comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Mzee hizi siasa za miaka ya 90 bado unazo hadi leo?Lengo la CHADEMA ni kukinukisha (Lissu).
Yaani Nchi inuke Damu
Usikufuru hujui ya kesho unaweza ukapata ajali mbaya na hiyo mikono yako ikashindwa kuandika daima na ukashuhudia mabadiliko kabla ya 2050 ukiwa kwenye wheel chair daimaNa hakuna reform mpaka 2050 tuone sasa mtafanyaje
Na watapata faida gani wakishiriki?Naomba mwenye akili timamu anieleweshwe nielewe vizuri the logic behind ya kutoshiriki uchaguzi.
Je CHADEMA expectations zao ni zipi?
Yaani wata achieve kitu gani kwa wao kususia uchaguzi?
Kaka hakuna chawa wa ccm mwenye akili, hilo jamaa uliloliquoate ni moja ya machawa maarufu wajinga wajinga waliomo humu.Usikufuru hujui ya kesho unaweza ukapata ajali mbaya na hiyo mikono yako ikashindwa kuandika daima na ukashuhudia mabadiliko kabla ya 2050 ukiwa kwenye wheel chair daima
Be careful mkuu,Usijitoe sana ufahamu kisa siasa,Wewe ni binadamu tu ,Hujui hata nusu saa mbele nini kitakukuta
Kwani hayo mambo yanatokea wakati wa uchaguzi tu?Hawatakufa wala kutekwa tena
Majibu yote yako hapaNaomba mwenye akili timamu anieleweshwe nielewe vizuri the logic behind ya kutoshiriki uchaguzi.
Je CHADEMA expectations zao ni zipi?
Yaani wata achieve kitu gani kwa wao kususia uchaguzi?
Utakuwa umeshakufaNa hakuna reform mpaka 2050 tuone sasa mtafanyaje
Mpaka hapo wanakuwa wamemkomoa ccm au wamesarenda? 😆😆Hawatakufa wala kutekwa tena
Uchaguzi wenyewe unaousemea haujafika bado, Lakini ukumbuke hata kabla ya kumchinja kuku huwa tunaanza kwa kumkimbiza kwanza masaa machache kabla ya kifoKwani hayo mambo yanatokea wakati wa uchaguzi tu?
Amandla...
CCM hakomolewi, labda waende Physically napo kuna kuumia tuu😆Mpaka hapo wanakuwa wamemkomoa ccm au wamesarenda? 😆😆