Naomba msaada mume wangu amekamatwa na polisi nyumbani saa nane usiku kwa tuhuma za kununua simu ya wizi. Vituo vyote wanadai hayupo na tusimtafute

Tafuta wakili ombeni Habeas Corpus..
Habeas Corpus kwa lugha malkia ni Bring the body.. haya ni maombi maalumu ambayo unapeleka mahakamani kuomba mahakama iamuru taasisi yoyote inayohusika na Kukamata au kuchunguza kuleta mwili wa mwomba maombi (maana linaandikwa jina la aliye kamatwa) mahakamini akiwa hai ama mfu.... Mfano kuna kipind mwipaya alishikiliwa polisi bila dhamana akatumia hii...

Hii inaweza msaidia.. watafute watoa msaada wa haki za binadamu au mawakili waandae

Pascal Mayalla Mkuu kama upo free msaidie mtanzania mwenzetu uwanda wako huu wa haki za binadamu
 
Hayo maelezo. Kuna vitu binti anaficha.

Polisi sio wajinga hawakurupuki.

Mpaka polisi wakufate nyumbani usiku wa manane maana yake wameshakujua tabia zako. Mnunuzi wa kawaida angepigiwa simu tu afike kituoni. Ndio angekamatwa..ila wa kufatwa usiku wa manane ujue ni mtu wa matukio.

Kununua simu ya wizi sio sababu kuu

Mimi nilivyoona mkazi wa mburahati na mambo ya simu ya wizi. Akili yangu inaniambia mumewe ni mwizi mtu wa matukio. Kuna maeneo dar es salaam yamejaa watu wa matukio ndio wanaishi. Mojawapo ni kigogo mburahati, tandika kwa kindande, yombo taa nyekundu, chanika. Hayo maeneo yamejaa vibaka na majambazi

Nahisi Huyo mumewe ni mwizi na polisi huwa hawawacheleweshi wezi.
ni sahihi lkn inahalalishaj kumficha mtuhumiwa ?
 
its either ana link ya ujambazi au ugaidi. Ni kweli wasihangaike kumtafuta..

Hii iwe somo tuache kununua simu za mikononi kwa watu ambao hatuwafahamu..
yote hayo yanahalalisha kumficha mtuhumiwa ? lin watu weusi mtaanza jitambua ?
 
KUNA SEHEMU POLISI WAMEZIWEKA BLACK SANA KUTOKA KUNACHUKUA MDA AU KUPOTEA KABISA:
KAMA WEWE UKISEMA AU UMEKAMATWA UNATOKEA SEHEMU HIZI DAR:
TANDARE
MANZESE
MBURAHATI
KIGOGO
BUGURUNI
TEMEKE
YOMBO
TEMEKE
MBAGARA
BUZA
TANDIKA
MAGOMENI POPO BAWA
ARGENTINA
MABIBO
MWANANYAMALA
KAWE USWAHILINI.

KUNA MAWILI KUPIGWA SANA NA KUWEKWA KITUO BILA KUANDIKISHWA AU KIFO KAMA MUHUSIKA.

ULIPONIAMBIA KWA NENO KWA JONGO TU.
SEMA TAFUTA MTU AMBAYE ANAWEZA KUWAPA MSAADA SIO KUANZISHA MANENO MTAMKOSA MIRAD AYO AJE KUINGIZA MSHIKO KWENYE VIWER YOUTUBE
je ni sahihi polisi kufanya kaz kwa reference za sehemu za watuhumiwa ?
 
Polisi kuna mfumo wameuanzisha sina hakika kama ni rasmi au sio rasmi, ni kuwa wakimkamata mtuhumiwa wa wizi wanamlazimisha ataje na matukio ya wizi alioyafanya kwa muda fulani labda miezi mitatu nyuma au sita kulingana na wanavvyohitaji.
Na kila anapoataja tukio wanakusanywa wahusika wote kuanzia wezi, madalali na wanunuzi, na pia wanaenda hadi kulipofanyika tukio ili kuwapa taarifa na wafuatilie kesi yao.
Katika kipindi hiki wahalifu wote wanawazuia kuonana na ndugu nadhani wanahofia labda ndugu wakikkutana na wahalifu wanaweza kuharibu upelelezi.
Hivyo ukienda kituoni utaambiwa eidha ndugu yenu hayupo hapa au kesi hii haipo, ukiuliza yupo wapi watasema hawajui.
Kuna rafiki yangu alinunua TV ya wizi ndio alionipa ushuhuda huu, kuhusu mateso aliniambia wanateswa wezi tu ili kutaja zaidi matukio nyie madalali na wanunuzi mnatishwa tu kama ulishawahi kununua mali nyingine ya wizi ukiacha hiyo.
Nilivyoona huyo jamaa aliekamatwa alikuwa fundi simu hisia zangu zinaniambia labda alinunua simu ya wizi ambapo kuna matukio mengine makubwa wamefanya hao wezi waliouza hiyo simu ndio wapo kwenye huo mfumo nilioutaja.
Maana kazi ya ufundi simu na kuuza simu za wizi ni vitu vinavyoendana sana japo sio wote ila wengi wao, simu nyingi zikiibiwa zinapitia kwa mafundi kwa ajlii ya kutoa lock, kuchange IMEI NO. na mambo mengine ambayo wezi hawayajui.
Kwa vile hizo huduma zina gharama na mwizi ana shida ya haraka ya pesa anaona bora amuuzie simu fundi simu yeye asepe zake.
Ushauri wangu, huyo mke wa jamaa aende kwa OCD amuelezee hiyo shida yake anawweza kupata msaada, nina uhakika wa 90% kuwa jamaa bado yupo hai ila tu hayupo sehemu salama.
 
Polisi sio wajinga hawakurupuki.

Mpaka polisi wakufate nyumbani usiku wa manane maana yake wameshakujua tabia zako. Mnunuzi wa kawaida angepigiwa simu tu afike kituoni. Ndio angekamatwa..ila wa kufatwa usiku wa manane ujue ni mtu wa matukio.

Unaishi Kenya au Tanzania?

Inaonesha huwajui sana Polisi wa bongo wewe..
 
Polisi kuna mfumo wameuanzisha sina hakika kama ni rasmi au sio rasmi, ni kuwa wakimkamata mtuhumiwa wa wizi wanamlazisha ataje na matukio ya wizi alioyafanya kwa muda fulani labda miezi mitatu nyuma au sita kulingana na wanavvyohitaji.
Na kila anapoataja tukio wanakusanywa wahusika wote kuanzia wezi, madalali na wanunuzi, na pia wanaenda hadi kulipofanyika tukio ili kuwapa taarifa na wafuatilie kesi yao.
Katika kipindi hiki wahalifu wote wanawazuia kuwaona na ndugu nadhani wanahofia labda ndugu wakikkutana na wahalifu wanaweza kuharibu upelelezi.
Hivyo ukienda kituoni utaambiwa eidha ndugu yenu hayupo hapa au kesi hii haipo, ukiuliza yupo wapi watasema hawajui.
Kuna rafiki yangu alinunua TV ya wizi ndio alionipa ushuhuda huu, kuhusu mateso aliniambia wanateswa wezi tu ili kutaja zaidi matukio nyie madalali na wanunuzi mnatishwa tu kama ulishawahi kununua mali nyingine ya wizi ukiacha hiyo.
Nilivyoona huyo jamaa aliekamatwa alikuwa fundi simu hisia zangu zinaniambia labda alinunua simu ya wizi ambapo kuna matukio mengine makubwa wamefanya hao wezi waliouza hiyo simu ndio wapo kwenye huo mfumo nilioutaja.
Maana kazi ya ufundi simu na kuuza simu za wizi ni vitu vinavyoendana sana japo sio wote ila wengi wao, simu nyingi zikiibiwa zinapitia kwa mafundi kwa ajlii ya kutoa lock, kuchange IMEI NO. na mambo mengine ambayo wezi hawayajui.
Kwa vile hizo huduma zina gharama na mwizi ana shida ya haraka ya pesa anaona bora amuuzie simu fundi simu yeye asepe zake.
Ushauri wangu, huyo mke wa jamaa aende kwa OCD amuelezee hiyo shida yake anawweza kupata msaada, nina uhakika wa 90% kuwa jamaa bado yupo hai ila tu hayupo sehemu salama.
Sawa sawa kuna madogo walifichwa mabwepande kule kama miezi hv kosa la kesi ya TV
 
Jamaa ni mjasiriamali tu ni fundi simu na vifaa vya umeme,kuuza makava ya simu,kuweka protects,na vikorokoro vingine vya simu,ni msakatonge tu WA kawaida na hata huyo mjumbe wake anakiri ni kijana mzuri asiye na shida na yoyote hapo mtaani.
FUNDI SIMU ?. UNAJUA MAFUNDI SIMU WENGI WAPO BLACKLIST YA POLISI NA TENA WALE WA KUFLASH NDIO KABISA
 
Hayo maelezo. Kuna vitu binti anaficha.

Polisi sio wajinga hawakurupuki.

Mpaka polisi wakufate nyumbani usiku wa manane maana yake wameshakujua tabia zako. Mnunuzi wa kawaida angepigiwa simu tu afike kituoni. Ndio angekamatwa..ila wa kufatwa usiku wa manane ujue ni mtu wa matukio.

Kununua simu ya wizi sio sababu kuu

Mimi nilivyoona mkazi wa mburahati na mambo ya simu ya wizi. Akili yangu inaniambia mumewe ni mwizi mtu wa matukio. Kuna maeneo dar es salaam yamejaa watu wa matukio ndio wanaishi. Mojawapo ni kigogo mburahati, tandika kwa kindande, yombo taa nyekundu, chanika. Hayo maeneo yamejaa vibaka na majambazi

Nahisi Huyo mumewe ni mwizi na polisi huwa hawawacheleweshi wezi.
Polisi ni wa tanzania hii no wajinga na wanakurupuka sana naomba nikurekebishe hapo kwanza.
 
Yaani mwenyekiti wa mtaa amewafahamu kwa majina askari aliowapeleka kumkamata mtuhumiwa usiku akiwa kwake,

Pili, mwenyekiti huyohuyo!,amewatambua kwa sura askari hao wakiwa kituoni, na kujiridhisha kwa kuwaona kwa macho!

Fungua kesi ya kikatiba dhidi ya jeshi la polisi! Na IGP uone kama huyo mtu hatapatikana!... Ushahidi wote mnao!

Yaani umeshikilia mkia kabisa!...: unatuuliza eti inshu iko wapi!?
 
Hayo maelezo. Kuna vitu binti anaficha.

Polisi sio wajinga hawakurupuki.

Mpaka polisi wakufate nyumbani usiku wa manane maana yake wameshakujua tabia zako. Mnunuzi wa kawaida angepigiwa simu tu afike kituoni. Ndio angekamatwa..ila wa kufatwa usiku wa manane ujue ni mtu wa matukio.

Kununua simu ya wizi sio sababu kuu

Mimi nilivyoona mkazi wa mburahati na mambo ya simu ya wizi. Akili yangu inaniambia mumewe ni mwizi mtu wa matukio. Kuna maeneo dar es salaam yamejaa watu wa matukio ndio wanaishi. Mojawapo ni kigogo mburahati, tandika kwa kindande, yombo taa nyekundu, chanika. Hayo maeneo yamejaa vibaka na majambazi

Nahisi Huyo mumewe ni mwizi na polisi huwa hawawacheleweshi wezi.
Kwa hiyo afanyaje sasa??
 
Mpaka nimekuja kumuulizia hapa ni kwamba yeye ameniomba msaada hili suala nililete huku wapatikane watu Kama wewe WA kumsaidia màana hajui afanye nini...sasa nimuambie hiyo KESI ya kikatiba aende akaanzie wapi!
Yaani mwenyekiti wa mtaa amewafahamu kwa majina askari aliowapeleka kumkamata mtuhumiwa usiku akiwa kwake,

Pili, mwenyekiti huyohuyo!,amewatambua kwa sura askari hao wakiwa kituoni, na kujiridhisha kwa kuwaona kwa macho!

Fungua kesi ya kikatiba dhidi ya jeshi la polisi! Na IGP uone kama huyo mtu hatapatikana!... Ushahidi wote mnao!

Yaani umeshikilia mkia kabisa!...: unatuuliza eti inshu iko wapi!?
 
Hayo maelezo. Kuna vitu binti anaficha.

Polisi sio wajinga hawakurupuki.

Mpaka polisi wakufate nyumbani usiku wa manane maana yake wameshakujua tabia zako. Mnunuzi wa kawaida angepigiwa simu tu afike kituoni. Ndio angekamatwa..ila wa kufatwa usiku wa manane ujue ni mtu wa matukio.

Kununua simu ya wizi sio sababu kuu

Mimi nilivyoona mkazi wa mburahati na mambo ya simu ya wizi. Akili yangu inaniambia mumewe ni mwizi mtu wa matukio. Kuna maeneo dar es salaam yamejaa watu wa matukio ndio wanaishi. Mojawapo ni kigogo mburahati, tandika kwa kindande, yombo taa nyekundu, chanika. Hayo maeneo yamejaa vibaka na majambazi

Nahisi Huyo mumewe ni mwizi na polisi huwa hawawacheleweshi wezi.
Ukute alikuwa mwizi na tuhuma zimemkuta mara kadhaa na huwenda wamempoteza mazima
 
Tunaishi na mapolisi wastaafu mtaani huku. Wanaishi maisha magumu sana kwa sabat rho za waliowaua kinyama zinaendelea kumlilia Mungu.

Hell starts from here if you do not repent
 
Back
Top Bottom