Judi wa Kishua
JF-Expert Member
- Apr 15, 2012
- 1,242
- 1,472
Utaelewa tu muda ukifika. Kwa sasa unaweza tu kwenda saluni kuosha hizo nywele kichwani.Naomba mwenye akili timamu anielweshwe nielewe vizuri the logic behind ya kutoshiriki uchaguzi.
Je chadema expectations zao ni zipi?
Yani wata achieve kitu gani kwa wao kususia uchaguzi?
Lissu mbona yupo jelaHawatakufa wala kutekwa tena
Kutotekwa,kutolazimishwa kupokea rushwa,blackmailing s,kutokuuwawa,kutokukimbia nchi/familia zao na kuendelea na maisha as usual.Swali lingine ndugu mpukunusi.Naomba mwenye akili timamu anielweshwe nielewe vizuri the logic behind ya kutoshiriki uchaguzi.
Je chadema expectations zao ni zipi?
Yani wata achieve kitu gani kwa wao kususia uchaguzi?
Mm NI Mwana CCM nimefurahi mnoNa hakuna reform mpaka 2050 tuone sasa mtafanyaje
Atachomoka tuu, na hata kama ni jela sio kama tunayopelekwa sisi wapiga kuraLissu mbona yupo jela
Wataokoa gharama za kuendesha kampeni ambapo hawangeshinda chochoteNaomba mwenye akili timamu anielweshwe nielewe vizuri the logic behind ya kutoshiriki uchaguzi.
Je chadema expectations zao ni zipi?
Yani wata achieve kitu gani kwa wao kususia uchaguzi?
Huna akiliNa hakuna reform mpaka 2050 tuone sasa mtafanyaje
In fact ukienda kuwinda Kuna kupata na kukosa, wenyewe tumeamua kubakia humohumo.Naomba mwenye akili timamu anielweshwe nielewe vizuri the logic behind ya kutoshiriki uchaguzi.
Je chadema expectations zao ni zipi?
Yani wata achieve kitu gani kwa wao kususia uchaguzi?
Wafuasi wao hawataachwa na vilema, ama kuuwawa, hawatapoteza fedha zao kushiriki chaguzi ambazo ccm ndio wanatakiwa watangazwe washindi. Yaani faida ni kubwa kuliko hasara.Naomba mwenye akili timamu anielweshwe nielewe vizuri the logic behind ya kutoshiriki uchaguzi.
Je chadema expectations zao ni zipi?
Yani wata achieve kitu gani kwa wao kususia uchaguzi?
Mbona hiyo karibu inatakiwa zisiwepo hadi 3025.Na hakuna reform mpaka 2050 tuone sasa mtafanyaje
Ninazo, tunataka msuse mpaka 2050Huna akili