Naomba mnisaidie niweze kula vizuri๐Ÿ™๐Ÿผ๐Ÿ™๐Ÿผ

Jitahidi upate vijishughuli vya ziada nje ya kazi yako kuu au gym ili appetite isipotee mbona vyakula ulivyotaja viko POA Tu Mkuu
Nina gym nyumban na sio kama sina appetite ila tu natamani kungekua na aina tofauti ya hivi.Kuna mataifa yana aina nyingi za vyakula sisi ni hivi hivi
 
aisee.....kwakwwli lazima uboreke kama maposhi yenyewe ndio hayo ubwabwa sangara chuzi nyama nazi njegere

kama unataka kweli kula vitu hivi hivi lkn ladha otauti inabidi uwe mtundu angalia vipindi vya maposhi vya nje soma vitabi, halafu weka na ujuzi wako. shida ni pale kama unapikiwa.

jaribu ugali wa mtama, uyoga, samaki wakavu chukuchuku aubwa nazi.

nenda masokoni angalia mafresh vegetables na ma spices kisha gugo na ujaribishe recipe mwenyewe.

otherwise sijui kama utakufa vizuri
 
Inabidi nifanye hivyo.
Natamani kila siku iwe sherehe kwa kula kitu kipya kitamu.
Kula ni moja ya starehe ni hiyo basi tu
 
Kula magimbi kwa mtindi!
 
Sato mkubwa mwenye kilo 3 wa kubanikwa naviungo, na kaugali kadogo kama ngumi, pilipili iwepembeniiliyotengenezwa kwa ustadi.
๐Ÿ™๐Ÿผ๐Ÿ™๐Ÿผ๐Ÿ™๐Ÿผ
Huwa ananoga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ