Naomba nieleweshwe, Chadema wanapata faida gani wasiposhiriki uchaguzi?

Naomba nieleweshwe, Chadema wanapata faida gani wasiposhiriki uchaguzi?

Naomba mwenye akili timamu anieleweshwe nielewe vizuri the logic behind ya kutoshiriki uchaguzi.

Je CHADEMA expectations zao ni zipi?
Yaani wata achieve kitu gani kwa wao kususia uchaguzi?
Wamepigwa sana, wamefungwa sana, wamebambikiwa kesi sana, kunawaliofilisiwa, kuachwa vilema kwa sababu ya siasa chafu za ccm serikali na vyombo vya dola. Kwanini taratibu za uchaguzi zisiboreshwe kuzuia wizi wa kura, unyanyasaji wa wapinzani, na undeleo wa tume na vyombo vya dola kwa ccm?
 
20250307_211349.jpg
 
Naskia Haji na mkewe wanachafuana huko mitandaoni balaaa...🤣
 
Wagombea wao hatapigwa risasi wala kutekwa kisa ni wagombea wala mawakala wao hatapewa kesi za kijanja tena kisa tu ni mawakala wa CDM maana watakuwa hawapo vituo vya kupigia kura na wanachama wao hatapigwa mabom ya machozi wala masasi kisa wanalinda kura au kulazimisha mshindi atangazwe kwa nguvu ya umma ,vip uongezwe zingine au
 
Naomba mwenye akili timamu anieleweshwe nielewe vizuri the logic behind ya kutoshiriki uchaguzi.

Je CHADEMA expectations zao ni zipi?
Yaani wata achieve kitu gani kwa wao kususia uchaguzi?
Na wakishiriki wanapata faida gani wasipo shinda ??
 
Naomba mwenye akili timamu anieleweshwe nielewe vizuri the logic behind ya kutoshiriki uchaguzi.

Je CHADEMA expectations zao ni zipi?
Yaani wata achieve kitu gani kwa wao kususia uchaguzi?
UHAI WA BINADAMU HAWAKUFA, WALA KUFANYWA VILEMA NA CCM.
REJEA WALIOKWISHA POTEZA MAISHA KWASABABU YA CHAGUZI.
 
Back
Top Bottom