Naomba mnipokee na mnifunze binti yenu wa usukumani

Mmmh ona mlivyojazana kwenye nyuzi ya dada wa watu, hajawajua tabia tu!
Namwambia tena ayazingatie, nyie ni wa kuogopwa sana, asijichanganye.
Ko hutaki wifi? Hutaki kuitwa shangazi eeh!

Kwa unavyonijua Mimi mdogo wako, kweli naweza kuyatenda yaliyo mabaya?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…