Naomba msaada wa dawa ya panya wanaojificha kwenye gari

Naomba msaada wa dawa ya panya wanaojificha kwenye gari

Chukua ushauri wa mtego!

Ukitumia sumu ujiandae kupambana na harufu kali akifia mafichoni.

Sijui kama Air freshener inaweza kufua dafu kwa harufu ile.
 
Ndio shida ya watu wanokula kula hovyo na kudondosha uchafu kwenye gari.
 
Tafuta vidonge vya indocide toa ule unga wake weka ktk nyanya au nyama dakika sifuri
 
Wakuu samahani kuna panya mdogo anakaa kwenye gari yangu, nikiwa nimekaa muda mrefu nimepaki nasikia akitafuna vitu nikijaribu kuangalia ananyamaza.

Nikiamka asubui nakuta vikapande pande vya karatasi vilivyo tafunwa na panya kwenye buti na ata kwenye engine.

Naogopa asije akatafuna nyaya za umeme gari ikapata short. Nisaidieni niweke dawa gani? maana nime mvizia mpaka amenishinda akili.
 
Chukua ushauri wa mtego!

Ukitumia sumu ujiandae kupambana na harufu kali akifia mafichoni.

Sijui kama Air freshener inaweza kufua dafu kwa harufu ile.
Kuna dawa akila panya zinamkausha hata harufu hakuna.
 
Back
Top Bottom