Naomba msaada wa dawa ya panya wanaojificha kwenye gari

Dawa ni rahisi sana.

Wewe chukua paka mwenye njaa, mlaze ndani ya gari yako usiku mmoja tu, hakikisha unaachia upenyo wa kioo kuwa wazi at least inch 1 ili hewa kuingia na kutoka ndani ya gari.
Ila asiwe paka wa Dar Tu
 
Daaah kwa kweli πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
Ila mnawezana kweli...
Sio kichwa kile πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
🀣🀣🀣🀣 wizo hana baya mi nakwambiaga ila kuna mijitu yenye stress za maisha na mapenzi wanataka tuishi humu km tupo uraiani na ili hali hatujuani mxiewwwww!!!
Kwanza wenzao tunaingia humu kufurahi tukiwa bar πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Vaa viatu na soksi usifue kwa wiki kama mbili. Vua,vyote weka ndani,funga vioo. Kesho yake leta mrejesho
 
Lamomy kwa haya maneno..
Naona sasa effect ya kuwa karibu na wizo ahahahahahπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Na wewe sasa unataka uwe don't care kama wizo daah πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
β˜ƒ 🦊🦊🐱🐱🐈NYAAAAUU NYAAAU NYAAU WAU WAU WAU panya wote kwishaπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸπŸπŸπŸπŸπŸ­πŸ­πŸ­
 
Mkuu hii ID yako badili siku hizi unaweza badili (EDIT) jina hapo jamii
Lamomy kwa haya maneno..
Naona sasa effect ya kuwa karibu na wizo ahahahahahπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Na wewe sasa unataka uwe don't care kama wizo daah πŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™ŒπŸ™Œ
 
Tumia endosine, yaani panya wanajifia huku unacheka. Inawasaga mifupa halafu wala hata hawaozi watoe harufu
 
mdudu tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…