Naomba nieleweshwe, Chadema wanapata faida gani wasiposhiriki uchaguzi?

Naomba nieleweshwe, Chadema wanapata faida gani wasiposhiriki uchaguzi?

Faida,ni kutopoteza rasilimali zao,na kuzuia umwagaji damu,
Maana serikali na chama cha mapinduzi hawatakubali chadema itangazwe hata kama wameshinda kihalali
Chadema was giving ccm sleepless nights,so this time ccm will have no strong competitor, ccm will benefit more from this undemocratic and illegitimate election,
Chadema wamefanya vizuri kunusuru usalama na Afya za wanachama wao.
 
Naomba mwenye akili timamu anieleweshwe nielewe vizuri the logic behind ya kutoshiriki uchaguzi.

Je CHADEMA expectations zao ni zipi?
Yaani wata achieve kitu gani kwa wao kususia uchaguzi?

Waamini tunasena Alhamdulillah kwa kila jambo maana tunajua tuko Mungu mkuu.


Ndio maana Kuna wakati maadui wanalzimika kutusaidia ili tusonge mbele kwa amani.
 
Ikiwa ukishiriki hutangazwi unaposhinda , unazuiwa kufanya kampeni vizuri , unapigwa, unapotezewa mali ndugu na hata kuuliwa ya nini kuhangaika na uchaguzi wa sampuli hiyo?

CDM waendelee na mkakati wao wa kutoa elimu ya no reforms no eldction na hii wakati wake ukifika kila goti litapigwa na kukiri kwamba ccm ilikuwa imechokwa mno.
 
Naomba mwenye akili timamu anieleweshwe nielewe vizuri the logic behind ya kutoshiriki uchaguzi.

Je CHADEMA expectations zao ni zipi?
Yaani wata achieve kitu gani kwa wao kususia uchaguzi?
 

Attachments

  • 20250323_112556.jpg
    20250323_112556.jpg
    191.3 KB · Views: 15
  • img_1_1744462656922.jpg
    img_1_1744462656922.jpg
    99.2 KB · Views: 19
Naomba mwenye akili timamu anieleweshwe nielewe vizuri the logic behind ya kutoshiriki uchaguzi.

Je CHADEMA expectations zao ni zipi?
Yaani wata achieve kitu gani kwa wao kususia uchaguzi?

Kachague CUF ya Lipumba!

No reform no election. Tushukuru tuna majembe maana Watanzania kama wewe ni waoga kama kuku
 
Naomba mwenye akili timamu anieleweshwe nielewe vizuri the logic behind ya kutoshiriki uchaguzi.

Je CHADEMA expectations zao ni zipi?
Yaani wata achieve kitu gani kwa wao kususia uchaguzi?


Swali la msingi sio wanapata faida gani ni wanapata hasara gani?

Tanzania watu wamexhanganyikiwa hata fikra ni za kichawa😂.

Sasa wana zero wakishiriki kwa mfumo huu ni zero. Sasa hasara gani wanapata si bora wapiganie mifumo na sheria
 
Nawe tueleza kwanza hizo FAIDA kwa CDM kushiriki uchafuzi huu wa 2025
 
Naomba mwenye akili timamu anieleweshwe nielewe vizuri the logic behind ya kutoshiriki uchaguzi.

Je CHADEMA expectations zao ni zipi?
Yaani wata achieve kitu gani kwa wao kususia uchaguzi?
Nia ya bwana Lissu ni kuzuia uchaguzi na sio kususia tu.
 
Kushiriki uchaguzi na chama cha majambazi ambayo kuteka, kuua kwao sio shida ili kujihakikishia ushindi ni kupoteza muda na kujitoa ufahamu
 
Na hakuna reform mpaka 2050 tuone sasa mtafanyaje
Hizi arrogance’s mlizonazo na kujiona nchi ni ya CCM peke yao nakuhakikishia yana mwisho na mtaangukia pua, mkoloni alikuwa na Nguni kuliko nini kilitokea?
 
Naomba mwenye akili timamu anieleweshwe nielewe vizuri the logic behind ya kutoshiriki uchaguzi.

Je CHADEMA expectations zao ni zipi?
Yaani wata achieve kitu gani kwa wao kususia uchaguzi?
 

Attachments

  • 20250412_052339.jpg
    20250412_052339.jpg
    143.2 KB · Views: 16
  • 6026553-bf15b8f6f927c72fa16d6bb328a5e41f.mp4
    14.1 MB
Naomba mwenye akili timamu anieleweshwe nielewe vizuri the logic behind ya kutoshiriki uchaguzi.

Je CHADEMA expectations zao ni zipi?
Yaani wata achieve kitu gani kwa wao kususia uchaguzi?
Kuna wati nina amini kuna watu wanazaliwa kinyume na maumbile ya mama zao.
Kama huyu, halafu yeye anajiona ana akili timamu!

Naona msimamo wa chadema unawafanya mnaharisha na ku breed wakati wote
 
Back
Top Bottom