Naomba mnisaidie kupendekeza jina zuri na 'unique' la mtoto wa kiume wa Kiislam

Taratibu za kwenu zikoje katika kumpa mtoto jina? Huwa mnauliza mitandaoni?
 
Wanabodi salaam! Nimefanikiwa kupata mtoto wa kiume, sasa kwa jinsi nilivyokuwa na furaha na ujio wake natamani nimpe jina zuri na la kipekee. Najua humu ndan kuna wajuvi wengi so karibuni sana
Gaeed

Dalmine
 
Hakuna jina la Kiislam wala Kikristo- hayo majina ni ya watu waliokuwepo hata kabla us Qur'ani kuwepo.Mfano Abdalla lilikuwepo Mtume Mohamed hajazaliwa, hata jina Mohamed lilikuwepo kabla ya kuitwa kuwa Mtume Tusidanganyike tafuta jina zuri hata la lugha au Kiswahili. Huwi Mwislamu mzuri kwa kumpa mtoto wako jina la Kiarabu au lililoandikwa kwenye Qur 'an. Uislamu ni imani kwa mungu sio kwa jina.
Watu tubadilike kuanza kutumia majina yetu na bado tutakuwa waislamu wazuri.
Tuache kutawaliwa na utamaduni wa majina ya nje.
Wewe unafikiri jina ni nini? Jina ni neno lo lote unalotoa kwa mtu au kitu
Tafuta neno lo lote unalopenda mpe mtoto.
Mfano labda umepata jina Ahmad unalipenda tafuta maana yake kwa Kiswahili au lugha yako mpe mtoto wako. Akikua tutapata watu mashuhuri Kama waliomo humo kwenye vitabu au hapa duniani
 
Mkuu kwani ukimuita tu ULIMWENGU au KAZIZOTE, KAZIKUNOGA, SHEMBAGO, KIDUKU, KIDUKULILO, KIGOGO, KAGASHEKI, nk atakuwa sio muslim? nisamehewe kama nimemkwaza mtu...
Asante kwa ushauri kaka,,, shukran sana
 
Wanabodi salaam! Nimefanikiwa kupata mtoto wa kiume, sasa kwa jinsi nilivyokuwa na furaha na ujio wake natamani nimpe jina zuri na la kipekee. Najua humu ndan kuna wajuvi wengi so karibuni sana
Muite Hamza! Kamwe hutojutia.
 
Hakuna jina la Kiislam wala Kikristo- hayo majina ni ya watu waliokuwepo hata kabla us Qur'ani kuwepo.Mfano Abdalla lilikuwepo Mtume Mohamed hajazaliwa, hata jina Mohamed lilikuwepo kabla ya kuitwa kuwa Mtume Tusidanganyike tafuta jina zuri hata la lugha au Kiswahili. Huwi Mwislamu mzuri kwa kumpa mtoto wako jina la Kiarabu au lililoandikwa kwenye Qur 'an. Uislamu ni imani kwa mungu sio kwa jina.
Watu tubadilike kuanza kutumia majina yetu na bado tutakuwa waislamu wazuri.
Tuache kutawaliwa na utamaduni wa majina ya nje.
Wewe unafikiri jina ni nini? Jina ni neno lo lote unalotoa kwa mtu au kitu
Tafuta neno lo lote unalopenda mpe mtoto.
Mfano labda umepata jina Ahmad unalipenda tafuta maana yake kwa Kiswahili au lugha yako mpe mtoto wako. Akikua tutapata watu mashuhuri Kama waliomo humo kwenye vitabu au hapa duniani
Asante sana mkuu watu wengi tumeshazoea haya majina sasa ni kweli wakati wa kuanza kubadilika,,,nitafanyia kazi huu ushauri
 
Mndendeule wa Namtumbo kaka🤣🤣🤣
Mpe jina la asili mkuu dini mfundishe muda umefika sasa waafrika tuzinduke tusiache kila kitu chetu kizuri tukafuata kuanzia tamaduni, mila , lugha, mavazi na majina ya waliotuletea dini. Wao hayo majina ni ya asili kabisa kama sisi tuliyo na ya asili na hayana uhusiano wowote na imani
 
Back
Top Bottom