Naomba msaada wa dawa ya panya wanaojificha kwenye gari

Mbona unaua kinyama hivo....
Wee mtu wa horror movies sana...zitakuharibu πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Huo mtego wa gundi niliweka wiki nzima nyumbani kwangu na msosi mtamu nikawawekea,mpk ukakauka hawakula,nimetega ule wa kufyatua hawakula,nineweka sumu ya kama vitambi vyekundu hawakula,sasa nimeamua nipige maombi maana nahisi hawa watakua sio panya...
 
Wizo sio vizuri viumbe vya Mungu hivyo navyo vinahitaji kuishi bana πŸ˜‚
Kiumbe mshenzi mno yule. Sitaki kukumbuka madhila niliyopata enzi za usichana wangu nikiwa nimepanga nyumba moja hapo dar es salaam 😭😭

Panya wanaboa sana. Tulizo langu la moyo ni kuwafumua ipasavyo.

Nafarijika sana kwa kweRi.
 
Huo Mtego Wa Gundi Nilikuwa Naudharau Ila Kuna Jamaa Kwake Aliingia Panya Wale Wadogo
Ambao Wewe Ukilala Usiku Wao Huanza Kazi, Alikwenda Dukani Akashauriwa Huo
Upo Kama Kitabu Akaufungua Akaweka Ule Ulimbo Una Harufu Ya Chakula Asubuhi Akamkuta Panya Mzima Ila Huo Ulimbo Sasa Umemshika Hawezi Kutoka
 
Kuna panya niliwahi kumtafuta chumba kizima nisimuone mpaka nikachanganyikiwa nikilala usiku ndio namsikia anahangaika kumbe mshenzi anaishi ndani ya sabwoofer anatoka usiku tu anaanza kuzurura mle chumbani
Mapanya hovyo sana aiseee
 
Kiumbe mshenzi mno yule. Sitaki kukumbuka madhila niliyopata enzi za usichana wangu nikiwa nimepanga nyumba moja hapo dar es salaam 😭😭

Panya wanaboa sana. Tulizo langu la moyo ni kuwafumua ipasavyo.

Nafarijika sana kwa kweRi.
Wizo walikufanya nini hao panya kwenye β€œEnzi ya usichana wako?” πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Weka mtego wa gundi Mkuu, sumu akifa alafu akafia kwenye kificho hiyo harufu utakimbia hilo gari lako.
 
Lamomy hivi hii wizo ina maana gani...
Alafu naona huna baya kabisa na ant angu aiseee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Wifi 🀣🀣🀣
Huyo ni wifi yangu kwa cazee wangu extro πŸ˜œπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
 
Wifi 🀣🀣🀣
Huyo ni wifi yangu kwa cazee wangu extro πŸ˜œπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈπŸƒβ€β™€οΈ
Daaah kwa kweli πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Ila mnawezana kweli...
Sio kichwa kile πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wizo walikufanya nini hao panya kwenye β€œEnzi ya usichana wako?” πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Walinitafunia magauni yangu na dokomenti zangu za msingi sana.

Nakumbuka lile gauni langu la TENTEMENTE la miaka hiyo, nikijikwatua mwenyewe nikilivaaa alaaaaaahh.....

Sijui alitoka wapi yule mshenzi panya buku akalitoboa kila pahala. Dokomenti zangu akazifyekaaa zotee...

Akii nina usongo na panya. Nawabamizaga kama nimewazaa mie.

Shida wanakufa haraka. Ukimkanyaga tu teke la kisigino kashadanja.

Huwa natamani nilikamate nilicharaze mijeledi siku nzima. This is why i prefer NAILS and PINS.

Nikipata nyundo na misumari ya GYPSUM aweeeeeh ni utamu kunoga.
 
Wizo ww na dr mna jambo sio bure 🀣🀣🀣
cocastic wizo kamtag tena daktareeee huku
 
Hongera kwa kumiliki gari mkuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…