[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Choma moto
Tupia sumu zipo kama punje akila kimoja tu humuoni tenaWakuu samahani kuna panya mdogo anakaa kwenye gari yangu, nikiwa nimekaa muda mrefu nimepaki nasikia akitafuna vitu nikijaribu kuangalia ananyamaza. Nikiamka asubui nakuta vikapande pande vya karatasi vilivyo tafunwa na panya kwenye buti na ata kwenye engine. Naogopa asije akatafuna nyaya za umeme gari ikapata short. Nisaidieni niweke dawa gani? maana nime mvizia mpaka amenishinda akili.
Paka wa siku hizi hasa hawa wa mjini tunaoangaliaga nao tamthilia na mipira ya Simba na yanga kwenye Tv sebureni hamna kitu kabisa usitegemee ajihangaishe kukamata panya na usishangae kuwakuta kwenye pipa la taka wakila mabaki ya chakula pamoja πDawa ni rahisi sana.
Wewe chukua paka mwenye njaa, mlaze ndani ya gari yako usiku mmoja tu, hakikisha unaachia upenyo wa kioo kuwa wazi at least inch 1 ili hewa kuingia na kutoka ndani ya gari.
Wakuu samahani kuna panya mdogo anakaa kwenye gari yangu, nikiwa nimekaa muda mrefu nimepaki nasikia akitafuna vitu nikijaribu kuangalia ananyamaza.
Nikiamka asubui nakuta vikapande pande vya karatasi vilivyo tafunwa na panya kwenye buti na ata kwenye engine.
Naogopa asije akatafuna nyaya za umeme gari ikapata short. Nisaidieni niweke dawa gani? maana nime mvizia mpaka amenishinda akili.
πππππππππ Yaaani tukipata wa kufanana na wewe hiko kichwa....Hamna mdudu simpendi kama panya, yaani huwa nawabamiza balaa.
Panya akiingia kwenye kumi na nane zangu nampa kiphiro heavy mno, ni mikwaju mpaka anaomba poo.
Kabla hajafa namchomekea mapini na masindano halafu namsulubisha na misumari kwenye mti.
Cha mwisho nampiga FATAL BLOW, namshindilia limsumari la tumbo pufuuuuu, basi hapo roho yangu KWATUUU...
Sadism is inevitable when it comes to RATS.
Cc Lamomy Extrovert cocastic adriz Mufti kuku The Infinity Poor Brain
Wizo sio vizuri viumbe vya Mungu hivyo navyo vinahitaji kuishi bana πHamna mdudu simpendi kama panya, yaani huwa nawabamiza balaa.
Panya akiingia kwenye kumi na nane zangu nampa kiphiro heavy mno, ni mikwaju mpaka anaomba poo.
Kabla hajafa namchomekea mapini na masindano halafu namsulubisha na misumari kwenye mti.
Cha mwisho nampiga FATAL BLOW, namshindilia limsumari la tumbo pufuuuuu, basi hapo roho yangu KWATUUU...
Sadism is inevitable when it comes to RATS.
Cc Lamomy Extrovert cocastic adriz Mufti kuku The Infinity Poor Brain
Lamomy hivi hii wizo ina maana gani...Wizo sio vizuri viumbe vya Mungu hivyo navyo vinahitaji kuishi bana π
Niko radhi kung'oa viti vyote vya gari ili nimnase huyo panya.πππππππππ Yaaani tukipata wa kufanana na wewe hiko kichwa....
Na hakuna bado bado....sana