya Rais. tamko au matakwa ya Rais ni amri hii kwa sababu ya ukubwa wa madaraka yake ivyo akitoa tamko ambalo lipo kinyume na kanuni za kiuchumi inaweza ikapelekea kuongezeka sana au kupanda kwa bei ya bidhaa mfano kipindi cha magufuri aliingilia kati suala la korosho matokeo yake soko lilivurugika na kupelekea wakulima kupata hasara, alitumia approach za kibabe sana kushughulika na wawekezaji tukaona watu walifunga biashara, pia mwanzoni mwa uongozi wake alitoa tamko kuhusu sukari tuliona bei ya sukari ilipanda sana, mambo kama hayo yanasababisha ugumu wa maisha kwa mwananchi kama kungekua na namna ya kumpiga break Rais asiingilie kila kitu uenda hali ingekua nzuri
2. Tume huru ya uchaguzi. Inapokosena tume huru maana yake kuna uwezekano wa kupata viongozi wasiokua na uwezo ilmradi tu wawe na connection na mamlaka, hii itapelekea viongozi kubweteka wakijua hata wakiboronga uchaguzi ukija watapita tu hata kwa bao la mkono matokeo yake wanafanya maamuzi bila kujari hali za wananchi mfano kuongeza tozo, kodi kandamizi n.k. Kungekua na tume huru wangeumiza vichwa kuja namna nzuri ya kushughulikia matatizo bila kuumiza wananchi maana wangejua wakialibu baada ya miaka mitano watahukumiwa kwenye sanduku la kura
Umeuliza swali la kitoto sana, hivi una umri gani kwanza kabla hatujakujibuJe na italeta wafanyakazi wapya???
PUMBAVU! Katiba inaweka viongozi/taasisi imara/makini yenye uwajibikaji ambyo itapelekea kuondoa mambo ya ovyo kama hayoPengine ufahamu wangu una shida ya kuelewa polepole au kuna mambo yananipita kushoto. Kwa jinsi ninavyowasikiliza wanasiasa wanavyoizungumzia katiba mpya ni kana kwamba katiba mpya ikipatikana leo kesho changamoto zote zitakwisha, au chini ya katiba iliyopo hatuna uwezo wa kuivisha chochote.
Katiba mpya haitamaliza wizi, uzembe, majungu, ujinga, uvivu, nk
Mambo yanayolalamikiwa sana kwenye katiba iliyopo ni
Madaraka ya rais
Tume huru
Muungano
Nk
Hayo yoote sioni ni vipi yatashusha gharama ya maisha.
Labda wajuvi mje na taifa lililowahi kufanikiwa kushusha gharama ya maisha kwa kutumia KATIBA.
Unaelewa maan ya contain kila kitu?Je na italeta wafanyakazi wapya???
Kazi ya katiba ni mkataba kati ya mtawala na mtawaliwa.Pengine ufahamu wangu una shida ya kuelewa polepole au kuna mambo yananipita kushoto. Kwa jinsi ninavyowasikiliza wanasiasa wanavyoizungumzia katiba mpya ni kana kwamba katiba mpya ikipatikana leo kesho changamoto zote zitakwisha, au chini ya katiba iliyopo hatuna uwezo wa kuivisha chochote.
Katiba mpya haitamaliza wizi, uzembe, majungu, ujinga, uvivu, nk
Mambo yanayolalamikiwa sana kwenye katiba iliyopo ni
Madaraka ya rais
Tume huru
Muungano
Nk
Hayo yoote sioni ni vipi yatashusha gharama ya maisha.
Labda wajuvi mje na taifa lililowahi kufanikiwa kushusha gharama ya maisha kwa kutumia KATIBA.
Yes mkuuPUMBAVU! Katiba inaweka viongozi/taasisi imara/makini yenye uwajibikaji ambyo itapelekea kuondoa mambo ya ovyo kama hayo
Wee mburula watu hawadai katiba kwa ajili ya kushusha gharama za maisha!
Katiba ni kwa ajili ya utawala bora, haki za binadamu na Uhuru!
Umepewa ubongo kwa ajili ya kufikiri na siyo kuwa chawa!
Nimekuelewa vizuri... Asante1. Ukubwa wa madaraka ya Rais. tamko au matakwa ya Rais ni amri hii kwa sababu ya ukubwa wa madaraka yake ivyo akitoa tamko ambalo lipo kinyume na kanuni za kiuchumi inaweza ikapelekea kuongezeka sana au kupanda kwa bei ya bidhaa mfano kipindi cha magufuri aliingilia kati suala la korosho matokeo yake soko lilivurugika na kupelekea wakulima kupata hasara, alitumia approach za kibabe sana kushughulika na wawekezaji tukaona watu walifunga biashara, pia mwanzoni mwa uongozi wake alitoa tamko kuhusu sukari tuliona bei ya sukari ilipanda sana, mambo kama hayo yanasababisha ugumu wa maisha kwa mwananchi kama kungekua na namna ya kumpiga break Rais asiingilie kila kitu uenda hali ingekua nzuri
2. Tume huru ya uchaguzi. Inapokosena tume huru maana yake kuna uwezekano wa kupata viongozi wasiokua na uwezo ilmradi tu wawe na connection na mamlaka, hii itapelekea viongozi kubweteka wakijua hata wakiboronga uchaguzi ukija watapita tu hata kwa bao la mkono matokeo yake wanafanya maamuzi bila kujari hali za wananchi mfano kuongeza tozo, kodi kandamizi n.k. Kungekua na tume huru wangeumiza vichwa kuja namna nzuri ya kushughulikia matatizo bila kuumiza wananchi maana wangejua wakialibu baada ya miaka mitano watahukumiwa kwenye sanduku la kura
Umeanzisha mjadala kisha umeufunga kwa kutoa uamuzi wako.Pengine ufahamu wangu una shida ya kuelewa polepole au kuna mambo yananipita kushoto. Kwa jinsi ninavyowasikiliza wanasiasa wanavyoizungumzia katiba mpya ni kana kwamba katiba mpya ikipatikana leo kesho changamoto zote zitakwisha, au chini ya katiba iliyopo hatuna uwezo wa kuivisha chochote.