Naomba msaada wa dawa ya panya wanaojificha kwenye gari

Naomba msaada wa dawa ya panya wanaojificha kwenye gari

Dawa ni rahisi sana.

Wewe chukua paka mwenye njaa, mlaze ndani ya gari yako usiku mmoja tu, hakikisha unaachia upenyo wa kioo kuwa wazi at least inch 1 ili hewa kuingia na kutoka ndani ya gari.
Ila asiwe paka wa Dar Tu
 
Daaah kwa kweli 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂🙌🙌🙌🙌🙌
Ila mnawezana kweli...
Sio kichwa kile 😂😂😂😂😂
🤣🤣🤣🤣 wizo hana baya mi nakwambiaga ila kuna mijitu yenye stress za maisha na mapenzi wanataka tuishi humu km tupo uraiani na ili hali hatujuani mxiewwwww!!!
Kwanza wenzao tunaingia humu kufurahi tukiwa bar 😂😂😂😂
 
Vaa viatu na soksi usifue kwa wiki kama mbili. Vua,vyote weka ndani,funga vioo. Kesho yake leta mrejesho
 
🤣🤣🤣🤣 wizo hana baya mi nakwambiaga ila kuna mijitu yenye stress za maisha na mapenzi wanataka tuishi humu km tupo uraiani na ili hali hatujuani mxiewwwww!!!
Kwanza wenzao tunaingia humu kufurahi tukiwa bar 😂😂😂😂
Lamomy kwa haya maneno..
Naona sasa effect ya kuwa karibu na wizo ahahahahah😂😂😂😂😂😂😂

Na wewe sasa unataka uwe don't care kama wizo daah 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
 
☃ 🦊🦊🐱🐱🐈NYAAAAUU NYAAAU NYAAU WAU WAU WAU panya wote kwisha🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️🐁🐁🐁🐁🐁🐭🐭🐭
 
Mkuu hii ID yako badili siku hizi unaweza badili (EDIT) jina hapo jamii
Lamomy kwa haya maneno..
Naona sasa effect ya kuwa karibu na wizo ahahahahah😂😂😂😂😂😂😂

Na wewe sasa unataka uwe don't care kama wizo daah 🙌🙌🙌🙌🙌🙌
 
Wakuu samahani kuna panya mdogo anakaa kwenye gari yangu, nikiwa nimekaa muda mrefu nimepaki nasikia akitafuna vitu nikijaribu kuangalia ananyamaza.

Nikiamka asubui nakuta vikapande pande vya karatasi vilivyo tafunwa na panya kwenye buti na ata kwenye engine.

Naogopa asije akatafuna nyaya za umeme gari ikapata short. Nisaidieni niweke dawa gani? maana nime mvizia mpaka amenishinda akili.
Tumia endosine, yaani panya wanajifia huku unacheka. Inawasaga mifupa halafu wala hata hawaozi watoe harufu
 
Hamna mdudu simpendi kama panya, yaani huwa nawabamiza balaa.

Panya akiingia kwenye kumi na nane zangu nampa kiphiro heavy mno, ni mikwaju mpaka anaomba poo.

Kabla hajafa namchomekea mapini na masindano halafu namsulubisha na misumari kwenye mti.

Cha mwisho nampiga FATAL BLOW, namshindilia limsumari la tumbo pufuuuuu, basi hapo roho yangu KWATUUU...

Sadism is inevitable when it comes to RATS.

Cc Lamomy Extrovert cocastic adriz Mufti kuku The Infinity Poor Brain
mdudu tena
 
Back
Top Bottom