avogadro
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 8,082
- 14,457
Kwa hawezi kuwa na majina ya kiafrika na akawaishika dini yake?Hakuna jina Taliban, ila kuna jina 'Talib' maanake mfuasi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa hawezi kuwa na majina ya kiafrika na akawaishika dini yake?Hakuna jina Taliban, ila kuna jina 'Talib' maanake mfuasi
Kwani huyu mtoto ni mwarabu?Munadham
Mundhir
Mudhammil / Muzammil
Nurdeen
Murshid
GaeedWanabodi salaam! Nimefanikiwa kupata mtoto wa kiume, sasa kwa jinsi nilivyokuwa na furaha na ujio wake natamani nimpe jina zuri na la kipekee. Najua humu ndan kuna wajuvi wengi so karibuni sana
Hakuna jina la Kiislam wala Kikristo- hayo majina ni ya watu waliokuwepo hata kabla us Qur'ani kuwepo.Mfano Abdalla lilikuwepo Mtume Mohamed hajazaliwa, hata jina Mohamed lilikuwepo kabla ya kuitwa kuwa Mtume Tusidanganyike tafuta jina zuri hata la lugha au Kiswahili. Huwi Mwislamu mzuri kwa kumpa mtoto wako jina la Kiarabu au lililoandikwa kwenye Qur 'an. Uislamu ni imani kwa mungu sio kwa jina.Wanabodi salaam! Nimefanikiwa kupata mtoto wa kiume, sasa kwa jinsi nilivyokuwa na furaha na ujio wake natamani nimpe jina zuri na la kipekee. Najua humu ndan kuna wajuvi wengi so karibuni sana
TrueTafuta jina zuri la kiswahili au kilugha umpe mtoto wako.
Maana haya majina yenye asili ya kiarabu/kizungu ni kuendeleza utumwa.
Hiyo herisi, ila i kama unairuka hiviHesi? au herisi?.Nivumilie mkuu
[emoji23][emoji23] jina tata sana hlo.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]katiba ya nchi imepiga marufuku watu kuwapa watoto jina hilo
Wanabodi salaam! Nimefanikiwa kupata mtoto wa kiume, sasa kwa jinsi nilivyokuwa na furaha na ujio wake natamani nimpe jina zuri na la kipekee. Najua humu ndan kuna wajuvi wengi so karibuni sana.
Muite Hamza! Kamwe hutojutia.Wanabodi salaam! Nimefanikiwa kupata mtoto wa kiume, sasa kwa jinsi nilivyokuwa na furaha na ujio wake natamani nimpe jina zuri na la kipekee. Najua humu ndan kuna wajuvi wengi so karibuni sana
Asante sana mkuu watu wengi tumeshazoea haya majina sasa ni kweli wakati wa kuanza kubadilika,,,nitafanyia kazi huu ushauriHakuna jina la Kiislam wala Kikristo- hayo majina ni ya watu waliokuwepo hata kabla us Qur'ani kuwepo.Mfano Abdalla lilikuwepo Mtume Mohamed hajazaliwa, hata jina Mohamed lilikuwepo kabla ya kuitwa kuwa Mtume Tusidanganyike tafuta jina zuri hata la lugha au Kiswahili. Huwi Mwislamu mzuri kwa kumpa mtoto wako jina la Kiarabu au lililoandikwa kwenye Qur 'an. Uislamu ni imani kwa mungu sio kwa jina.
Watu tubadilike kuanza kutumia majina yetu na bado tutakuwa waislamu wazuri.
Tuache kutawaliwa na utamaduni wa majina ya nje.
Wewe unafikiri jina ni nini? Jina ni neno lo lote unalotoa kwa mtu au kitu
Tafuta neno lo lote unalopenda mpe mtoto.
Mfano labda umepata jina Ahmad unalipenda tafuta maana yake kwa Kiswahili au lugha yako mpe mtoto wako. Akikua tutapata watu mashuhuri Kama waliomo humo kwenye vitabu au hapa duniani
Mpe jina la asili mkuu dini mfundishe muda umefika sasa waafrika tuzinduke tusiache kila kitu chetu kizuri tukafuata kuanzia tamaduni, mila , lugha, mavazi na majina ya waliotuletea dini. Wao hayo majina ni ya asili kabisa kama sisi tuliyo na ya asili na hayana uhusiano wowote na imaniMndendeule wa Namtumbo kaka🤣🤣🤣