Naomba msaada wa dawa ya panya wanaojificha kwenye gari

Naomba msaada wa dawa ya panya wanaojificha kwenye gari

Niko radhi kung'oa viti vyote vya gari ili nimnase huyo panya.

Huyu jamaa amenisisimua mno, i wish i could be the CAR OWNER. Ningemsaka huyo panya nihakikishe namdaba akiwa hai anapumua kwa kutweta.

Nikimnasa namfumua kikatili mno. Ntanunua mkasi spesheli namkata mguu mmoja baada ya mwingine halafu namuacha huku natabasamu muruaa sana.

Akifurukuta nambamiza teke la kisigino.

Hamna kitu tamu kama kuua panya walahi. Ni tamu mno.

Hasa ulikute lile lipanya buku lililononaaa, wololo yaye, kisago kinanoga vibaya sana.

Cc Lamomy DR Mambo Jambo
Mbona unaua kinyama hivo....
Wee mtu wa horror movies sana...zitakuharibu 😂😂😂😂😂
 
Paka wa siku hizi hasa hawa wa mjini tunaoangaliaga nao tamthilia na mipira ya Simba na yanga kwenye Tv sebureni hamna kitu kabisa usitegemee ajihangaishe kukamata panya na usishangae kuwakuta kwenye pipa la taka wakila mabaki ya chakula pamoja 😀

Dawa ninayoikubali ni Ile mitego ya gundi ambayo unaweka kipande cha dagaa au mnofu wa nyama Panya akisogea tu anabaki hapo.

Jaribu hiyo utanishukuru badae (usitege Panya Kwa sumu maana anaweza Kula then akaenda kufia sehemu ambayo huwezi kumuona utakuwa unasikia harufu tu!)
Huo mtego wa gundi niliweka wiki nzima nyumbani kwangu na msosi mtamu nikawawekea,mpk ukakauka hawakula,nimetega ule wa kufyatua hawakula,nineweka sumu ya kama vitambi vyekundu hawakula,sasa nimeamua nipige maombi maana nahisi hawa watakua sio panya...
 
Wizo sio vizuri viumbe vya Mungu hivyo navyo vinahitaji kuishi bana 😂
Kiumbe mshenzi mno yule. Sitaki kukumbuka madhila niliyopata enzi za usichana wangu nikiwa nimepanga nyumba moja hapo dar es salaam 😭😭

Panya wanaboa sana. Tulizo langu la moyo ni kuwafumua ipasavyo.

Nafarijika sana kwa kweRi.
 
Paka wa siku hizi hasa hawa wa mjini tunaoangaliaga nao tamthilia na mipira ya Simba na yanga kwenye Tv sebureni hamna kitu kabisa usitegemee ajihangaishe kukamata panya na usishangae kuwakuta kwenye pipa la taka wakila mabaki ya chakula pamoja 😀

Dawa ninayoikubali ni Ile mitego ya gundi ambayo unaweka kipande cha dagaa au mnofu wa nyama Panya akisogea tu anabaki hapo.

Jaribu hiyo utanishukuru badae (usitege Panya Kwa sumu maana anaweza Kula then akaenda kufia sehemu ambayo huwezi kumuona utakuwa unasikia harufu tu!)
Huo Mtego Wa Gundi Nilikuwa Naudharau Ila Kuna Jamaa Kwake Aliingia Panya Wale Wadogo
Ambao Wewe Ukilala Usiku Wao Huanza Kazi, Alikwenda Dukani Akashauriwa Huo
Upo Kama Kitabu Akaufungua Akaweka Ule Ulimbo Una Harufu Ya Chakula Asubuhi Akamkuta Panya Mzima Ila Huo Ulimbo Sasa Umemshika Hawezi Kutoka
 
Kiumbe mshenzi mno yule. Sitaki kukumbuka madhila niliyopata enzi za usichana wangu nikiwa nimepanga nyumba moja hapo dar es salaam 😭😭

Panya wanaboa sana. Tulizo langu la moyo ni kuwafumua ipasavyo.

Nafarijika sana kwa kweRi.
Wizo walikufanya nini hao panya kwenye “Enzi ya usichana wako?” 😂😂😂😂
 
Weka mtego wa gundi Mkuu, sumu akifa alafu akafia kwenye kificho hiyo harufu utakimbia hilo gari lako.
 
Wifi 🤣🤣🤣
Huyo ni wifi yangu kwa cazee wangu extro 😜🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
Daaah kwa kweli 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌
Ila mnawezana kweli...
Sio kichwa kile 😂😂😂😂😂
 
Wizo walikufanya nini hao panya kwenye “Enzi ya usichana wako?” 😂😂😂😂
Walinitafunia magauni yangu na dokomenti zangu za msingi sana.

Nakumbuka lile gauni langu la TENTEMENTE la miaka hiyo, nikijikwatua mwenyewe nikilivaaa alaaaaaahh.....

Sijui alitoka wapi yule mshenzi panya buku akalitoboa kila pahala. Dokomenti zangu akazifyekaaa zotee...

Akii nina usongo na panya. Nawabamizaga kama nimewazaa mie.

Shida wanakufa haraka. Ukimkanyaga tu teke la kisigino kashadanja.

Huwa natamani nilikamate nilicharaze mijeledi siku nzima. This is why i prefer NAILS and PINS.

Nikipata nyundo na misumari ya GYPSUM aweeeeeh ni utamu kunoga.
 
Niko radhi kung'oa viti vyote vya gari ili nimnase huyo panya.

Huyu jamaa amenisisimua mno, i wish i could be the CAR OWNER. Ningemsaka huyo panya nihakikishe namdaba akiwa hai anapumua kwa kutweta.

Nikimnasa namfumua kikatili mno. Ntanunua mkasi spesheli namkata mguu mmoja baada ya mwingine halafu namuacha huku natabasamu muruaa sana.

Akifurukuta nambamiza teke la kisigino.

Hamna kitu tamu kama kuua panya walahi. Ni tamu mno.

Hasa ulikute lile lipanya buku lililononaaa, wololo yaye, kisago kinanoga vibaya sana.

Cc Lamomy DR Mambo Jambo
Wizo ww na dr mna jambo sio bure 🤣🤣🤣
cocastic wizo kamtag tena daktareeee huku
 
Wakuu samahani kuna panya mdogo anakaa kwenye gari yangu, nikiwa nimekaa muda mrefu nimepaki nasikia akitafuna vitu nikijaribu kuangalia ananyamaza.

Nikiamka asubui nakuta vikapande pande vya karatasi vilivyo tafunwa na panya kwenye buti na ata kwenye engine.

Naogopa asije akatafuna nyaya za umeme gari ikapata short. Nisaidieni niweke dawa gani? maana nime mvizia mpaka amenishinda akili.
Hongera kwa kumiliki gari mkuu
 
Back
Top Bottom