proton pump
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 6,814
- 10,104
πββοΈπββοΈπββοΈhapana usiniweke maana napractise nofap.comAlafu proton pump na wewe upo kundi la vijana hovyo au πππππ
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
πββοΈπββοΈπββοΈhapana usiniweke maana napractise nofap.comAlafu proton pump na wewe upo kundi la vijana hovyo au πππππ
Zimepigwa marufuku kuuzwa maduka ya dawa, ila kama wanakufahamu au wakikuhoji na kuridhika basi watakuuzia. Wasipokuelewa elewa watakutosa.Endosine inapatikana wapi mkuu?, mwongozo tafadhali.
Kamata mmoja umpige mbupu humo humo ndani ya gari wataogopa wengine na kukimbiaWakuu samahani kuna panya mdogo anakaa kwenye gari yangu, nikiwa nimekaa muda mrefu nimepaki nasikia akitafuna vitu nikijaribu kuangalia ananyamaza.
Nikiamka asubui nakuta vikapande pande vya karatasi vilivyo tafunwa na panya kwenye buti na ata kwenye engine.
Naogopa asije akatafuna nyaya za umeme gari ikapata short. Nisaidieni niweke dawa gani? maana nime mvizia mpaka amenishinda akili.
Hiyo hutoboi wewe....πββοΈπββοΈπββοΈhapana usiniweke maana napractise nofap.com
KOMWEnampa kiphiro heavy mno
πππππππππMi kitambo team βNo stressβ π€£π€£π€£π€£
huko hapana unaharibu nofapHiyo hutoboi wewe....
Na vile unatembelea lile jukwaa la photo..
Sijui warembo afrika..
Bado ujashuka kule kwa kula tunda
ππππππππ
We ni katili sanaHamna mdudu simpendi kama panya, yaani huwa nawabamiza balaa.
Panya akiingia kwenye kumi na nane zangu nampa kiphiro heavy mno, ni mikwaju mpaka anaomba poo.
Kabla hajafa namchomekea mapini na masindano halafu namsulubisha na misumari kwenye mti.
Cha mwisho nampiga FATAL BLOW, namshindilia limsumari la tumbo pufuuuuu, basi hapo roho yangu KWATUUU...
Sadism is inevitable when it comes to RATS.
Cc Lamomy Extrovert cocastic adriz Mufti kuku The Infinity Poor Brain
Azichaji vizuri pia...We ni katili sana
Mwaka jana nilipotelwa na vyeti vyangu vyote maana niliviweka kwa bi mkubwa wakati nimesafiri. Sasa kwa wenge baada ya kua havionekani nikajua labda dogo siku nimemkabidhi aliviweka vibaya then alipochoma takataka akachoma na vyenyewe na mama yeye anasema hakumbuki kama alipewa.Walinitafunia magauni yangu na dokomenti zangu za msingi sana.
Nakumbuka lile gauni langu la TENTEMENTE la miaka hiyo, nikijikwatua mwenyewe nikilivaaa alaaaaaahh.....
Sijui alitoka wapi yule mshenzi panya buku akalitoboa kila pahala. Dokomenti zangu akazifyekaaa zotee...
Akii nina usongo na panya. Nawabamizaga kama nimewazaa mie.
Shida wanakufa haraka. Ukimkanyaga tu teke la kisigino kashadanja.
Huwa natamani nilikamate nilicharaze mijeledi siku nzima. This is why i prefer NAILS and PINS.
Nikipata nyundo na misumari ya GYPSUM aweeeeeh ni utamu kunoga.
Nikikukamata nakuvunja hogoAzichaji vizuri pia...
πππππ
Nisamehe mimi antiel πππππππππNikikukamata nakuvunja hogo
Sikusamehi hadi nikuvunjeNisamehe mimi antiel πππππππππ
Mbona nimesalimu amri ant anguSikusamehi hadi nikuvunje
Jisalimishe mwenyewe tuuuu
Jisalimishe mwenyewe uingie chumbaniii ... ingiia tuu bila shurutiMbona nimesalimu amri ant angu
πππππππππππππππ
Nisamehe mimi dah
Lamomy njoo nitetee basi,πππ
Afungue siti zote zikaoshweFanyia gari usafi.